Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

Agreeing to disagree is an oxymoron.

Hata hujaeleza kwa nini swali langu halina mantiki kwako.

Kwa sababu wewe ni gezageza tu, hata mantiki hujui ni nini.

Na mpaka sasa, hujaeleza unathibitishaje Mungu yupo kweli, na unajuaje kwamba hizo habari za kuwapo Mungu si hadithi tupu tu.
Ndugu Mungu yupo, tunamthibitisha kwa uumbaji wake. Huu ulimwengu haukujifanya wenyewe, hii mipaka ya bahari haikujiweka yenyewe, ukiona kitu kipo kuna aliye kifanya.
 
Unathibitishaje ulimwengu huu umeumbwa na Mungu?

Unajua kwamba ulimwengu kuwa haujajiumba wenyewe si lazima uwe umeumbwa na Mungu.

Kama vile wewe kutokuwa umejizaa mwenyewe maana yake si lazima uwe mtoto wa James Bond 007?

Sasa unaniambiaje James Bond 007 ni lazima yupo, kwa sababu wewe huwezi kuwa umejizaa mwenyewe?

Unaelewa ndicho ulichosema hapa?

Kwamba, kwa kuwa wewe huwezi kuwa umejizaa mwenyewe, basi wewe ni mtoto wa James Bond 007.

Logical non sequitur.
 
Mimi sijawahi kuona tajiri mcha Mungu na nimekuwa mhasibu viwanda vingi tabia zao:
  1. Wabinafsi sana
  2. Hawana upendo kabisa, wengi hawana msaada kwa ndugu zao.
  3. Wauaji
Mimi nitataja wachache:
  1. Balesa - huyu kasha kula ndogo watu kibao. Ukimuibia au ukamfanyia uhuni, anakukula kiboga. Aidha, anapeleka watu kuhiji, yeye haendi, anaamini kwa mauchawi yake, akigusa maka anakufa.
  2. Rostam - huyu ni mafia, kuua nje nje, pia anashinda kwa waganga.
  3. Moo-kashaua sana maafisa wa Tihalaei wanaojifanya wakazaji. Na anawaganga na mamiungu yake makali sana. Ni mcheza kamari na malaya sana.
  4. Jiituu Patee - huyu mafia kaa mbali na hela yake au utarest in place.
  5. Marehemu Mengi: ni alikuwa mnyonyaji hatari. Wafanya kazi wake wengi wamekufa masikini. Aidha, ni mwizi sugu. Hata mtaji alitoa alipokuwa mtumishi wa uma kwenye kukagua mahesabu. Akitaka kiwanja chako, anawazee wake, anawatuma wanamqushirikina. Unajikuta umeuza bei ya kutupa.
Ushauri: Kama unataka utajiri, fanya kazi kwa bidii sana. Jiweke karibu na serikali. Usiwe mwema hasa kwa ndugu. Toa rushwa. Fanya fitina na usisahau kwenda kwa waganga. Saidia sana mayatima na wajane.

Angalizo: Asilimia 85 ya matajiri siongelei wezi wa sadaka kina Gwajima nazungumzia kina Moo huwa hawana furaha kabisa.

Bwana Yesu alisema utafteni Ufalme wa Mungu, mengine mtazidishiwa. Hapa ndipo ilipo tabu; Mungu hayuko serious na ndoto ya wewe kuwa tajiri, yeye anataka ufanye matakwa yake kwanza ndipo akufikilie. Lakini ipo njia ya kufosi, King nimezitaja hapo juu.

Nimezungumza kwa ukweli wangu kabisa.
Mungu na akubariki. Roho yangu imeridhia mimi kuamini haya.
 
Jibu swali na uulize swali Kiranga. Tulia uache fujo.
Sarcastic Socratic, not democratic
This tactic not static, Colt automatic
Carbon based bipeds go nut head
Stubborn dazed go to bed before you go dead!
 
Ndiyo umeshajibu swali kwa maelezo hayo au?
 
Unathibitishaje ulimwengu huu umeumbwa na Mungu?

