Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Nilikuwa najua kuwa hauwezi kujibu Jangwa la Parani ambako Ishmael aliishi ndio nchi gani Kwa Sasa Kwa sababu wewe ni kafiri na siku zote kafiri kazi yake ni kupinga ukweli unao husu mambo ya Mungu muumba mbingu na aridhi

Ila nilikuwa nataka udharirike mbele ya wagalatia wenzanko na umefharirika vya kutosha
maana sidhani kama Kuna mkristo katika Dunia ambaye haijui kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi katika nchi ya Saudi Arabia ila wewe umekuwa bubu katika hilo
Eti haujui Ishmael aliishi nchi gani

Natoa hitimisho la andiko la habakuki ambalo Lili mtabiri MTUME MUHAMMAD

Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.

Hapo Mungu ametumia Land mark mbili katika huo utabiri Mji wa Tema na mlima Parani
maana anajua tabia za makafiri ni kupinga maandiko na kugeuza geuza

Parani ndio eneo ambalo Ishmael aliishi
Mwanzo 21:20
Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.

Temani ni mji ambao unatoka na jina la mtoto wa Nabii Ishmael aliyeitwa Tema

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Ona hapo Mungu alivyo fundi jina la Tema lipo Moja tu katika Bibilia mzima maana wengekuwa kina Tema wengi mngesema Tema aliyezungumziwa hapa sio Tema mtoto wa Nabii Ishmael kama ulivyoruka ruka kuhu eneo la Parani

Nakuwekea ramani ya kale ya bibilia hapo chini kukuonyesha kuwa huo mji wa Tema upo ndani ya Saudi Arabia

Katika hiyo ramani ya kale hapo Kuna Mji wa Tema, Dumah na Dedani hayo yote ni majina ya watoto wa Ishmael

Pia nakuwekea ramani ya Sasa ya Saudi Arabia kukuonyesha huo mji wa Tema Hadi Leo hii bado upo katika nchi ya Saudi Arabian

Pia nakuwekea ramani nyingine ya kale ya bibilia inaonyesha watoto wengi wa Ishmael akiwepo Qedar ambaye kizazi chake ndio amepatikana mtume Muhammad

Pia nakuwekea chati ya family tree ya Ishmael Ili kukuonyesha kuwa mtume Muhammad ametoka na uzao wa Nabii Ishmael kupitia Kwa mtoto Qedar

Tukikuambieni nyinyi wagalatia mmepotea na mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu muwe mnatuelewa

Sasa wewe kafiri endelea kupinga maandiko ya Bibilia pamoja na ramani zake Ili uendelee kuthibitisha ukafiri wako
 
Attachments

  • Screenshot_20241216-181639.jpg
    427.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241215-215915.jpg
    433.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241215-221922.jpg
    303.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241216-190633.jpg
    283.2 KB · Views: 3
Hakuna dini Ina hoja nyepesi na dhaifu kama uislamu, rukaruka weee Kuna maswali nimeuliza huko juu, miaka yote unatembeaga na hako karamani kakuungaunga na hiyo tree chart ya kutengenezwa, ndio maana huwezi na hutaweza kuleta ushahidi wa Muhammad na kizazi chake kuwa ni Ishamael kupitia Qurani

Kama kawaida Mimi nitaendelea kufanya shamba darasa

Maandiko yanasema wazi kuwa Ishmaeli aliishi katika jangwa la Parani:

Mwanzo 21:20-21: "Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde. Akakaa katika jangwa la Parani."
Jangwa la Parani linatajwa katika Biblia kama eneo lililokuwa karibu na Sinai, si sehemu moja tu maalum. Hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kwamba jangwa hili lilihusiana moja kwa moja na eneo la Saudi Arabia ya sasa.,nimeshathibitisha huko juu

Pia, Mwanzo 21:21 inataja kuwa Ishmaeli alioa mke kutoka Misri. Hii inaonyesha kuwa eneo alipoishi halikuwa mbali sana na Misri.

