Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Rabbish from kafiri
 
Uislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
 
Umeleta hoja bila ushahidi kitaalam tunaita "RANTING" au kwa kiswahili "KUROPOKA".
Sijui kama umeelewa hoja tangia mwanzo. RANTING au RAVING vinatoka wapi hapa? Tatizo ni kujibu bila kusoma between the lines mwanangu. Tokana na ushabiki na imani, wengi wanajibu bila kufikiri na ndiyo maana ilikuwa rahisi kuwaingiza kwenye utumwa wa kutumikia mila za watu na kukimbia zao zikiwamo imani.
 
Uislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
Hakuna aliye sahihi hasa ikizingatiwa kuwa zote ni ngano za kubuni mwanangu.
 
Unajua Maana ya Iqra Bismi Rabbika?
Ngoja nikusaidie Neno ulilotaja Tafsiri yake ni "Soma kwa jina la Mola wako mlezi"

Yaani Hiyo ndo kauli aliyoambiwa na Malaika ila sio kwanba alishindwa Kutamka hayo maneno..Sijui kama unaelewa ?
Nisingejua maana ya iqra bismi rabbika nisingelitumia mwanangu. Tumia akili japo kidogo. Unawezaje kuwambia mtu asiyejua kusoma soma wakati hajui? Itakuwa ima hujui au anayeripoti hajui au anakosea. Nani asiyejua kuwa Mohamed alikuwa kihiyo?
 
Mbona wanasema kuwa mungu wao ni mmoja katika utatu? Tupe na sifa za allah ambaye bila kumtaja mohamed huwezi kuwa muislam? Nadhani waislam wana miungu miwili lakini hawajui. Maana bila kusema ashhadu alla ilaha illallah wa ashhadu anna muhammadarrasulullah hujawa muislam.
 
Upumbavu wa wahuni kina gamanywa na mwamposa huu
 
Uislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
Mudi boy ni muongo ...ukitumia akili na logic utagundua uongo wa mudi boy
 
Uislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
Agano la kale lipo sahihi.
 
Upumbavu uko hapa..
bibilia imekopi Torati na kujfanya ni toleo la kale lakini wenye Torati hawaikubali bibilia wala mtumishi wake .....
Hata wao wanafikiri ingekuwaje kama Torati ingekopi bibilia

Upumbavu uko hapa..
bibilia imekopi Torati na kujfanya ni toleo la kale lakini wenye Torati hawaikubali bibilia wala mtumishi wake .....
Hata wao wanafikiri ingekuwaje kama Torati ingekopi bibilia

View attachment 3171712
Hujui kama Genesis ni sehemu ya Torah ?

Au hujui kama Habari za Abraham na Isaac zimeandikwa kwenye Genesis ?

Mimi mtu hawezi kunishawishi kusoma Quran.
 
Huwa sipati jibu kwenye hili swali, kwanini muarabu aanzishe dini mpya miaka 500 baada ya Kristo kuondoka, dini ambayo imesababisha vurugu duniani.
Malaria 2
 
Upumbavu uko hapa..
bibilia imekopi Torati na kujfanya ni toleo la kale lakini wenye Torati hawaikubali bibilia wala mtumishi wake .....
Hata wao wanafikiri ingekuwaje kama Torati ingekopi bibilia

View attachment 3171712

Uislamu umebuniwa miaka 500 baada ya Kristo, ukaja na mafundisho tofauti yanayokinzana na kila kitu alichofundisha Yesu.
 
Mambo mengi ktk uislam nayakubali ila lile la kudai kwamba lugha itakayo kuwa inazungumza huko mbinguni ni kiarabu tu.
Sasa wachina zaidi ya billion moja watakuwa wanazungumza lugha gani.
Au tutajikuta tu tunazungumza kiarabu?

