Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Nilikuwa najua kuwa hauwezi kujibu Jangwa la Parani ambako Ishmael aliishi ndio nchi gani Kwa Sasa Kwa sababu wewe ni kafiri na siku zote kafiri kazi yake ni kupinga ukweli unao husu mambo ya Mungu muumba mbingu na aridhiNitakugeuza Shamba darasa ,uzuri Mimi nilikuwa muislamu kwahiyo hunisumbui
Ndio maana nilipokuomba utumie Quran uthibitishe Paran ni Saudia Arabia,umeshindwa sababu Quran ni kitabu cha Uongo , na ni kitabu kilichojaa uzushi na propaganda tu
Mimi nakupigia na maandiko tu ya Biblia , Parani ni Wapi kwa Mujibu wa Biblia?
Biblia (Mwanzo 21:20-21): "Mungu alikuwa pamoja na huyo mtoto, naye akakua, akakaa nyikani, akawa mpiga upinde. Akakaa katika jangwa la Parani, mama yake akamwoza mke kutoka Misri."
Andiko hili linaonyesha kuwa Ismail aliishi Parani lakini mama yake Hajir, akiwa Mmisri, alimtafutia mke kutoka Misri. Hii inathibitisha kwamba Parani si sehemu ya Misri, lakini pia haimaanishi kuwa ni Saudi Arabia ya sasa. Parani kihistoria inahusiana zaidi na eneo la Sinai, ambalo lilikuwa sehemu ya safari ya Waisraeli walipotoka Misri (Hesabu 10:12, Hesabu 12:16).
Hesabu 13:3: Parani ilikuwa karibu na Kadesh-Barnea, eneo linalojulikana kuwa sehemu ya jangwani karibu na milima ya Sinai.
Ramani ya Biblia hii hapa👇👇👇
View attachment 3178133
Parani inahusiana na eneo la milima na nyika katika Peninsula ya Sinai. Tafsiri ya Kijografia inaonyesha kuwa Parani ilikuwa kati ya Misri na nchi za Kaanani (Israel ya leo).
Saudi Arabia ya leo haijatajwa katika maandiko haya ya Biblia kuhusu Parani., Ndio maana nilipokubana Ulete basi Qurani inathibitishaje Paran ni Saudia Arabia,umebaki kulia lia tu ,
Parani kihistoria inahusishwa na Jangwa la Sinai, eneo kati ya Bahari ya Shamu (Red Sea) na Israel ya sasa.
Baadhi ya ramani za zamani zinaonyesha kuwa Parani ilikuwa ni sehemu ya milima ya Sinai inayopakana na Negev (Israel ya sasa) na maeneo mengine kama Kadesh-Barnea.
Ushahidi wa Ramani huu hapa👇👇👇
View attachment 3178134
Hakuna ushahidi wa kihistoria au wa Biblia unaoonyesha kwamba Parani ilikuwa ndani ya Saudi Arabia ya sasa.
Mkondo wa Bahari ya Shamu (Red Sea) unatenganisha Saudi Arabia na Sinai, lakini maandiko hayasemi kwamba Ismail aliishi upande wa Saudi Arabia.,
Ramani hii hapa👇👇 ,Red Sea inatenganisha Saudi Arabia na Sinai
View attachment 3178135
NAKULAMBA MASWALI AMBAYO HATA MASHEIKH WALIYAKIMBIA PALE MSIKITI WA MJIMWEMA
1. Ikiwa unadai Parani ni Saudi Arabia ya sasa, je, una andiko la Koran au Biblia linalothibitisha wazi kuwa Parani ipo upande wa pili wa Bahari ya Shamu ambapo ndio ilipo Saudi Arabia?
2. Historia inathibitishaje kwamba Ismail na Hajir walihamia upande wa Saudi Arabia wakati Biblia inasema walikaa Jangwa la Sinai (karibu na Kadesh-Barnea)?
Ila nilikuwa nataka udharirike mbele ya wagalatia wenzanko na umefharirika vya kutosha
maana sidhani kama Kuna mkristo katika Dunia ambaye haijui kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi katika nchi ya Saudi Arabia ila wewe umekuwa bubu katika hilo
Eti haujui Ishmael aliishi nchi gani
Natoa hitimisho la andiko la habakuki ambalo Lili mtabiri MTUME MUHAMMAD
Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.
Hapo Mungu ametumia Land mark mbili katika huo utabiri Mji wa Tema na mlima Parani
maana anajua tabia za makafiri ni kupinga maandiko na kugeuza geuza
Parani ndio eneo ambalo Ishmael aliishi
Mwanzo 21:20
Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.
Temani ni mji ambao unatoka na jina la mtoto wa Nabii Ishmael aliyeitwa Tema
Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
Ona hapo Mungu alivyo fundi jina la Tema lipo Moja tu katika Bibilia mzima maana wengekuwa kina Tema wengi mngesema Tema aliyezungumziwa hapa sio Tema mtoto wa Nabii Ishmael kama ulivyoruka ruka kuhu eneo la Parani
Nakuwekea ramani ya kale ya bibilia hapo chini kukuonyesha kuwa huo mji wa Tema upo ndani ya Saudi Arabia
Katika hiyo ramani ya kale hapo Kuna Mji wa Tema, Dumah na Dedani hayo yote ni majina ya watoto wa Ishmael
Pia nakuwekea ramani ya Sasa ya Saudi Arabia kukuonyesha huo mji wa Tema Hadi Leo hii bado upo katika nchi ya Saudi Arabian
Pia nakuwekea ramani nyingine ya kale ya bibilia inaonyesha watoto wengi wa Ishmael akiwepo Qedar ambaye kizazi chake ndio amepatikana mtume Muhammad
Pia nakuwekea chati ya family tree ya Ishmael Ili kukuonyesha kuwa mtume Muhammad ametoka na uzao wa Nabii Ishmael kupitia Kwa mtoto Qedar
Tukikuambieni nyinyi wagalatia mmepotea na mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu muwe mnatuelewa
Sasa wewe kafiri endelea kupinga maandiko ya Bibilia pamoja na ramani zake Ili uendelee kuthibitisha ukafiri wako