Kwahiyo hapa duniani yupo shetani tu ama vp?Kwanza kabisa Malaika Hawezi kuasi hicho ni cha kwanza!
Pili Majini Ni viumbe tofauti kabisa na Malaika..!
Jambo la Pili..
Na Tatu malaika walioasi walifungiwa Na hawakuwahi Kutoka Kwenye Hukumu yao Mpaka siku ile itakapofika ya Hukumu..
Yuda 1:6
"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."..
Sasa Hao mnaosema Wako duniani Ni kina Nani?
Malaika Walioasi wapo kwenye Kifungo cha milele na hakuna malaika aliasi aliyeruhusiwa kutoka kifungoni
Hana hoja huyo, ni maskini wa elimu Quran kariim imekamilika ipo full, totally completely that why Quran ni ya ulimwengu mzima ila torati, zaburi na injili hizo ni kwa sehemu maalum, na viongozi wake ni wa sehemu maalum,Amehoji Vizuri sana Nilihisi Utampa Majibu Stahiki ila Umepiga Blah blah blah
Claim yoyote isiyoweza kuwa supported na evidence ni hekaya tu.Kwa hiyo unaona ni kama hekaya tu
Unasema Muhammad amekopi ndani ya vitabu vya kale Yani ufahamu wako ndio umeishia hapoHebu tutafakari kidogo..Inadaiwa Uislamu ulikuwepo toka enzi za kale Ibrahimu,yesu na manabii wengine wote wanadaiwa kuwa walikuwa waislamu.
Maswali ya kujiuliza:
1.Inakuwaje vitabu vilivyotangulia..torati,injili na zaburi havijataja neno uislamu kama ilivyo katika quran?
2.Kama yesu alikuwa muislamu mbona mafundisho yanaonesha mara kadhaa wakati anaomba alikuwa anataja baba yangu?? kitu kinachopingana na uislqmu kuwa Mungu hana mwana.Pia katika kuomba mara nyingi Yesu alikuwa anaangalia mbinguni,wakati waislamu wakiswali wanakuwa wanaelekea kibra?
Mimi naamini Quran imecopy biblia kwa sababu zifuatazo;
Biblia inasema Yesu ni neno -Quran nayo inasema ni neno
Biblia inasema Yesu ni roho wa Mungu-Quran nayo inasema vivyo hivyo
Biblia inasema yesu alizaliwa na Bikira na alianza kuongea toka akiwa mdogo -Quran nayo inasema hivyo hivyo
Biblia inasema Yesu alikufa ,akafufuka na akapaa mbinguni..Hapa ndio waislamu walipoitengeneza imani yao..ila kitabu chao kinawasuta bado
Kwenye quran Yesu mwenyewe anatamka kwamba amani iwe juu yake siku aliyozaliwa,siku atakayokufa na siku atakayonyanyuliwa Je tujiulize swali dogo tu je Yesu hajafa bado kwa Mujibu wa quran?
Kama jibu ni kuwa hajafa kwa nini aanze kunyanyuliwa kabla ya kufa..kwa nini step moja irukwe?
Allah mwenyewe anasema Issa nitakufisha na nitakunyanyua kwangu.
Kwa mujibu wa quran Yesu ameshanyanyuliwa na yupo kwa Allah kama biblia inavyoamini yupo kuume kwa Mungu baba.Sasa swali linakuja ,kwa nini aanze kumnyanyua kabla ya kumfisha.Wanazuoni wengi wamekuja na hoja dhaifu kwamba aliposema nitakufisha hakumaanisha kwamba atakufa,bali atawababaisha wauaji waone kama aliyemuua ni yeye kumbe mtu mwingine kavishwa sura ya Yesu(Seriously)? Kwa nini Allah afanye mazingaombwe hayo na wakati yesu mwenyewe alijitabiria kufa kabla ya kunyanyuliwa(Something fishy).