Unajua kwamba ulimwengu kuwa haujajiumba wenyewe si lazima uwe umeumbwa na Mungu.

Kama vile wewe kutokuwa umejizaa mwenyewe maana yake si lazima uwe mtoto wa James Bond 007?

Sasa unaniambiaje James Bond 007 ni lazima yupo, kwa sababu wewe huwezi kuwa umejizaa mwenyewe?

Unaelewa ndicho ulichosema hapa?

Kwamba, kwa kuwa wewe huwezi kuwa umejizaa mwenyewe, basi wewe ni mtoto wa James Bond 007.

Logical non sequitur.
Mungu unaye mkataa akufunulie kumjua... kuna neno linasema KIBURI CHA UZIMA
 
Mimi sijawahi kuona tajiri mcha Mungu na nimekuwa mhasibu viwanda vingi tabia zao:

  1. Wabinafsi sana
  2. Hawana upendo kabisa, wengi hawana msaada kwa ndugu zao.
  3. Wauaji
Mimi nitataja wachache:

  1. Balesa - huyu kasha kula ndogo watu kibao. Ukimuibia au ukamfanyia uhuni, anakukula kiboga. Aidha, anapeleka watu kuhiji, yeye haendi, anaamini kwa mauchawi yake, akigusa maka anakufa.
  2. Rostam - huyu ni mafia, kuua nje nje, pia anashinda kwa waganga.
  3. Moo-kashaua sana maafisa wa Tihalaei wanaojifanya wakazaji. Na anawaganga na mamiungu yake makali sana. Ni mcheza kamari na malaya sana.
  4. Jiituu Patee - huyu mafia kaa mbali na hela yake au utarest in place.
  5. Marehemu Mengi: ni alikuwa mnyonyaji hatari. Wafanya kazi wake wengi wamekufa masikini. Aidha, ni mwizi sugu. Hata mtaji alitoa alipokuwa mtumishi wa uma kwenye kukagua mahesabu. Akitaka kiwanja chako, anawazee wake, anawatuma wanamqushirikina. Unajikuta umeuza bei ya kutupa.
Ushauri: Kama unataka utajiri, fanya kazi kwa bidii sana. Jiweke karibu na serikali. Usiwe mwema hasa kwa ndugu. Toa rushwa. Fanya fitina na usisahau kwenda kwa waganga. Saidia sana mayatima na wajane.

Angalizo: Asilimia 85 ya matajiri siongelei wezi wa sadaka kina Gwajima nazungumzia kina Moo huwa hawana furaha kabisa.

Bwana Yesu alisema utafteni Ufalme wa Mungu, mengine mtazidishiwa. Hapa ndipo ilipo tabu; Mungu hayuko serious na ndoto ya wewe kuwa tajiri, yeye anataka ufanye matakwa yake kwanza ndipo akufikilie. Lakini ipo njia ya kufosi, King nimezitaja hapo juu.

Nimezungumza kwa ukweli wangu kabisa.
Hapo bora kula sadaka, ila pia inataka ujasiri sana, hivi huwa wanapata usingizi kweli baada ya kuchukua senti za wenye dhiki yatima na wajane kwa kuwarubuni kuwa wamemtolea aliye juu na watabarikiwa?
 
Hapo bora kula sadakq, ila pia inataka ujasiri sana , hivi huwa wanapata usingizi kweli baada ya kuchukua senti za wenye dhiki yatima na wajane kwa kuwarubuni kuwa wamemtolea aliye juu na watabarikiwa?
Jamaa ameamua kufunguka ukweli wake wote kwa faida ya wengi
 
Bado una ndoto za kutajirika baada ya kuujua ukweli?
Ndiyo, ila zipo moyoni mwangu na sitopiga magoti niombe kwa Mungu. Yeye anajua tu automatic. Vya kuomba ni uzima, afya njema, na kadhalika. Material things kama utajiri, maisha mazuri, na kadhalika, hayana ulazima wa kuomba. Anakupa tu automatically.
 
Back
Top Bottom