Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Africa kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwing zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani rais akipanda basi anakuwa sio rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!.

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does!.

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!.

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!.

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu!, hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!.

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!.

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!.

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila mmoja anapeperusha tena bendera yake kwenye magari yao!.

Kipi cha ajabu jameni?, ushamba ukizidi nao ni issue. Natoa wito kwa Venus Nyota, fanya utaratibu wa kusafiri na few private media ili wakati wewe unatuma press release za hard news, hao private media watume color stories, Watanzania wapatiwe exposure na wajue mambo mengine ya mambo ya kimataifa.

Paskali
Watu hawaelewi kwa vile hawana experience ya kusafiri au kukaa hizi nchi zilizoendelea. Kwani nini cha ajabu kwa viongozi kupanda bus, trams au trains/subways? Ebu waafrika muwe wastaarabu, au kwa sababu mmezoea corruptions. Maisha ni ku-simplify. Ya nini kufanya maisha yawe complex? Paskali, asante kwa andiko lako.
 
Atasoma post yako huko aliko atakuelewa
 
You nailed it !! Mujica wa Uruguay alikuwa anatembelea Volkswagen Beetle na bado haikuondoa hadhi yake ya URais wa Nchi !!
 
Lakini pascal ukubali tulihudhuria kama makoloni yao tulihudhuria like everybody else

Wewe nawe umesoma ulichoandika?
Tunakemea matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi… hili neno logistic ndio unaona umeeleza vizuri… hebu ondoeni huu upulusi wenu
Eti waafrika wanakuza mambo… ok tunakuza kwahiyo next….
Unajua walipa kodi wa uingereza wameidhinisha kiasi gani cha paundi zitumike kwa ajili ya huo msiba?. Unaujua umuhimu wa Queen Elizabeth na ukubwa aliokuwa nao maishani mwa waingereza?.
 
Hatushangai pekeetu, Kiongozi wetu pia ameonekana kwenye basi akishangaa kupandishwa humor na kutofurahia kuchukuliwa picha!!!!

Kama ni Kweli ni jambo la kawaida kupanda basi, mbona hawapandi mabasi special kwenda Dodoma bungeni Ili kupunguza gharama na kuacha a na V8?
Wapo nje ya nchi mkuu, kumbuka Clinton alipandishwa ndani ya coaster hapa Dar tena akiwa rais wa USA.

Hakuna mmarekani alichukulia nongwa suala hilo, hakuna aliyelifanya kama vile ni big deal.
 
Naunga mkono Hoja, wanaoshadadia hili hawana uelewa au hawautaki huo uelewa wanaona kama dharau while it is not! KILA rais angeenda na msafara wake Huko kungekalika? Ule ni Msiba sio ziara ya Rais!
Mnachanganya mambo sana, kwenye msiba wa Jana hakukuwa na maraisi wengi kulinganisha na mikutano ya UN. Ila issue Ni utaratibu tu ambao wenyewe uingereza wameweka na sioni shida ya hilo. Ila pia wangeweza kuwapa magari napo kusingekua na shida yoyote.

Mikutano ya UN inakusanya maraisi wengi duniani na wote hupewa magari, hivyo Ni jambo la utaratibu tu
 
Pascal umetetea kwa nguvu zako zote, umeenda mbali zaidi kwa kutoa mifano uliiyoishuhudia na kuiishi.
Pamoja na maelezo yote hayo ya kuwa kawaida bado hujatuambia ni kwa nini hawa marais wetu watendewe kama miungu watu wawapo hapa nchini?
Kwanini walindwe na mabunduki? Kwa nini wasipande mwendokasi kwenda kuzika Mabwepande au Mpitimbi?
Miaka ya 80/90 Mzee Ruksa akiwa Sweden ugenini, waswede hawakumruhusu mpambe wake kukaribia meza kuu kwa kuwa hakukuwa na ulazima huo maana kiongozi alikuwa mahali salama, kwa nini hapa kwetu kiongozi aonekane kuwa wapili kutoka kwa Mungu wakati sisi ndio tuliompa mamlaka? 🤔
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Africa kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwing zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani rais akipanda basi anakuwa sio rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!.

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does!.

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!.

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!.

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu!, hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!.

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!.

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!.

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila mmoja anapeperusha tena bendera yake kwenye magari yao!.

