Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Hiyo ni hoja ambayo huwa hawajawahi kuijibu hata siku moja.
Lkn naona Kwamba hiyo ni mbinu ya waarabu kutumia uislam kama chombo au mpango wa kueneza tamaduni,mila na desturi za wao. Wee huwezi unaamka saa kumi alfajili na kuanza kuimba na ma loudspeakers 📢 🔊 🔈 na kuanza kutamka maneno yale yale miaka nenda miaka rudi bila reasoning. Wee unafikiri kuna ibada hapo. Kama siyo mental hijack na waarabu ni nini?
😂😂😂
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Hujui Wala hujasoma Quran.
Zaidi ya kumtaja Yesu (Issa bin Mariam) hakuna lolote lingine Toka kwa Paulo na Biblia ya King Constantine wala King James.
Kilichopo ni nukuu chache za uumbwaji zinazo shabiana na Torah ya Wayahudi.
Sasa nusu ya biblia ya Constantine na James ni full copy and paste ya Torah
Fika hujui Torah ni kitabu cha nani na wenye kitabu chao hawamtambui wala kumkubali bwana Yesu.
 
Nimegundua Jf wengi hawana elimu kuhusu dini zao, sio wakristo wala waislamu, wengi wanakurupuka kwa mihemko na chuki dhidi ya waumini wa dini tofauti na zao.
Humu JF basi tu tunatumia kupoteza muda...na kusoma habari mpya
Lakini Kumejaa vilaza na mbulula kwa zaidi ya 98%....sio tena sehemu ya kujadiliana kwa hoja zenye mantiki kama miaka ya mwanzoni.....
 
Ukristo umeanzia hapa.

Yohana 14: 1 - 3

Yohana 14:6

Na kitabu cha Yohana hakijaandikwa na Paulo.
 
Kwa jinsi ndugu zetu mnavyo hangaika na Uislamu hadi nawaonea huruma. Muende mkatibiwe mtakuwa mnaumwa si bure.
Uislamu ni dini yetu haiwahusu. Nyie mna dini yenu, tuacheni na dini yetu.
 
Kujua nini na kwanini? Kuna wazee wengi ambao hawakujua kusoma na kuandika lakini waliwapeleka watoto wao wakasoma hadi vyuo vikuu. Akina Plato tunaowakariri kila uchao hawakuwa wamesoma. Yesu na Mohamed wanaofuatwa walikuwa maamuma wa kawaida tu wasio na shahada wala cheti chochote mwanangu. Akina Mkwawa na Mirambo wala hawakuona darasa lakini walifanya makubwa kuliko hao wasomi wako.
 
Attachments

  • FB_IMG_1731990701892.jpg
    FB_IMG_1731990701892.jpg
    87 KB · Views: 2
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Ukiristo wenyewe umecopy na kupaste
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Sio kweli. ..
 
Ni kweli uislamu umejengwa Kwa msingi wa Ukristo na uko hapo kubishana na KRISTO, kumkataa, kumkanusha, kusema hakufa Wala si Mungu.

Yani ule ukiri utakaompatia mtu uzima wa milel, Katika uislamu unatakiwa uukanushe, alafu unapewa mambo ya kimaadili na Sheria za namna ya kuishi.

Kimsingi hili linahusu uzima wa milele dhidi ya mauti ya milele Moja Kwa Moja.

Inasemekana Mtume Muhammad alikuwa na rafiki Mkristo na ndiye aliyemfundisha haya mambo ya Kibiblia uyaonayo katika Quran.
Toa rejea Yako acha maneno ya inasemekana
 
Kuna nadharia nyinhi kuhusu uislam. Pia waumini wamedangantwa sana kwenye uislam, mpaka kuambiwa kuwa quran ilishushwa toka kwa Mungu, wakati ndani ya quran, imasema eti Mohmd alikutana na malaika Gibril, akamwambia aandike atakayomwambia, lakini Mohmd akamwambia kuwa hana kalamu. Halafu kumbukumbu nyingine ndani ya qurani Mohm anaeleza kuwa yeye hakuwahi kujua kuandika wala kusoma, ila alimwomba mtu mwingine aandike aliyokuwa ameambiwa!

Nafikiri wewe kama mkiristo ungeongelea ya wakristo ambayo una elimu nayo; ya Waislamu uwaache waongee wenyewe kwani huna elimu nayo.....

Mfano; nikujulishe tu kuwa, Quran ni imeundwa na vitabu vinne navyo ni;
Taurati - ya Musa
Zaburi - ya Daudi
Injili - ya Yesu
Furkani - ya Mohamad

Hapo tunamaanisha wote waliopokea hivyo vitabu huko nyuma na wakavifuata kutokana na nyakati zao walikuwa wanafuatana taratibu za kiislam
Uislam ni kunyenyekea kwa Mungu na kufuata mafundisho yake yaliyofika kwa binadamu kupitia kwa mitume wa Mungu kwa nyakati tofauti tofauti
 
nimewahi kusikia Quran ni MKUSANYIKO WA SIMULIZI za yale yaliyotokea kipindi hicho. ni kama vile ipite miaka 100 kutokea sasa hlf mtu akupe stori za wkt huu ulivyokuwa. hio inayosemwa imeandikwa na mungu mwenyewe, hiyo🤔watuache kwanza
Quran ni biblia iliyoandikwa kishairi na Biblia ni Quran iliyoandikwa kwenye prose. Simpo
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Husomi hivyo vitabu, biblia haisemi kama adam ni mtu wa kwanza bali palikua na watu wengine,pia inasema adam alikua bustanini duniani, Quran iko wazi adam alikua wa kwanza na bustani ile ni moja ya bustani peponi

Quran inasema Mungu ni mmoja hana mfano wala mshirika, bible inadai Mungu yupo kama binadam,maana alimuumba kwa mfano wake,sijui kama ana korodani na koromeo
 
Attachments

  • FB_IMG_1733216872355.jpg
    FB_IMG_1733216872355.jpg
    53.8 KB · Views: 3
nimewahi kusikia Quran ni MKUSANYIKO WA SIMULIZI za yale yaliyotokea kipindi hicho. ni kama vile ipite miaka 100 kutokea sasa hlf mtu akupe stori za wkt huu ulivyokuwa. hio inayosemwa imeandikwa na mungu mwenyewe, hiyo🤔watuache kwanza
Kwamba umesikiasikia tu nawe ukabeba
 
Attachments

  • FB_IMG_1733216872355.jpg
    FB_IMG_1733216872355.jpg
    53.8 KB · Views: 1
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Umeandika Ujinga, inaonyesha hukutimia akili yako vizuri. Biblia imetangulia zaidi ya miaka 500 kabla ya Quran. Iwezekane vipi Biblia ije ikopi kitu kilichokuja baada yake??
 
Rabbish from kafiri
Punguza makasiriko ndugu,pokea ukweli kisha ujitafakari/ujitathimini na uchukue hatua,utoke,mikononi mwa shetani.
YESU KRISTO anakuita ujisalimishe kwake.
 
Back
Top Bottom