Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
😂😂😂Hiyo ni hoja ambayo huwa hawajawahi kuijibu hata siku moja.
Lkn naona Kwamba hiyo ni mbinu ya waarabu kutumia uislam kama chombo au mpango wa kueneza tamaduni,mila na desturi za wao. Wee huwezi unaamka saa kumi alfajili na kuanza kuimba na ma loudspeakers 📢 🔊 🔈 na kuanza kutamka maneno yale yale miaka nenda miaka rudi bila reasoning. Wee unafikiri kuna ibada hapo. Kama siyo mental hijack na waarabu ni nini?