Kuhusu Tema na Mlima Parani, nimeshathibitisha huko mada zilizopita

Unamkurupukia Habakuki,kwanza uliwahi kumsikia hata kwenye Quran?😂😂😂

Habakuki 3:3: "Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye Mtakatifu kutoka mlima Parani."

hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kuunganisha mlima Parani au mji wa Tema moja kwa moja na Uislamu au Mtume tapeli Muhammad.

Umekuja na hoja ya kuungaunga Kuhusu Kizazi cha Ishmaeli

Kwa mujibu wa Mwanzo 25:12-18, watoto wa Ishmaeli waliishi katika maeneo mbalimbali, lakini maandiko hayajiwekei kikomo kusema kuwa kizazi cha Ishmaeli kilihusiana moja kwa moja na Mtume Muhammad:

Mwanzo 25:18: "Wakakaa toka Havila hata Shuri, iliyo mbele ya Misri, kando ya njia ya kwenda Ashuru."
Hii inaonyesha kuwa walienea katika maeneo mengi ya Mashariki ya Kati. Hata hivyo, Biblia haitaji popote kwamba kizazi cha Ishmaeli kitazaa Mtume tapeli Muhammad au kuhusiana na dini nyingine.

Habakuki 3:3 haina mahusiano na utabiri wa Mtume Muhammad:

Habakuki 3:3-6 ni maelezo ya Mungu mwenye utukufu, akielezea maajabu ya kazi zake za uumbaji na ukombozi. Haionyeshi wala haitaji majina ya watu au matukio ya baadaye kama unavyodai.Hii hoja ilishakufa kifo cha mende

Biblia haitaji popote kuwa tapeli Mtume Muhammad ni mtume wa Mungu. Badala yake, Biblia inasisitiza kuwa wokovu upo kwa kupitia Yesu Kristo pekee,na tujihadhali na mitume na manabii wa Uongo kama Mwamposa na Muhammad.

Yohana 14:6: "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi."

Hakuna maandiko yanayohusiana na dini nyingine au nabii mwingine nje ya Yesu Kristo kama njia ya wokovu., Muhammad ni tapeli tu
 
Umekuwa ukidanganya watu humu na hako kapicha kako ka family tree kauongo na hizo raman za kuungaunga

Nikisema UISLAMU UMEJENGWA KWA UONGO NA PROPAGANDA namaanisha ,ndio maana hoja nyingi za Uislamu ni za kuungaunga tu,mfano eti adamu alikuwa muislamu 🤣🤣🤣

Ona hii Ramani ya kutungatunga ili mradi tu ionekane Paran ni Saudia 🤣🤣

Kwamba Saudia Arabia ipo karibu na Misri

Ndio maana nasema UISLAMU NI DINI ILIYOJENGWA KWA UONGO NA PROPAGANDA

Saudia Arabia Leo kwenye Raman ukiangalia ,na Safari ya waisraeli ilivyokuwa unaona kabisa ni Uzushi na uongo mkubwa kusema Paran ni Saudia Arabia

Ramani hii hapa👇👇

Halafu unadanganya hapa kuwa Waisraeli walivuka Shamu wakingia Saudia wakavuka Tena Shamu wakarudi kuingia kaanani ,maana unadanganya kuwa Paran ni Saudia Arabia

Parani ipo kusini mwa Israel hapo

Nakusubiria uje na Ngojera zako, za Family tree🤣🤣
 
Ndo maana yake. Hakuna mkono wa kulia bila mkono wa kushoto
 
Nakuwekea ramani ya kale ya bibilia hapo chini kukuonyesha kuwa huo mji wa Tema upo ndani ya Saudi Arabia

Nafyeka Tena hiki kichaka chako kingine

Mji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.

Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.

Natoa hitimisho la andiko la habakuki ambalo Lili mtabiri MTUME MUHAMMAD
ANDIKO PEKEE LILILOMTABIRI TAPELI MUHAMMAD NI HILI HAPA 👇👇👇

Mathayo 7

15 “Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? 17 Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. 18 Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. 19 Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. 20 Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.”
 
