Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Jibu swali
Taurati inasema Ishmael na kizazi chake waliishi Jangwa la Parani

Ushahidi wa ramamani za Bibilia hapo chini unadhihirisha kuwa kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Saudi Arabia ya Sasa wewe unapinga

Sio unajizungusha na kuleta porojo ambazo hazina maana
Jibu swali hilo Jangwa la Parani ambako kunapatikana vizazi vya Ishmael Kwa Sasa ni nchi gani?
😂😂😂😂Nilikwambia biblia itakushinda ,nikakuuliza maswali pia nikakwambia tumia Quran kuthibitisha Paran ni Saudi Arabia,cha ajabu unarukaruka tu

Ramani ya Maeneo ya Biblia hii hapa👇👇 Paran sio Saudia Arabia
saudi_arabia_arrow_map_updated.png

Biblia inataja Jangwa la Parani mara kadhaa, hasa linapohusiana na safari ya Ishmael. Ushahidi wa kibiblia ni kama ifuatavyo:

Mwanzo 21:20-21:
"Mungu alikuwa pamoja na mtoto alipokuwa akikua. Aliishi jangwani na kuwa mpiga upinde. Aliishi katika jangwa la Parani, na mama yake akamwozea mke kutoka Misri."
Maelezo: Hapa, Jangwa la Parani linaonekana kuwa eneo la jangwani karibu na Misri, mahali ambapo Hagar (Mmisri) aliweza kumwozea Ishmael mke kutoka kwa watu wa Misri.

Hesabu 10:12:
Waisraeli walipiga kambi katika Jangwa la Parani walipotoka Sinai.
Maelezo: Hii inaashiria kuwa Jangwa la Parani lilikuwa karibu na mlima Sinai, mahali pa sasa panapotambulika kama Peninsula ya Sinai (Misri ya sasa).

Kumbukumbu la Torati 1:1:
"Haya ni maneno ambayo Musa alisema kwa Israeli katika jangwa upande wa pili wa Yordani... kati ya Parani na Topheli..."
Maelezo: Parani linaonekana kuwa kusini mwa Kanaani, karibu na Kadesh-Barnea.

Biblia inaonyesha kuwa Jangwa la Parani lilikuwapo katika Peninsula ya Sinai (eneo la Misri ya sasa), kaskazini mwa Saudi Arabia, karibu na mpaka wa Israeli na Jordan.

NIMETHIBITISHA KWA BIBLIA NA RAMANI YA MAENEO YA BIBLIA

SASA NJOO NA USHAHIDI WA QURAN NA HADITHI ZA BULICHEKA
 
Wakati wakristo wakiishi Kwa agano jipya, Uislamu umerudi kuishi kwa agano la kale.

Mambo kama kutokula nyama ya nguruwe, mambo kama adhabu za kupigwa mawe, Sheria za vyakula, hayo ni mambo yapo katika agano la kale.

Tofauti ya BIBLIA na Quran Kwa wakati wote ni mtazamo kumhusu YESU, majini n.k
Biblia na Qur'an hutofautiana hadi kuhusu Mungu, ukristo umekuja na mtazamo kuhusu Mungu ambao ni tofauti na Agano la kale.
 
Siku zote inajulikana katika suala la hoja zenye mashiko na zinazoingia akilini hakuna wa kuwashida waislam na hiyo ni duniani kote
Mkristo anapewa hoja badala ya kujibu anaanza kuhubiri😄
Wakristo pelekeni mahuburi kanisani humu ndani ukipewa hoja jibu hoja
 
Sasa chapter na verse zinakuwaga kwenye Section?

Mkuu hili swali mtoto wa chekechea atatushangaa sana...!!!
Mkuu kwani unataka tujadili nini usahihi wa hayo maneno au ndio unataka kusema juzuu ni vitabu katika Qur'an?

Haya nitajie hivyo vitabu vya biblia vilivyomo kwenye Qur'an.
 
Umeandika maelezo mareefu ila sijaona point hata moja zaidi zaidi ubwabwaja tu.Bila kupitia kwa Yesu hautauona ufalme wa Mbingu kwa sababu yeye ndio ya kweli na uzima.Hata ndani ya quran imeandikwa Yesu ndiyo njia iliyonyooka na wokovu.
Yani wewe ambae hujaweka reference yoyote ndo unasema mwenzako amezungumza porojo!!!? ama kweli nyinyi mmeandaliwa kubisha tu kwa kweli ... yani siku zote mna-prduce kile mlichomezeshwa tu!
 
