Mimi pia nimetafakari kauli yako. Hao wanaozodoa umejuaje kama ni wafuasi wa upinzani? Mbona nchi hii hakuna wapinzani? Chama tawala kimepata uungwaji sehemu zote nchini, sasa iweje tusikie tena kwamba kuna wapinzani? Mimi nashauri ufanye utafiti wa kutosha ili ujiridhishe kujua wanaozodoa hasa ni naniSerikali inajenga hospitali ya rufaa Chato,wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Hospital ga kanda ya kusini hiyo mzee inajengwaHospitali ya rufaa kanda ya ziwa iko Bugando Mwanza.
Kanda ambazo hazina hospitali za rufaa za kanda ni:
1. Kanda ya magharibi: mikoa ya Kigoma, Rukwa, Katavi (hata Tabora ni mbali na Dodoma na Mwanza)
2. Kanda ya kusini mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma
Nilitarajia kama hospitali za rufaa za kanda ni kipaumbele, basi zingeanzia katika kanda hizo ambazo hazina
Na ukiangalia taarifa ya habari wananchi wanafyeka poli na kudai hawana shule ya wasichana hitimisho mkuu wa mkoa anaunga juhudi tunajenga shule hapa sabsbu wana tabu.Ama kweli wachato mmebarikiwa nyrere alikuwa lofa Sana.
Airport chato
Referal hospital chato...
Una elimu gani we fala?Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato,wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga...
Labda kwa ufafanuzi anayejua zaidi. je hii ni Hospitali ya RUFAA YA MKOA au ni ya RUFAA YA KANDA?Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato,wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga....
Bugando sio mali ya serikali ni ya kanisa.So ni sawa tu kujenga Hospital kanda hiyo.Hospitali ya rufaa kanda ya ziwa iko Bugando Mwanza...
Hujaiona tatizo!hahahaaaa hizo ni siasa za ubaguzi mzee Mwl hakuwa vile maendeleo yanatakiwa yawe sawia na si kulekeza upande moja.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri...
I have no Problem with this trust me, Hali ya mfumuko wa bei ikoje kwa sasa?, Kuna muda kama wananchi lazima tupite vipindi vigumu ili tuweze kukaa sawa na kuimarika kama nchi. Kwa upande wangu na Maoni yangu kamili kabisa sioni shida kwa kua yapo mambo ya msingi yanaendelea so acha tuteseke ila tuendelee kuzaa ili watoto waje kukuta mambo mazuri.Kumbuka watumishi wa umma wanaingia mwaka wa sita na mshahara ule ule wa July 2015.
Hakuna mfumuko wa bei na PAYE ilirekebishwa budget ya 2020 so kuna increment ya Net PayKumbuka watumishi wa umma wanaingia mwaka wa sita na mshahara ule ule wa July 2015.
Hakuna anayepinga, kimsingi bali wanahoji na hoja zinahitaji kujibiwa kwa hoja zenye mantiki na uhalisia wa mambo.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato,wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga...
Lazima iunganishwe, haiwezekani kila kitu chato, tena fast trackKwanza nimekudharau, Veta sio mradi wa kulalamikia kama una akili.
Kutoongeza mishahara kwa hisia za eti bei kupanda,ni hisia potofu.Hakuna mfumuko wa bei na PAYE ilirekebishwa budget ya 2020 so kuna increment ya Net Pay
Kanuni za uongozi zinagoma kuendekeza ukabila,ukanda,kujipendelea kwenu pasipo ulazima wa tija coz ni sumu mbaya sana upandwa ktk taifa kesho ataingia mwingine nae atapendelea kwao na kutelekeza maeneo mengineLazima iunganishwe, haiwezekani kila kitu chato, tena fast track
Let people question tusitake kujenga taifa la watu wa ndio kwa kila kitu.Kwani lazima kila mradi wa maendeleo ujengwe makao makuu?
Sifa kubwa na ya pekee ni makao ya mfalmeMkuu ili kufungua hospital kwabwa namna hiyo somewhere kuna factor nyingi unaconsider and one of them inaweza kuwa accessibility etc.Chato inaweza isiwe na sifa hata moja kati ya hizo
Mwafrika akiwa kwenye nafasi kupapendelea kwao hiyo ni jambo la kawaidaKanuni za uongozi zinagoma kuendekeza ukabila,ukanda,kujipendelea kwenu pasipo ulazima wa tija coz ni sumu mbaya sana upandwa ktk taifa kesho ataingia mwingine nae atapendelea kwao na kutelekeza maeneo mengine
Mbona viongozi wote waliomtangulia hawakuthubitu kufanya hivyo? Nenda Butiama licha ya Mwalimu kukalia kiti kwa miaka 24, nenda kwa Mzee Mwinyi, Lupaso tulipashuhudia wakati wa mazishi ya Ben, JK licha ya kupenda bata nenda Msoga uone.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Hivi kule Butiama kuna jengo gani au taasisi gani kulinganisha na hiyo miradi iliyopo hapo chatou?Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.