Ishu ni kuwa ukiristu umekuwepo miaka 600 kabla ya Islam. Ila Hawa jamaa wanakuambia uislam ulianza tangu kuumbwa kwa ulimwengu
Inawezekana kwani Uislam uliletwa na shetani ila ulikuwa implemented wakati wa Muddy Kwani yeye ndiye alikuwa mtumishi wake mkuu hapa duniani.
 
Unazidi kujidharirisha Yani hata ulichoandika hakieleweki
hiki kitanzi kipo shingoni kwako na Kila ukikukuruka ndio kina zidi kubana shingo yako

Leo hi mandiko ya Bibilia na Ramani zake yamegeuka kuwa ya kuunga unga

Nini ambacho hajaelewa hapa sio unalia Lia tu

Natoa hitimisho la andiko la habakuki ambalo Lili mtabiri MTUME MUHAMMAD

Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.

Hapo Mungu ametumia Land mark mbili katika huo utabiri Mji wa Tema na mlima Parani
maana anajua tabia za makafiri ni kupinga maandiko na kugeuza geuza

Parani ndio eneo ambalo Ishmael aliishi
Mwanzo 21:20
Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.

Temani ni mji ambao unatoka na jina la mtoto wa Nabii Ishmael aliyeitwa Tema

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Ona hapo Mungu alivyo fundi jina la Tema lipo Moja tu katika Bibilia mzima maana wengekuwa kina Tema wengi mngesema Tema aliyezungumziwa hapa sio Tema mtoto wa Nabii Ishmael kama ulivyoruka ruka kuhusu eneo la Parani

Nakuwekea ramani ya kale ya bibilia hapo chini kukuonyesha kuwa huo mji wa Tema upo ndani ya Saudi Arabia

Katika hiyo ramani ya kale hapo Kuna Mji wa Tema, Dumah na Dedani hayo yote ni majina ya watoto wa Ishmael (Mwanzo 21:13)

Pia nakuwekea ramani ya Sasa ya Saudi Arabia kukuonyesha huo mji wa Tema Hadi Leo hii bado upo katika nchi ya Saudi Arabian

Pia nakuwekea chati ya family tree ya Ishmael Ili kukuonyesha kuwa mtume Muhammad ametoka na uzao wa Nabii Ishmael kupitia Kwa mtoto Qedar

Tukikuambieni nyinyi wagalatia mmepotea na mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu muwe mnatuelewa

Nimeweka ushahidi wa mandiko na ramani ya Bibilia

Unatakiwa upinge hicho nilichokiweka hapo Kwa ushahidi wa mandiko na ramani sio unaleta mahubiri

Mahubiri peleka huko kanisani mnapo danganyana

Attachments​

Attachments

  • Screenshot_20241216-181639.jpg
    427.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241215-215915.jpg
    433.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241216-190633.jpg
    283.2 KB · Views: 2
Unasema mji wa Tema haupo Saudi Arabia?
Inamaana hizo ramani hauoni hapo hiyo Tema lipo

Nimekuambia hiki kitanzi kipo shingoni kwako na ukikukuruka kinazidi kukaza

Sasa ona hapo Nabii Isaya anakuambia kuwa mji wa Tema upo Uarabuni

Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.

Nabii Isaya hapo na yeye ametaja mji wa Tema na Denani hayo yote ni majina ya watoto wa Ishmael baadae ndio yakawa majina ya miji

Yani Sasa hata wagalatia wenzanko wanakushangaa

Angalia ramani ya Saudi Arabia hapo chini inaonyesha mji wa Tema na Dedani
 
Attachments

  • Screenshot_20241216-181639.jpg
    427.9 KB · Views: 2
Maandiko yanasema wazi kuwa Ishmaeli aliishi katika jangwa la Parani:

Mwanzo 21:20-21: "Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde. Akakaa katika jangwa la Parani."
Jangwa la Parani linatajwa katika Biblia kama eneo lililokuwa karibu na Sinai, si sehemu moja tu maalum. Hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kwamba jangwa hili lilihusiana moja kwa moja na eneo la Saudi Arabia ya sasa.,nimeshathibitisha huko juu

Pia, Mwanzo 21:21 inataja kuwa Ishmaeli alioa mke kutoka Misri. Hii inaonyesha kuwa eneo alipoishi halikuwa mbali sana na Misri.