Umeandika maelezo mareefu ila sijaona point hata moja zaidi zaidi ubwabwaja tu.Bila kupitia kwa Yesu hautauona ufalme wa Mbingu kwa sababu yeye ndio ya kweli na uzima.Hata ndani ya quran imeandikwa Yesu ndiyo njia iliyonyooka na wokovu.Unasema Muhammad amekopi ndani ya vitabu vya kale Yani ufahamu wako ndio umeishia hapo
Tofauti ya wakristo na Wayahudi ni hii
Wayahudi wanajua kabisa kuwa ni kweli Muhammad ni Mtume wa Mungu ila ni jeuri Yao tu na walikuwa wanajua kuwa Kuna mtume wa mwisho atakuja ila walitamani atoke kwao ikawa kinyume chake
Lakini nyinyi wakristo mmevurugwa vurugwa na hao Wazungu walianzisha ukristo kiasi kwamba mpo mpo tu
Wayahudi walikuwa wanajua ujio wa Mtume Muhammad
Yohana 1:19
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Yohana 1:20
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Yohana 1:21
Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.
Baada ya Yohana kuanza mahubiri wayahudi wakamfuata kumuliza
Wewe ni kristo,?
Yohana akasema hapana
Wewe u Eliya?
Yohana akasema hapana
Wewe u nabii yule?
Yohana akasema hapana
Eliya anajulikana, kristo anajulika huyo nabii yule ni nani? Ambaye wayahudi walikuwa wanajua ujio wake? Jibu ni mtume Muhammad
Na Wayahudi walijua ujio wa Mtume Muhammad Kwa sababu ametabiliwa na manabii wao
Kumbukumbu la Torati 33:2
Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kuume Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao.
Katika mlima Sinai alipewa utume Nabii Musa
Mlima Seiri upo Jerusalem hivyo unahusu utume wa Yesu
Mlima Parani upo Saudi Arabia huyo ni mtume Muhammad
Sasa nyinyi wagalatia endeleeni tu kupingana na maandiko ambayo mmezaliwa mmeyakuta na mtakufa mtayaacha
Jahanamu inawasubiri maana Mungu alishasema anasemehe makosa yote lakini kosa la kuchukua kiumbe alicho kiumba yeye ukakifanya ndio Mungu wako na kukiabudu hilo kosa hasamei
Muhammad anapemyezwa ku fit in kwenye biblia.Unasema Muhammad amekopi ndani ya vitabu vya kale Yani ufahamu wako ndio umeishia hapo

Sio kuwa haujaona point ila Sema hauna uwezo wa kupinga hizi hoja nilizo ziwekaUmeandika maelezo mareefu ila sijaona point hata moja zaidi zaidi ubwabwaja tu.Bila kupitia kwa Yesu hautauona ufalme wa Mbingu kwa sababu yeye ndio ya kweli na uzima.Hata ndani ya quran imeandikwa Yesu ndiyo njia iliyonyooka na wokovu.
Yesu na Yerisalemu wapi na wapi.Kwamba leo mayahudi wantambua Mihammad kama mtume wao?Sio kuwa haujaona point ila Sema hauna uwezo wa kupinga hizi hoja nilizo ziweka
Na kama kweli haujaziona points naweka tena na edit na kuacha points tupu
Point 1
Wayahudi walikuwa wanajua ujio wa Mtume Muhammad
Yohana 1:19
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Yohana 1:20
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Yohana 1:21
Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.
Baada ya Yohana kuanza mahubiri wayahudi wakamfuata kumuliza
Wewe ni kristo,?
Yohana akasema hapana
Wewe u Eliya?
Yohana akasema hapana
Wewe u nabii yule?
Yohana akasema hapana
Eliya anajulikana, kristo anajulika huyo nabii yule ni nani? Ambaye wayahudi walikuwa wanajua ujio wake? Jibu ni mtume Muhammad
Point 2
Na Wayahudi walijua ujio wa Mtume Muhammad Kwa sababu ametabiliwa na manabii wao
Kumbukumbu la Torati 33:2
Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kuume Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao.
