Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Bwana NERO alitawala kuanzia 13 October 54 – 9 June 68 AD
Halafu Ukristo Ukaanza kuwa Dini ya Serikali Mwaka 380 AD na baada ya Hapo hakuna Mkristo alieuliwa Tena..zaidi ya Wayahudi na wengine waliopingana na Ukristo..

Halafu from No where, How Comes Waje Kuleta Suluhisho Hao unaowaita Think Tank kwamba wautafutie Ukristo (Wakati huo tayar ni Dini ya Serkali) Mpinzani Mwaka 622 AD..(Dini ya kiislamu Ilipoanza)

Yaani Tangazo rasmi la Ukristo kuwa dini ya serikali ya Dola ya Kirumi lilitolewa mwaka 380 AD kupitia Amri ya Thesalonike (Edict of Thessalonica). Amri hii ilitolewa na Kaisari Theodosius I, pamoja na Kaisari Gratian na Valentinian II..

Nashindwa Kuconnect Dot ya Facts zako..

Yaani Logic Yako haiji kabisa..hata Kidogo yaani Tayari Ukristo Umekuwa Dini ya Kiserkali kwa Amri maalumu ya Kifalme takribani miaka 242 halafu baadae Walete dini ya Kupingana nayo..
Hapo Kiukweli Your logic is non sequitur
 
Ona umeishia kutotoa ushahidi kuhusu mada yako uliyoianzisha , wacha kuzunguka weka ushahidi unaothibitisha hayo uliyoandika.
 
Kwani mungu amewahi kubadilika?
 
Uislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
Uyahudi na Ukristo ni dini za kale zaidi kuliko Uislamu.
 
Kweli wewe ni mjinga. Hujui kama yule mkuresh asiyejua kusoma wala kuandika alisomewa Biblia na Padri wa Kirumi mkuu?
Huoni huo ni dalili na miujiza kutoka kwa mungu kama mtu asiyejua kusoma na kuandika kaleta kitabu kisichokuwa na shaka , ewe kafir unataka dalili gani mungu wako akuletee ndio uelewe
 
👍👍👍
 
yaani Iko hv
Myahudi, Mrumi, Mkristo ,Mohamad, ongeza na dini unazozijua , hawajawahi kum kumuelewa huyu mwamba anaitwa Yesu Kristo
wote wanampinga
 
Kweli wewe ni mjinga. Hujui kama yule mkuresh asiyejua kusoma wala kuandika alisomewa Biblia na Padri wa Kirumi mkuu?
Baada ya kusomewa ndo akachukua mafundisho ya biblia?kachukuaje wakati hajui kusoma Wala kuandika?
 
Uislamu umebuniwa miaka 500 baada ya Kristo, ukaja na mafundisho tofauti yanayokinzana na kila kitu alichofundisha Yesu.
Na ukristo ulianzishwa na wazungu miaka 400 baada ya Torati ndio maana wazayuni alikotokea yesu hawautaki ukristo, sababu bibilia ya agano jipya imejaa pumba tupu ...


 
Kuna ni Oral tradition toka miaka hio hadi leo, vitu vidogo kama hivi hamvijui mnaanza tu ku spread mi's information.
 
Umenichekesha na kuniacha hoi. Eti uzima wa milele! Vipi wakati akizikwa mtu wakristo husema apumzike milele kwenye nyumba yake ya milele. Hapa kuna uzima? Kuna umilele wowote katika uzima au ufu?
Biblia haisemi kuwa kifo/kaburi ni nyumba ya milele, Biblia inasema wafu wote watafufuliwa. Kufufuka kwa Yesu ni uthibitisho kuwa wafu watafufuliwa. Wanaosema kuwa kaburi ni nyumba ya milele sio Wakristo, bado wanahitaji elimu ya Ukristo na Maandiko Matakatifu.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…