1.Kuhusu YESU jibu ni YESU ndiye MUNGU muumbaji.

2.Hakuna mfalme aliyekataa mafundisho ya Paulo, na inabidi uelewe kuwa kabla ya Paulo kuongoka, alikuwa akiwaua Wakristo, na kuongoka kwake ni baada ya Yeye kukutana na YESU na kupigwa upofu na akaenda kuombewa ndipo akapona na habari ya injili yake ikaanzia pale.
Natamani kuona ukihalalisha hoja yako ya kwanza, nipo interested zaidi na hiyo.

Ningependa unifahamishe hili: -
- Ni nini kina-confirm claim ya kuwa Yesu ni Mungu? ... please zingatia kuwa unaongea na mtu asiyeamini imani yako so usiniambie kuwa eti 'imeandikwa' ... imani sahihi hudhihirika hata kwa wale wasio amini hiyo imani. Dini zote zimeandikwa.
 
Yani wewe ambae hujaweka reference yoyote ndo unasema mwenzako amezungumza porojo!!!? ama kweli nyinyi mmeandaliwa kubisha tu kwa kweli ... yani siku zote mna-prduce kile mlichomezeshwa tu!
Sawa wewe usiebisha na mwenye hoja niambie muhammad alipewa na nani utume na uweke uthibitisho hapa.
 
Biblia ilivyo kuna mambo watu wanapingana na wote wanatumia biblia hiyo kutoa ushahidi.
Sababu ya uelewa mdogo na kukosa elimu,na haijaanza Leo

Kipindi cha kina Petro ,watu walikuwa hivo hivo wanapotosha maandiko hasa ya mtume Paulo

Ikabidi Petro atoe onyo

2 Petro 3
15 Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;

16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.

17 Basi, wapenzi mkitangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu, msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu.
 
Jibu swali
Taurati inasema Ishmael na kizazi chake waliishi Jangwa la Parani

Ushahidi wa ramamani za Bibilia hapo chini unadhihirisha kuwa kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Saudi Arabia ya Sasa wewe unapinga

Sio unajizungusha na kuleta porojo ambazo hazina maana
Jibu swali hilo Jangwa la Parani ambako kunapatikana vizazi vya Ishmael Kwa Sasa ni nchi gani?
Kwanza hiyo sio Raman ya Maeneo ya Biblia , wakristo wote kwenye Biblia ,Kuna Raman hii hapa 👇 👇 sio hiyo mliyojutungia ili iendane na uongo wenu

images (8).jpeg

Kwahiyo acha uzushi kwanza

Halafu nianze kukukaanga
 
Jibu swali
Taurati inasema Ishmael na kizazi chake waliishi Jangwa la Parani

Ushahidi wa ramamani za Bibilia hapo chini unadhihirisha kuwa kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Saudi Arabia ya Sasa wewe unapinga

Sio unajizungusha na kuleta porojo ambazo hazina maana
Jibu swali hilo Jangwa la Parani ambako kunapatikana vizazi vya Ishmael Kwa Sasa ni nchi gani?
Nipe ushahidi wa Quran kuwa Paran ni Saudi Arabia,

Mimi na ushahidi wa Biblia ,Raman ya Biblia na historia

Paran sio Saudia Arabia ,nilikuwa muislamu najua vichaka na michezo yenu yote ya kupotosha watu

Ushahidi huu hapa wa Biblia kuwa Paran sio Saudia Arabia 👇 👇

Ili kuthibitisha kwamba "Paran" inayotajwa kwenye Biblia si Saudi Arabia, Kama kawaida nitatumia maandiko ya Biblia, jiografia ya kihistoria, na tafsiri sahihi ya majina ya maeneo ya kale,wewe ukija na ushahidi wa Quran na hadithi za Abunuasi narudi kwenye uislamu Leo leo

Biblia inataja Paran kama eneo karibu na Sinai:

Kumbukumbu la Torati 1:1 inasema:
"Haya ndiyo maneno ambayo Musa aliwaambia Waisraeli wote katika jangwa la upande wa mashariki wa Yordani, katika Araba, mbele ya Sufu, kati ya Parani, na Tofeli, Labani, Haserothi, na Dizahabu."
Paran inatajwa katika muktadha wa maeneo karibu na Mlima Sinai, ambao kihistoria na kijiografia unapatikana katika Peninsula ya Sinai, si Saudi Arabia.