Katika mlima Sinai alipewa utume Nabii Musa
Mlima Seiri upo Jerusalem hivyo unahusu utume wa Yesu
Mlima Parani upo Saudi Arabia huyo ni mtume Muhammad
KWahyo baada ya Yesu Kufa na Yohana kwenda Patmo ndo Shetani Alifukuzwa Mbinguni?Siwezi kusema ni tarehe ipi shetani aliyofukuzwa mbinguni. Lkn naweza kuwa na uhakika kwamba alifukuzwa baada ya Yesu kuzaliwa, kuishi duniani, kufa, kufufuka na kwenda mbinguni. Maana Mtume Yohana alivyokuwa anafunuliwa maono hayo alikuwa kwenye kisiwa cha Patmos. Muda mrefu baada ya Yesu kurudi mbinguni.
Swali Gumu hata Mimi nasubiri Jibu maana Nimeuliza Bado sijajibiwa nimeuliza Makazi ya Shetani ni wapi?Kwahiyo hapa duniani yupo shetani tu ama vp?
Nyinyi mmeshapotezwa na WazunguYesu na Yerisalemu wapi na wapi.Kwamba leo mayahudi wantambua Mihammad kama mtume wao?
Manabii wa kiyahudi walitoka Yudea soma vizuri.Na unabii ulikamilika baada ya Yesu kuja hakukuzaliwa nabii yeyote baada ya Mwana wa Mungu kushuka ulimwenguni
Iwe kwenye Uyahudi au Ukristu.
Yesu alitabiri ujio wa nabii wa uongo ambaye mimi na wewe wote tunamfahamu
Ndugu zetu mnapenda sana kujiliwaza.Hebu niambie huyo mtume huo utume au unabii alipewa na nani?Sio kuwa haujaona point ila Sema hauna uwezo wa kupinga hizi hoja nilizo ziweka
Na kama kweli haujaziona points naweka tena na edit na kuacha points tupu
Point 1
Wayahudi walikuwa wanajua ujio wa Mtume Muhammad
Yohana 1:19
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Yohana 1:20
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Yohana 1:21
Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.
Baada ya Yohana kuanza mahubiri wayahudi wakamfuata kumuliza
Wewe ni kristo,?
Yohana akasema hapana
Wewe u Eliya?
Yohana akasema hapana
Wewe u nabii yule?
Yohana akasema hapana
Eliya anajulikana, kristo anajulika huyo nabii yule ni nani? Ambaye wayahudi walikuwa wanajua ujio wake? Jibu ni mtume Muhammad
Point 2
Na Wayahudi walijua ujio wa Mtume Muhammad Kwa sababu ametabiliwa na manabii wao
Kumbukumbu la Torati 33:2
Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kuume Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao.
Katika mlima Sinai alipewa utume Nabii Musa
Mlima Seiri upo Jerusalem hivyo unahusu utume wa Yesu
Mlima Parani upo Saudi Arabia huyo ni mtume Muhammad
Kwanza kwa akili ndogo tu unaweza jiongeza..vitabu ambavyo vinaamini katika nafsi ya utatu haviwezi mtabiri mtume ambaye anapingana na hiyo imani..Kwa hiyo hoja yako ni batili moja kwa moja.Sio kuwa haujaona point ila Sema hauna uwezo wa kupinga hizi hoja nilizo ziweka
Na kama kweli haujaziona points naweka tena na edit na kuacha points tupu
Point 1
Wayahudi walikuwa wanajua ujio wa Mtume Muhammad
Yohana 1:19
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Yohana 1:20
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Yohana 1:21
Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.
Baada ya Yohana kuanza mahubiri wayahudi wakamfuata kumuliza
Wewe ni kristo,?
Yohana akasema hapana
Wewe u Eliya?
Yohana akasema hapana
Wewe u nabii yule?
Yohana akasema hapana
Eliya anajulikana, kristo anajulika huyo nabii yule ni nani? Ambaye wayahudi walikuwa wanajua ujio wake? Jibu ni mtume Muhammad
Point 2
Na Wayahudi walijua ujio wa Mtume Muhammad Kwa sababu ametabiliwa na manabii wao
Kumbukumbu la Torati 33:2
Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kuume Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao.
