😂😂😂Hiyo ni hoja ambayo huwa hawajawahi kuijibu hata siku moja.
Lkn naona Kwamba hiyo ni mbinu ya waarabu kutumia uislam kama chombo au mpango wa kueneza tamaduni,mila na desturi za wao. Wee huwezi unaamka saa kumi alfajili na kuanza kuimba na ma loudspeakers 📢 🔊 🔈 na kuanza kutamka maneno yale yale miaka nenda miaka rudi bila reasoning. Wee unafikiri kuna ibada hapo. Kama siyo mental hijack na waarabu ni nini?
Hujui Wala hujasoma Quran.Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Waislam wanaabudu Mungu mmoja tu, hao wengine wana miungu watatu mwana Baba na roho.
Hata baniani nao huabudu mungu wao mmoja Acha hoja za kitotoWaislam wanaabudu Mungu mmoja tu, hao wengine wana miungu watatu mwana Baba na roho
Humu JF basi tu tunatumia kupoteza muda...na kusoma habari mpyaNimegundua Jf wengi hawana elimu kuhusu dini zao, sio wakristo wala waislamu, wengi wanakurupuka kwa mihemko na chuki dhidi ya waumini wa dini tofauti na zao.
Kujua nini na kwanini? Kuna wazee wengi ambao hawakujua kusoma na kuandika lakini waliwapeleka watoto wao wakasoma hadi vyuo vikuu. Akina Plato tunaowakariri kila uchao hawakuwa wamesoma. Yesu na Mohamed wanaofuatwa walikuwa maamuma wa kawaida tu wasio na shahada wala cheti chochote mwanangu. Akina Mkwawa na Mirambo wala hawakuona darasa lakini walifanya makubwa kuliko hao wasomi wako.
Ukiristo wenyewe umecopy na kupasteBila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Sio kweli. ..Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Toa rejea Yako acha maneno ya inasemekanaNi kweli uislamu umejengwa Kwa msingi wa Ukristo na uko hapo kubishana na KRISTO, kumkataa, kumkanusha, kusema hakufa Wala si Mungu.
Yani ule ukiri utakaompatia mtu uzima wa milel, Katika uislamu unatakiwa uukanushe, alafu unapewa mambo ya kimaadili na Sheria za namna ya kuishi.
Kimsingi hili linahusu uzima wa milele dhidi ya mauti ya milele Moja Kwa Moja.
Inasemekana Mtume Muhammad alikuwa na rafiki Mkristo na ndiye aliyemfundisha haya mambo ya Kibiblia uyaonayo katika Quran.
Kuna nadharia nyinhi kuhusu uislam. Pia waumini wamedangantwa sana kwenye uislam, mpaka kuambiwa kuwa quran ilishushwa toka kwa Mungu, wakati ndani ya quran, imasema eti Mohmd alikutana na malaika Gibril, akamwambia aandike atakayomwambia, lakini Mohmd akamwambia kuwa hana kalamu. Halafu kumbukumbu nyingine ndani ya qurani Mohm anaeleza kuwa yeye hakuwahi kujua kuandika wala kusoma, ila alimwomba mtu mwingine aandike aliyokuwa ameambiwa!
Quran ni biblia iliyoandikwa kishairi na Biblia ni Quran iliyoandikwa kwenye prose. Simpo
Husomi hivyo vitabu, biblia haisemi kama adam ni mtu wa kwanza bali palikua na watu wengine,pia inasema adam alikua bustanini duniani, Quran iko wazi adam alikua wa kwanza na bustani ile ni moja ya bustani peponiBila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Kwamba umesikiasikia tu nawe ukabebanimewahi kusikia Quran ni MKUSANYIKO WA SIMULIZI za yale yaliyotokea kipindi hicho. ni kama vile ipite miaka 100 kutokea sasa hlf mtu akupe stori za wkt huu ulivyokuwa. hio inayosemwa imeandikwa na mungu mwenyewe, hiyo🤔watuache kwanza
Baniani Wana miungu lukuki,Mungu wa mvua,mapenzi, kilimo nkH
Hata baniani nao huabudu mungu wao mmoja Acha hoja za kitoto
Umeandika Ujinga, inaonyesha hukutimia akili yako vizuri. Biblia imetangulia zaidi ya miaka 500 kabla ya Quran. Iwezekane vipi Biblia ije ikopi kitu kilichokuja baada yake??Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Hapo ndipo alipozaliwa YESU KRISTO tayari miaka 600 inasoma
Hebu niambie uyahudi ulikuwa duniani miaka mingapi kabla ya ukristo?Uyahudi na Ukristo ni dini za kale zaidi kuliko Uislamu.
Punguza makasiriko ndugu,pokea ukweli kisha ujitafakari/ujitathimini na uchukue hatua,utoke,mikononi mwa shetani.Rabbish from kafiri
Huo ndio ukweli ndugu yangu.🤣🤣🤣.kwa hyo Muhammad Ali weka kwenye utumie na roman Catholic.
Vichekesho hivi.