mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #21
Unajua kusoma kwa ufahamu mzee?Unajua kusoma kwa ufahamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kusoma kwa ufahamu mzee?Unajua kusoma kwa ufahamu?
wapi nimeandika kuwa aliomba utajiriWewe ni chenga sana. Aliomba utajiri huyo Suleiman?? WaTZ acheni kula maugali ndiyo yanawazalisha mbumbumbu kama wewe!
Utajiri na maisha mazuri haviombwi.Sawa mkuu,nimekuelewa vyema.
Unatakiwa uanze kujiheshimu wewe. Soma mada uelewe.wapi nimeandika kuwa aliomba utajiri
jiheshimu mkuu
Thibitisha ili tujue Mungu yupo kweli na habari kwamba Mungu yupo si njozi zako na wenzako tu.Unajua kusoma kwa ufahamu mzee?
Kajiunge freemason😁Kuna watu Toka hawajazaliwa wameumbwa kuwa masikini maana Mungu amesema nakujua toka kuzaliwa kwako mpaka kufa kwako.
Je utafanyaje kupindua Meza?
Roga Baba😅😅😅
Hujajibu maswali yangu! Hata unachoongea ni kama hukielewi.Thibitisha ili tujue Mungu yupo kweli na habari kwamba Mungu yupo si njozi zako na wenzako tu.
Haina haja. Ya nini ufike huko kote?!Kajiunge freemason[emoji16]
Swali lako halina mantiki, unauliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?Hujajibu maswali yangu! Hata unachoongea ni kama hukielewi.
Acha kutulisha matango pori,Sulemani alimwomba M/Mungu ampe hekima na si utajiriWapo sana, sema uelewa wako ni finyu. Kuna huyu mwamba anaitwa Suleiman, aliomba hekima, akapewa na utajiri
Swali lako pia halina mantiki kwangu. Tutakutana wakati mwingine. Lets agree to disagree.Swali lako halina mantiki, unauliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?
Kwa sababu wewe ni kiziwi hujui sauti, unajua rangi tu.
Nimemuambia ila anaonekana ana stress mno huyu jamaaAcha kutulisha matango pori,Sulemani alimwomba M/Mungu ampe hekima na si utajiri
Kuna watu Toka hawajazaliwa wameumbwa kuwa masikini maana Mungu amesema nakujua toka kuzaliwa kwako mpaka kufa kwako.
Je utafanyaje kupindua Meza?
Roga Baba😅😅😅
Agreeing to disagree is an oxymoron.Swali lako pia halina mantiki kwangu. Tutakutana wakati mwingine. Lets agree to disagree.
"Kwa sababu wewe ni gezageza tu, hata mantiki hujui ni nini."Agreeing to disagree is an oxymoron.
Hata hujaeleza kwa nini swali langu halina mantiki kwako.
Kwa sababu wewe ni gezageza tu, hata mantiki hujui ni nini.
Na mpaka sasa, hujaeleza unathibitishaje Mungu yupo kweli, na unajuaje kwamba hizo habari za kuwapo Mungu si hadithi tupu tu.
Mkuu kuna maisha mazuri na utajiri. Huo aliooneshwa Yesu ulikuwa ni 'Utajiri wa Kutisha', yaani mkubwa sana.Ukisoma Biblia kuna mahali Yesu alipelekwa mlimani na shetani ili kumuonyesha utajiri wote wa Dunia. Kuna haja ya kuuliza tena nani anatoa utajiri?
Geza geza ndiyo nini?Agreeing to disagree is an oxymoron.
Hata hujaeleza kwa nini swali langu halina mantiki kwako.
Kwa sababu wewe ni gezageza tu, hata mantiki hujui ni nini.
Na mpaka sasa, hujaeleza unathibitishaje Mungu yupo kweli, na unajuaje kwamba hizo habari za kuwapo Mungu si hadithi tupu tu.
Mimi sijawahi kuona tajiri mcha Mungu na nimekuwa mhasibu viwanda vingi tabia zao:Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI!
Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete.
Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA. Yatafute sana maarifa.
Mkristo na hata Muislam hutakiwi kuomba utajiri wala mafanikio ya mwili. Ombea adui zako, fanya kazi kwa maarifa na uyatafute popote yatakapopatikana. Narudia, popote yatakapopatikana.
Mungu anajua wewe unahitaji nini! Anakujua kuliko unavyojijua. Anajua haja ya moyoni mwako.
Tembea humo humo ili baraka zake ndizo zikupe utajiri. Naam, baraka za kuishika haki na kuifuata.
Kamwe usiombe Mungu akupe sijui mavazi mazuri[emoji38], magari, hela n.k[emoji10]
Wewe fanya aliyoyaagiza tu utaona mambo yatakavyojipa. Huna haja ya kumpigia kelele kumuomba hela!
Tafuta sana neno la kweli lililofichwa karne na karne, na baadhi ya hawa Wachungaji na uanze kuliishi, narudia, NENO LA KWELI.
Chukua hiyo!
Ulivyoweka OK ulijua ni nini?Geza geza ndiyo nini?