Katika mlima Sinai alipewa utume Nabii Musa
Mlima Seiri upo Jerusalem hivyo unahusu utume wa Yesu
Mlima Parani upo Saudi Arabia huyo ni mtume Muhammad
Wewe huna ulijualo labda kama hayo maneno uliyosema hapo juu ni yako binafsi ila kama una itegemea bibilia katu huwezi kutetea ulicho kisemaUmeandika maelezo mareefu ila sijaona point hata moja zaidi zaidi ubwabwaja tu.Bila kupitia kwa Yesu hautauona ufalme wa Mbingu kwa sababu yeye ndio ya kweli na uzima.Hata ndani ya quran imeandikwa Yesu ndiyo njia iliyonyooka na wokovu.
Kwanza, ni jambo jema kuwa umekiri vitabu vya BIBLIA TAKATIFU vimo katika QURAN.Ni vitu common kweli, sasa nashangaa inakuaje inaoneka uislamu umekopy maandiko ya wakristo kwa kumaanisha biblia hali ya kuwa biblia huo mkusanyiko wake una vitabu hadi ambavyo vilikuwepo kabla ya ukristo?
Na hapo ndipo inapokuja hoja ya kujimilikisha vitabu au maandiko ambayo yalikuwepo kabla hata ya kuwepo ukristo.
Bibilia ni maneno ya Paulo utake ama usitake ushahidi tosha upo, ktk hiyo bibilia yakoKwanza, ni jambo jema kuwa umekiri vitabu vya BIBLIA TAKATIFU vimo katika QURAN.
Hakuna kitabu ndani ya BIBLIA TAKATIFU kilikuwepo kabla ya Ukristo ni wewe mkuu hujapata kuelewa nini maana ya Ukristo...
YESU alienda mlima wa kugeuzwa sura akatokewa na Musa na Eliya, najaribu kukuonesha kuwa hakuna kitabu ndani ya BIBLIA TAKATIFU hakina uhusiano na KRISTO...
Mkuu, unajua ninyi ndugu zangu mnapeñda kumezeshana vitu Ili kujifariji, chuki yenu Iko Kwa mtume Paulo katika BIBLIA TAKATIFU mtume Paulo aliandika vitabu 13 tu na hizo nyingi zilikuwa barua.Bibilia ni maneno ya Paulo utake ama usitake ushahidi tosha upo, ktk hiyo bibilia yako
Mkuu nakupata, najua wewe ni Mtu smart, ikiwa Paulo kaandika kwa maoni yake tena baadhi ya wafalme wali yakaataa, je hayo ni maneno ya mungu??, ikiwa hao mitume wanaongozwa na roho Mtakatifu na walishuhudia kufa kwa YESU, why kila mtu ana ongoea lake?, sasa hebu thibitisha YESU ni Mungu au ni mwana wa Mungu?Mkuu, unajua ninyi ndugu zangu mnapeñda kumezeshana vitu Ili kujifariji, chuki yenu Iko Kwa mtume Paulo katika BIBLIA TAKATIFU mtume Paulo aliandika vitabu 13 tu na hizo nyingi zilikuwa barua.
Sasa wewe unasema BIBLIA yote ni ya Mtume Paulo (jambo ambalo si kweli) na hushangai Mbona Quran yote ni ya Muhammad.
1.Kuhusu YESU jibu ni YESU ndiye MUNGU muumbaji.Mkuu nakupata, najua wewe ni Mtu smart, ikiwa Paulo kaandika kwa maoni yake tena baadhi ya wafalme wali yakaataa, je hayo ni maneno ya mungu??, ikiwa hao mitume wanaongozwa na roho Mtakatifu na walishuhudia kufa kwa YESU, why kila mtu ana ongoea lake?, sasa hebu thibitisha YESU ni Mungu au ni mwana wa Mungu?
Sidhani kama wewe unaujua ukristo na bibilia kuliko mchungaji wenu Ndacha Kuna clip kibao TikTok anasema hakuna utatu huo ni uongo nyinyi wenyewe wagalatia hamuna uhakika na mnacho kiaminoKwanza kwa akili ndogo tu unaweza jiongeza..vitabu ambavyo vinaamini katika nafsi ya utatu haviwezi mtabiri mtume ambaye anapingana na hiyo imani..Kwa hiyo hoja yako ni batili moja kwa moja.