Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

Creation - making something out of nothing


Hapo mwanzo kulikuwako na neno, naye neno alikua kwa Mungu , Naye neno alikua ni Mungu

Vitu vyepesi km hv ukitaka kutumia akili nyingi kuvielewa utakua unapoteza muda mkuu.

Mungu yupo
Hujathibitisha Mungu yupo, hujathibitisha katengeneza kitu kutoka pasipo kitu, hujathibitisha hata kama kulikuwa na mwanzo.

Umekariri maandiko na kuyarudia bila critical thinking.

Umechanganya argument from ignorance, argument from authority na logical non sequitur.
 
Mkuu km huamini uwepo wa Mungu unaweza kunuambia Origin ya kiumbe hai km mwanadamu ni wapi?
Ni mechanism gan inayosababisha mbegu za kiume na yai la mwanamke vikiungana vije na outcome ya kiumbe kingine (mwanadamu) ?

Kinachofanya huu ulimwengu uendelee ku exist ni nini?

Mkuu vitu vyote unavoviona hapa ulimwenguni vina origin yake

Na sio kila kitu kinaweza kuthibitishwa kulingana na mtizamo wako

Science yenyewe kuna vitu imeshindwa kuvithibitisha kutokana na mfumo wa dunia ulivyo
 
Wapo sana, sema uelewa wako ni finyu. Kuna huyu mwamba anaitwa Suleiman, aliomba hekima, akapewa na utajiri
Sasa hapo inabidi kuelewa; Mungu alimpa hekima Suleiman (Solomoni), hiyo hekima aliyopewa ndio aliyoitumia kutafuta mali! Ni kweli kuwa muwezeshaji ni Mungu, lakini je, Mungu anatupatia pasipo kufanya chochote? Ukae tu nyumbani, halafu Mungu akuletee chakula, mavazi, fedha na mali zingine? Onyesha nia na bjdii katika kazi zako, ndipo Mungu anabariki kazi yako hiyo na kukuzalishia mara dufu! Wazazi wetu wa mwanzo, Adam na Hawa, hawakupata chakula chao bure, bali walifanya kazi bustanini na kula matunda ya humo!
 
Nakwambia hivi, hujathibitisha Mungu yupo. Hivyo vingine hata kama sijui chanzo chake nini, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Naweza kujua square root ya 2 si 10, hata kama sijui square root ya 2 ni nini.

Yani ni hivi, mimi kushindwa kujua jibu sahihi la kilichoumba ulimwengu ni nini, hakunizuii kujua jibu lisilo sahihi kwamba ulimwengu umeumbwa na James Bond 007.

Kwa sababu najua James Bond 007 hayupo, ni character wa hadithi tu.

Mimi nakwambia thibitisha James Bond 007 yupo, wewe unaniambia James Bond 007 kaumba ulimwengu, hujathibitisha kitu hapo, umesema jambo la imani tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anayeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya mengi ni contradiction.

Unaelewa hilo?
 
Asante
 
Mungu hana upendeleo, ni juhudi tu za mtu kuwa tajiri. Ila ukifanya utafiti "haki" haipo kwenye utajiri. Ni maujanja ya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…