Hiyo ni hoja ambayo huwa hawajawahi kuijibu hata siku moja.
Lkn naona Kwamba hiyo ni mbinu ya waarabu kutumia uislam kama chombo au mpango wa kueneza tamaduni,mila na desturi za wao. Wee huwezi unaamka saa kumi alfajili na kuanza kuimba na ma loudspeakers πŸ“’ πŸ”Š πŸ”ˆ na kuanza kutamka maneno yale yale miaka nenda miaka rudi bila reasoning. Wee unafikiri kuna ibada hapo. Kama siyo mental hijack na waarabu ni nini?
 
elliakim una bonge la pwenti. Hii inaitwa conditioning ambapo mtu akiiimba wimbo ule ule hutokea kuwa sehemu ya maisha yake. Hata watekwaji kwenye kinachoitwa stockholm syndrome, kwa kuzoea kuwaona na kuintract na watekaji wao, hutokea kuwapenda na kuwaona kama wenzao wasio na kosa.
 
Nisingejua maana ya iqra bismi rabbika nisingelitumia mwanangu. Tumia akili japo kidogo. Unawezaje kuwambia mtu asiyejua kusoma soma wakati hajui? Itakuwa ima hujui au anayeripoti hajui au anakosea. Nani asiyejua kuwa Mohamed alikuwa kihiyo?
Habari Mjukuu wangu!
Umesahau kuwa Mungu alijua Kuwa Mariam hana Mume na Ni bikra ila alimwambia Atapata mimba na atamzaa Yesu?
Je mungu alikuwa Hajui kama Mariam ni bikra na Hana Mume wakati huo?
Tena jambo hilo linatukia kwa malaika yuleyule aliyekwwnda Kwa Mohamedi na Kumwambia Asome wakati anajua kuwa hajui kusoma?

Lengo la Kumwambia Mariam Atazaa wakati hana uwezo wa Kifanya Hivyo ndo lengo hilo hilo la kumwambia Mohamedi asome wakati hawezi kusoma..

Na mara nyingi walipokuwa wanahoji au Kuuliza kuhusu Ishara ya mambo hayo walipewa Kumbuka Kuhusu Zakaria kuhusu Kumzaa Yohana..
 
Upumbavu wa wahuni kina gamanywa na mwamposa huu
Upumbavu?Hapa huyo Mwamposa & co wanaingiaje?
Upo serious kweli Mwamba
Haya Naomba niletee Rank za Divine Katika Spiritual Realm/God Kingdom
Kama unajua mkuu,
Mimi nitakuletea
Hapa hapa namna ya kufika higher consciousness na kua attach spiritual Enlightenment!

Nipo tayari kwa kujifunza kwako!
 
Uwe na adabu mwanangu. Mie ni baba yako na siyo babu yako hadi uniite mjuku. Mariam aliza baada ya kuzingirwa na roho mtakatifu na kupata mimba. Je alipomzingira alimfanya nini? Tutajuaje kama aliyemzingira alikuwa roho mtakatifu na si mbakaji au mshikaji? Tutajuaje kama hii hadi ya kupata mimba kwa roho mtakatifu ilitengezwa kumuepusha na kashfa ya kuzaa kabla ya ndoa.
 
Wewe Ni Mjukuu wangu na Hilo Usibishe kabisa..
Wewe Ni mtoto mdogo sana kwa Jinsi unavyojenga hoja Miaka yako haizidi 40 kwahyo Bado mtoto sana...

Ila nimefurahi jinsi ulivyojenga hoja ya Mariam..
Sasa kama Ukimkana mariam Kubeba mimba Maana Yake unakana imani ya Kikristo yaani Msingi wa Imani ya Kikristo..

Kwahyo umesema Mariam alibakwa?🀣🀣🀣
Dah kuna Vijana Akili mmezificha wapi? 🀣🀣🀣

Kwahyo Conclusion yako ni Kwamba Roho Mtakatifu alimbaka Mariam?? Dah Hii kali sana 🀣🀣
 
Nasema tena mwanangu. Niheshimu. Ungejua kwangu mtu mwenye miaka 40 au 50 ni kichanga kama wewe. Laiti ungekutana nami, ungesema babu badala ya kujihadaa eti mie mjukuu wako kumbaff kabisa. Umeniudhi hadi nikatukani. Nyambaff kabisa chika adabu na adabu ikuchike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…