Kuhusu Tema na Mlima Parani, nimeshathibitisha huko mada zilizopita

Unamkurupukia Habakuki,kwanza uliwahi kumsikia hata kwenye Quran?😂😂😂

Habakuki 3:3: "Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye Mtakatifu kutoka mlima Parani."

hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kuunganisha mlima Parani au mji wa Tema moja kwa moja na Uislamu au Mtume tapeli Muhammad.

Umekuja na hoja ya kuungaunga Kuhusu Kizazi cha Ishmaeli

Kwa mujibu wa Mwanzo 25:12-18, watoto wa Ishmaeli waliishi katika maeneo mbalimbali, lakini maandiko hayajiwekei kikomo kusema kuwa kizazi cha Ishmaeli kilihusiana moja kwa moja na Mtume Muhammad:

Mwanzo 25:18: "Wakakaa toka Havila hata Shuri, iliyo mbele ya Misri, kando ya njia ya kwenda Ashuru."
Hii inaonyesha kuwa walienea katika maeneo mengi ya Mashariki ya Kati. Hata hivyo, Biblia haitaji popote kwamba kizazi cha Ishmaeli kitazaa Mtume tapeli Muhammad au kuhusiana na dini nyingine.

Habakuki 3:3 haina mahusiano na utabiri wa Mtume Muhammad:

Habakuki 3:3-6 ni maelezo ya Mungu mwenye utukufu, akielezea maajabu ya kazi zake za uumbaji na ukombozi. Haionyeshi wala haitaji majina ya watu au matukio ya baadaye kama unavyodai.Hii hoja ilishakufa kifo cha mende

Biblia haitaji popote kuwa tapeli Mtume Muhammad ni mtume wa Mungu. Badala yake, Biblia inasisitiza kuwa wokovu upo kwa kupitia Yesu Kristo pekee,na tujihadhali na mitume na manabii wa Uongo kama Mwamposa na Muhammad.

Yohana 14:6: "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi."

Hakuna maandiko yanayohusiana na dini nyingine au nabii mwingine nje ya Yesu Kristo kama njia ya wokovu., Muhammad ni tapeli tu
 
Mji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.

Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.
 
Attachments

  • images (17).jpeg
    43.3 KB · Views: 2
Kila upande unaweza kujitetea kama hivyo ila kama utatizama vizuri utaona shida sio watu kutoelewa vizuri na kukosa elimu tu bali biblia yenyewe ilivyo ndio yenye shida.
 
Kila upande unaweza kujitetea kama hivyo ila kama utatizama vizuri utaona shida sio watu kutoelewa vizuri na kukosa elimu tu bali biblia yenyewe ilivyo ndio yenye shida.
Biblia Haina shida ,wenye shida ni watu
 
Biblia Haina shida ,wenye shida ni watu
Mfano We siku ukiona mada watu wanabishana kuhusu Yesu kwamba ni Mungu/mtoto wa Mungu au si Mungu basi jaribu kufuatilia kwa makini hiyo mada bila kuchagia. Hapo utaona shida za watu na shida ya biblia yenyewe.

Kuna mambo yanajulikana ndio uelewa au ndivyo wakristo wabavyoamini ila unakuja kukuta huo uelewa umejengwa katika msingi wa tafsiri zisizo sahihi za maandiko ya biblia.
 
Shida ni watu wenyewe ,Yesu ana majina ana Sifa nyingi kutokana na muktadha husika, Yesu kama Mungu ana Sifa zote za Umungu, Yesu kama mwana wa Mungu kaelezewa pia,

Kama mwanadamu wa kawaida kaelezewa pia ,

Sasa ukikutana na Mfano Muislamu yeye anaegemea Yesu ni mwanadamu ,Mkristo atajikita kwenye Uungu au uwana
 
Kama hilo suala la Yesu hata wakristo wenyewe hutofautiana na wote hutumia maandiko.
 
Hongera kwa somo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…