Hesabu 10:12:
"Basi wana wa Israeli wakaondoka kutoka mlima wa Bwana kwa mwendo wa siku tatu, na Sanduku la Agano la Bwana likaenda mbele yao..."
Paran inatajwa kama mahali waliposafiri baada ya kuondoka Sinai, ikiashiria kuwa iko karibu na Peninsula ya Sinai.

Jangwa la Paran linahusiana na Kadesh Barnea:

Hesabu 13:26 inasema:
"Wakarudi kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote wa Waisraeli huko Kadesh katika jangwa la Parani."
Kadesh Barnea, eneo maarufu kwenye Biblia, linajulikana kuwa lilikuwa karibu na mpaka wa Kanaani, eneo linalolingana na kusini mwa Israeli ya sasa na Peninsula ya Sinai, si Saudi Arabia.
images (14).jpeg

Paran si Seiri (Edomu) wala Arabia:

Paran mara nyingi inatajwa tofauti na maeneo ya Seiri (Edomu) au Midiani. Kwa mfano:

Kumbukumbu la Torati 33:2:
"Bwana alikuja kutoka Sinai, akaangaza kutoka Seiri; akatokea kutoka mlima wa Parani..."
Paran na Seiri zinatajwa kama maeneo tofauti, na Seiri inajulikana kihistoria kuwa ni eneo la Edomu, kusini mwa Israeli. Paran haitajwi kama sehemu ya Arabia.
images (13).jpeg

Jografia ya kihistoria na vyanzo vya Wayahudi wa kale:

Flavius Josephus, mwanahistoria wa Kiyahudi, alielezea kwamba Jangwa la Paran lilikuwa karibu na Peninsula ya Sinai. Hakuna ushahidi wa kihistoria unaoweka Paran moja kwa moja ndani ya Saudi Arabia.

Tafsiri za kale za Kiyahudi na Kikristo, kama Septuagint na Vulgate, zinahusisha Paran na maeneo karibu na Mlima Sinai.
images (15).jpeg

Midiani haifanani moja kwa moja na Paran:

Ingawa Midiani ilikuwepo kaskazini-magharibi mwa Saudi Arabia (karibu na Bahari Nyekundu), Biblia haifanyi ulinganifu wa moja kwa moja kati ya Midiani na Paran. Paran inaonekana kuwa eneo la jangwa lililoko upande wa magharibi wa eneo la Midiani.

Kwa msingi wa maandiko haya na muktadha wa kihistoria, Paran haipo Saudi Arabia,Bali ipo Peninsula ya Sinai au karibu na kusini mwa Israeli, badala ya Saudi Arabia ya sasa.

NAOMBA USHAHIDI WA QURAN NA HADITHI ZA BULICHEKA KUWA PARAN NI SAUDI ARABIA ,UKILETA NARUDI KWENYE UISLAMU
 
View attachment 3178078

View attachment 3178071

Jografia ya kihistoria na vyanzo vya Wayahudi wa kale:

Flavius Josephus, mwanahistoria wa Kiyahudi, alielezea kwamba Jangwa la Paran lilikuwa karibu na Peninsula ya Sinai. Hakuna ushahidi wa kihistoria unaoweka Paran moja kwa moja ndani ya Saudi Arabia.

Tafsiri za kale za Kiyahudi na Kikristo, kama Septuagint na Vulgate, zinahusisha Paran na maeneo karibu na Mlima Sinai.
View attachment 3178077
Midiani haifanani moja kwa moja na Paran:

Ingawa Midiani ilikuwepo kaskazini-magharibi mwa Saudi Arabia (karibu na Bahari Nyekundu), Biblia haifanyi ulinganifu wa moja kwa moja kati ya Midiani na Paran. Paran inaonekana kuwa eneo la jangwa lililoko upande wa magharibi wa eneo la Midiani.

