mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #61
Nini maana ya 'geza geza'?Swali gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya 'geza geza'?Swali gani?
Ili anifunulie ni lazima awepo.Mungu unaye mkataa akufunulie kumjua..kuna neno linasema KIBURI CHA UZIMA
Watakuja kusema mungu hayupoSiri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI!
Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete.
Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA. Yatafute sana maarifa.
Mkristo na hata Muislam hutakiwi kuomba utajiri wala mafanikio ya mwili. Ombea adui zako, fanya kazi kwa maarifa na uyatafute popote yatakapopatikana. Narudia, popote yatakapopatikana.
Mungu anajua wewe unahitaji nini! Anakujua kuliko unavyojijua. Anajua haja ya moyoni mwako.
Tembea humo humo ili baraka zake ndizo zikupe utajiri. Naam, baraka za kuishika haki na kuifuata.
Kamwe usiombe Mungu akupe sijui mavazi mazuri[emoji38], magari, hela n.k[emoji10]
Wewe fanya aliyoyaagiza tu utaona mambo yatakavyojipa. Huna haja ya kumpigia kelele kumuomba hela!
Tafuta sana neno la kweli lililofichwa karne na karne, na baadhi ya hawa Wachungaji na uanze kuliishi, narudia, NENO LA KWELI.
Chukua hiyo!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana huwezi kuta utitiri wa Makanisa ya Kilokole Masaki watu wanaamini kwenye kufanya kazi kwa bidiiSiri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI!
Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete.
Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA. Yatafute sana maarifa.
Mkristo na hata Muislam hutakiwi kuomba utajiri wala mafanikio ya mwili. Ombea adui zako, fanya kazi kwa maarifa na uyatafute popote yatakapopatikana. Narudia, popote yatakapopatikana.
Mungu anajua wewe unahitaji nini! Anakujua kuliko unavyojijua. Anajua haja ya moyoni mwako.
Tembea humo humo ili baraka zake ndizo zikupe utajiri. Naam, baraka za kuishika haki na kuifuata.
Kamwe usiombe Mungu akupe sijui mavazi mazuri[emoji38], magari, hela n.k[emoji10]
Wewe fanya aliyoyaagiza tu utaona mambo yatakavyojipa. Huna haja ya kumpigia kelele kumuomba hela!
Tafuta sana neno la kweli lililofichwa karne na karne, na baadhi ya hawa Wachungaji na uanze kuliishi, narudia, NENO LA KWELI.
Chukua hiyo!
Hauombi kuna kitu unatoa in return.Ila utajiri tukamuombe shetani
Sawa sawaHauombi kuna kitu unatoa in return.
Ingekuwa kuomba ungepewa bila conditions.
Umezidi kunikata maini. Vipi kuhusu Daudi? Suleiman na Sauli je? Mbona hawakuwa na njaa? Hata kama utajiri sipate na je kuhusu maisha tu mazuri? Nayo sipati?Kama unamtumikia Mungu katika roho na kweli sahau kuhusu utajili wa mali katika maisha yako otherwise uwe vuguvugu.
Kazi na sala na ndio maana tumeambiwa,"OMBENI MTAPEWA TAFUTENI MTAPATA ".Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI!
Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete.
Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA. Yatafute sana maarifa.
Mkristo na hata Muislam hutakiwi kuomba utajiri wala mafanikio ya mwili. Ombea adui zako, fanya kazi kwa maarifa na uyatafute popote yatakapopatikana. Narudia, popote yatakapopatikana.
Mungu anajua wewe unahitaji nini! Anakujua kuliko unavyojijua. Anajua haja ya moyoni mwako.
Tembea humo humo ili baraka zake ndizo zikupe utajiri. Naam, baraka za kuishika haki na kuifuata.
Kamwe usiombe Mungu akupe sijui mavazi mazuri[emoji38], magari, hela n.k[emoji10]
Wewe fanya aliyoyaagiza tu utaona mambo yatakavyojipa. Huna haja ya kumpigia kelele kumuomba hela!
Tafuta sana neno la kweli lililofichwa karne na karne, na baadhi ya hawa Wachungaji na uanze kuliishi, narudia, NENO LA KWELI.
Chukua hiyo!
Bali vinafanyiwa kazi.Utajiri na maisha mazuri haviombwi.
Maisha mazuri utakuwa nayo lakini siyo kuwa tajiri.Umezidi kunikata maini. Vipi kuhusu Daudi? Suleiman na Sauli je? Mbona hawakuwa na njaa? Hata kama utajiri sipate na je kuhusu maisha tu mazuri? Nayo sipati?
Kwani huwa kuna ulazima gani kujionesha kuwa huamini uwepo wa Mungu? Kwanini usiwe wapita kimya tu?Kwanza kabisa hujathibitisha huyo Mungu yupo.
Sawa sawaBali vinafanyiwa kazi.
Sidhani kama yupo timamuKwani huwa kuna ulazima gani kujionesha kuwa huamini uwepo wa Mungu? Kwanini usiwe wapita kimya tu?
Hata shetani anatoa bahati pia. Na anatoa utajiri.Katika hii Dunia omba Sana MUNGU uwe na bahati ktk maisha yako.
Ukiwa na bahati hutumii nguvu kufanikiwa.,
MUNGU ndy mwenye kutuwezesha na kutupokonya tulichonacho,,
Bila kuwa mwenye bahati hata ufanye shughuli gani utapishana na utajiri..
MUNGU anahusuka [emoji817]% ktk maisha yetu yote hapa duniani.
Tusijidanganye..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kwani kuna ulazima gani wa kunyamazisha watu wasitoe maoni yao?Kwani huwa kuna ulazima gani kujionesha kuwa huamini uwepo wa Mungu? Kwanini usiwe wapita kimya tu?