Kipi cha ajabu jameni?, ushamba ukizidi nao ni issue. Natoa wito kwa Venus Nyota, fanya utaratibu wa kusafiri na few private media ili wakati wewe unatuma press release za hard news, hao private media watume color stories, Watanzania wapatiwe exposure na wajue mambo mengine ya mambo ya kimataifa.

Paskali
KUMBE UMEONA TENA RAIS SAMIA ANAENEA KWENYE SEAT YA BUS VIZURI TU. Kuanzia sasa mabus yaanze kutumika kubeba viongozi na kupunguza msafara toka magari60+ mpaka makari 5
Mimi nilitamani viongozi wa Africa ndo wapandishwe Yutong!! Maana kiukweli hamna wanachotusaidia zaidi ya wizi na kutupa ahadi za Uongo na kuweka vitu vinavyotukandamiza kisha tukihoji tunajibiwa majibu yanayokaribiana na kejeli au unapotezwa !!
Wenye umuhimu wamepewa kipaumbele kabisa VVIP .
Watu kama viongozi wa East Africa kwa kweli wangewapandisha tlhata Saratoga au Adventure na Champion ! simjui vizuri baharia William Ruto !! wangejichagua miongoni mwao nani aendeshe basi !!

Heshima inatengenezwa bhana , sio kitu kila mtu anastahili !
Na ngoja warudi maana tulivyowananga mtandaoni 😁😁😁
 
KUMBE UMEONA TENA RAIS SAMIA ANAENEA KWENYE SEAT YA BUS VIZURI TU. Kuanzia sasa mabus yaanze kutumika kubeba viongozi na kupunguza msafara toka magari60+ mpaka makari 5
Tena mama yetu hana nongwa ndo kwanza anacheka tu na kujaribu kujiziba uso. I love our president 😁😁😁
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Africa kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwing zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani rais akipanda basi anakuwa sio rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!.

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does!.

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!.

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!.

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu!, hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!.

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!.

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!.

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila mmoja anapeperusha tena bendera yake kwenye magari yao!.

Kipi cha ajabu jameni?, ushamba ukizidi nao ni issue. Natoa wito kwa Venus Nyota, fanya utaratibu wa kusafiri na few private media ili wakati wewe unatuma press release za hard news, hao private media watume color stories, Watanzania wapatiwe exposure na wajue mambo mengine ya mambo ya kimataifa.

Paskali
Rejea Ukiwa Rais katika nchi za kiafrika unapewa utukufu uliopitiliza
Bila picha ya huko Sweden hii ni chai tu
 
Wakili Msomi kwa nini katika ziara zao sa ndani mi-vieite 50 Huwa inasindikizana?
 
Sijui kwanini wana CCM mmejipambanua kuwa watu wa kuitetea serikali na kuwananga wananchi, mnajua malengo ya chama from the first place??

Watu hawashangai hayo mnayodhani wanashangaa, infact wanawakejeli kama ninyi mnavyowakejeli na kuwaita wajinga na washamba.

Mnahamisha mjadala wa msingi kwamba kumbe inawezekana kubana matumizi na kupunguza kadhia tunayosababishiwa na viongozi wetu kwa kupunguza misafara?

Acheni kuhamisha magoli.
 
Uncle mayalla unajua watu wanakuheshimu? Acha nyuzi za kishamba sasa, Hawa jamaa hata uwatetee vp watakuchinja tuu, wajifunze kubana matumizi wakija huku Africa Kama Wana akili lakini.

Pili sio ushamba kutoa mtazamo wa picha ya Marais wakiwa kwenye basi[emoji23], Bali ushamba ni kumuona atoaye maoni kakosea utadhani wote mna akili moja.

In short ni kwamba wameyumba sana
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Africa kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwing zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani rais akipanda basi anakuwa sio rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!.

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does!. Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!.

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!.

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu!, hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!.

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!.

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!.

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila mmoja anapeperusha tena bendera yake kwenye magari yao!.

Kipi cha ajabu jameni?, ushamba ukizidi nao ni issue. Natoa wito kwa Venus Nyota, fanya utaratibu wa kusafiri na few private media ili wakati wewe unatuma press release za hard news, hao private media watume color stories, Watanzania wapatiwe exposure na wajue mambo mengine ya mambo ya kimataifa.

Paskali
Rejea Ukiwa Rais katika nchi za kiafrika unapewa utukufu uliopitiliza
Kumbe hii habari ni ya kitambo sn
 
Back
Top Bottom