Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Ndugu naomba nikusahihishe Kama utapenda? Quran haijaundwa kupitia vitabu hivyo isipokuwa Allah alikuwa anafanya nukuu kwa badhii ya Mambo kwa manabii waliotangulia kabla yake yeye Muhammad!
 
Torati na Ukristo wapi na wapi ndugu?

Wakati wa Musa Ukristo ulikuwepo? Ndiyo ulivyofundishwa Sunday School?
Sawa kwenye torati hakukuwa na ukristu je kulikuwa na dini gani..Au wewe ndio wale wanaosemaga watu wote duniani walizaliwa waislamu wakati mtume muhammad amekuja kusilimu akiwa na miaka 40.
 
●Mkuu biblia ni mkusanyiko tu wa vitabu, hakuna kitabu cha Mungu chenye kuitwa biblia.

●Huo unaoitwa ukristo wenye kuhusishwa na Yesu ni kitu ambacho kimekuja baada ya kuondoka Yesu.

Tatizo linakuja wakristo wamejimilikisha hivyo vitabu ndio maana inaonekana uislamu umekopy kwenye ukristo.
 
Torati na Ukristo wapi na wapi ndugu?

Wakati wa Musa Ukristo ulikuwepo? Ndiyo ulivyofundishwa Sunday School?
hawa wafuasi wa Mfalme Zumaridi na Yule anaejiiita Nabii Geordavie anaekwambia Ataenda kumpokea Yesu Airport halafu atampandisha Range Rover, wana tabu sana.

Quran inatokana na Mungu yule yule wa Torati na Biblia, ndio maana sisi Waislamu hatuvipingi vitabu hivyo na hata sheria ndio zile zile , usiue, usizini, usiibe·

Hivyo kusema Quran imekopi Biblia, ni kujidanganya na ni ukosefu wa ELIMU.

Biblia hii inayosema Yesu ni Mungu sisi tunaamini imechakachuliwa, hivyo kama kukopi mbona sisi tunakataaa kua Yesu si Mungu
 
Afrika hiyo unayozungumzia ilikuwa na waafrika ambao ndio sie?
 
Kwenye uislamu hakuna siri, kwenye uislamu labda upelekwe pelekwe kwa sababu hauna elimu ila sio kwa sababu kuna baadhi ya viongozi wanazijua siri.
 
Umeandika Ujinga, inaonyesha hukutimia akili yako vizuri. Biblia imetangulia zaidi ya miaka 500 kabla ya Quran. Iwezekane vipi Biblia ije ikopi kitu kilichokuja baada yake??
Wendo ujibu utopolo. Nimesama biblia ilizaa quran ujinga uko wapi kama siyo ukumbaff wako?
 
Wendo ujibu utopolo. Nimesama biblia ilizaa quran ujinga uko wapi kama siyo ukumbaff wako?

Hapo mwisho kaandika nani? Ukristo ungedukua uislam upi ambao wakati Ukristo unaanzishwa Uislam ulikua haupo?? Hivi mibichwa vyenu mnahifadhigi nini ndani yake??
 
YESU KRISTO sio isa bin maryam.
Shetani amemwita prophet kwenye Quran ili kuwachanganya baadhi ya watu wasimjue Kama yeye ndiye njia ya kweli na uzima.

Na ndiyo lengo lake kubwa la kuleta hicho kitabu.

Pia kwenye hicho kitabu amewapotosha watu wasijue kuwa YESU ni mwana wa MUNGU.

Atakaye elewa na aelewe na atakaye endelea kukaza fuvu na aendelee kukaza.

Kibaya ni hatuna uhakika wa tukifa tunaenda wapi.

Kaa kwenye njia inayoeleweka, hata Kama ukifa na ukakuta YESU sio mwana wa MUNGU utakuwa hujapoteza chochote, kuliko kukaza shingo alafu ukakuta ndiyo Kweli.
 
Punguza makasiriko ndugu,pokea ukweli kisha ujitafakari/ujitathimini na uchukue hatua,utoke,mikononi mwa shetani.
YESU KRISTO anakuita ujisalimishe kwake.
Nenda kasome Ufunuo 2-12-13 utajua shetani makazi yake yako wapi.
 
Dini inayotetewa hata kwa uongo kwa kwli inatia shaka.
 
Back to the history just kidogo tu. Ni kweli enzi hizo Ukristo ulikua umefanywa kua ni dini ya dola but unajua baada tu ya Constantine (huyu ndio alikua mfalme wa kwanza Mkristo na ndio aliye rasimisha Ukristo kwenye dola ) kuingia kwenye ukristo ndipo hasa UKENGEUFU wa ukristo ulipoanza? Unajua why Roman Catholic na makanisa mengi ya ki protestant yalipobadiri hata namna ya kubatiza? It started that day Constantine when he was converted, ukengeufu huo ulianza ukaendelea hadi leo but kadiri siku zilivokua zinakwenda ndio ukengeufu mkubwa zaidi ulipokua unaongezeka, hali hiyo ndio ilianza kuleta ugomvi tena kati ya wale masalia wa mitume na dola, zilaanza chokochoko tena. Ile ya Martine Luther was just part 2 ya migongano ya kiimani ambayo ilianza zamani sana, lakini chanzo ni dola ya Rumi. Now sipendi kwenda into details kwenyw hili but nenda kafatilie tena kwenye historia, Ottoman empire walipiga maeneo yote ambayo yalikua ya Kikristo mwanzoni, Antokia ambapo ndipo hasa wafuasi wa Yesu walianza kuitwa WAKRISTO, dolla ya Ottoman iliteka, ulaya ya mashariki yote ilikua ya Kikristo na sasa ni mataifa ya Kiislam, Ottoman waliishia Ulaya ya Magharibi hasa baada ya kufika Italy, nini kilipelekea wakomee pale? Unadhani walizidiwa?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…