DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Bwana NERO alitawala kuanzia 13 October 54 – 9 June 68 ADUislam ulianzishwa na dola ya Rumi ili kuupa Ukristo changamoto au upinzani. Uislam hautoki kwa Mungu, maandalizi ya dini ya shetani yalianzia huko na sasa shetani ka advance sana.
Iko hivi; baada ya wanafunzi wa Yesu kuuawa sana na dola ya Rumi, hasa mfalme wa wakati huo (cheo cha mfalme those days wao walikua wanaita Kaisari ) bwana Nero, aliona ni kama kadiri anavyo watisha kwa kuwaua ndio wanaongezeka zaidi, wahubiri wao wanaongezeka na kupata ujasiri zaidi, think tank ya dola la Rumi likaja na option ya kutengeneza dini nyingine ambayo itakua against na Ukristo. Muulize muislam yeyote hata anae anza kujifunza Uislam leo, atakwambia hivi, "miongoni mwa watu wa kwanza ku justify utume wa Mohammed ni padre wa Roman Catholic aliyekua anahudumu pale Makkah na Madina. Now why padre? It is because waasisi wa Uislam ni Vatcan
Halafu Ukristo Ukaanza kuwa Dini ya Serikali Mwaka 380 AD na baada ya Hapo hakuna Mkristo alieuliwa Tena..zaidi ya Wayahudi na wengine waliopingana na Ukristo..
Halafu from No where, How Comes Waje Kuleta Suluhisho Hao unaowaita Think Tank kwamba wautafutie Ukristo (Wakati huo tayar ni Dini ya Serkali) Mpinzani Mwaka 622 AD..(Dini ya kiislamu Ilipoanza)
Yaani Tangazo rasmi la Ukristo kuwa dini ya serikali ya Dola ya Kirumi lilitolewa mwaka 380 AD kupitia Amri ya Thesalonike (Edict of Thessalonica). Amri hii ilitolewa na Kaisari Theodosius I, pamoja na Kaisari Gratian na Valentinian II..
Nashindwa Kuconnect Dot ya Facts zako..
Yaani Logic Yako haiji kabisa..hata Kidogo yaani Tayari Ukristo Umekuwa Dini ya Kiserkali kwa Amri maalumu ya Kifalme takribani miaka 242 halafu baadae Walete dini ya Kupingana nayo..
Hapo Kiukweli Your logic is non sequitur