Kwa msingi wa maandiko haya na muktadha wa kihistoria, Paran haipo Saudi Arabia,Bali ipo Peninsula ya Sinai au karibu na kusini mwa Israeli, badala ya Saudi Arabia ya sasa.

NAOMBA USHAHIDI WA QURAN NA HADITHI ZA BULICHEKA KUWA PARAN NI SAUDI ARABIA ,UKILETA NARUDI KWENYE UISLAMU
Wewe hauna mamlaka ya kunipangia kitabu Cha kutumia by the way Taurati sio kitabu Cha wakristo Wala hakijawahi kufundisha ukristo Taurati ni kitabu Cha waislam
Nyinyi wakristo vitabu vyenu ni wagalatia, wakolitho , warumi sijui Tito mlipo vipata mnajua wenyewe

Nilikuulizaga swali dogo tu Taurati Ina Sema Ishmael na uzao wake waliishi Jangwa la Parani
Je! Kwa Leo hii Jangwa la Parani ndio nchi gani?
Umebaki kujizungusha tu Hadi umekuja kutaja Misri
So unataka kusema Ishmael na kizazi chake waliishi Misri?

Andiko linasema aliishi Parani mama yake akaenda Misri kumtwalia mke tayari hapa inaonyesha Jangwa la Parani na Misri ni Maneno mawili tofauti

Ramani zako unazoziweka zinaonyesha misitu ya parani na Wala sio Jangwa la Parani

Na hiyo ramani nyingine inaonyesha milima ya parani ambayo ipo karibu na mipaka ya nchi zote tatu Yani Israel, Jordan na Saudi Arabia

Maana Kuna misitu ya parani
Kuna mlima Parani
Kuna Jangwa la Parani

Sehemu kubwa ya Jangwa la Parani ipo Saudi Arabia angalia ramani hapo chini alafu hiyo ni ramani ya Bibilia ya kale Leo hi inakukana na wewe unaikana

Huo mkondo wa bahari ya Red sea ndio unatenganisha kati ya Misri na Saudi Arabia pia mkondo huhuo Kuna sehemu unatenganisha kati ya Israel na Saudi Arabia hapo Kwa Juu unapoishi huo mkondo ndio Kuna milima ya parani hapo Kuna patikana pia mipaka ya nchi tatu Israel Jordan na Saudi Arabia

Jangwa la Parani lipo upande wa pili wa Red sea ambapo ni Saudi Arabia

Jangwa la Parani halipo Misri wala Israel Kwa mujibu wa mandiko na ramani za Bibilia

Ila wewe kama unabishana na hayo mandiko pamoja na ramani za Bibilia
Jibu swali
Jangwa la Parani ambako Ishmael aliishi na kizazi chake Kwa Sasa ndio nchi gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20241215-150645.jpg
    Screenshot_20241215-150645.jpg
    453.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241215-213828.jpg
    Screenshot_20241215-213828.jpg
    519.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241216-180053.jpg
    Screenshot_20241216-180053.jpg
    713.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241216-174638.jpg
    Screenshot_20241216-174638.jpg
    367.2 KB · Views: 3
Wewe hauna mamlaka ya kunipangia kitabu Cha kutumia by the way Taurati sio kitabu Cha wakristo Wala hakijawahi kufundisha ukristo Taurati ni kitabu Cha waislam
Nyinyi wakristo vitabu vyenu ni wagalatia, wakolitho , warumi sijui Tito mlipo vipata mnajua wenyewe
kizazi chake Kwa Sasa ndio nchi gani?

Eti nakupangia, Sema huna hoja na Quran Haina majibu maana ni kitabu cha Uongo, halafu acha kudanganya watu kuwa Waislamu walipewa Torati ,torati ipi hiyo ?

Taurati (Torah) ni vitabu vitano vya kwanza vya Biblia (Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, na Kumbukumbu la Torati). Hii ni sehemu muhimu ya Agano la Kale (Old Testament), ambalo Wakristo wanaamini ni maandiko yaliyoandikwa kabla ya ujio wa Yesu Kristo.

Wayahudi wanaichukulia Taurati kama msingi wa imani yao. Wakristo pia wanaiheshimu kwa sababu inatoa historia ya uumbaji, maagizo ya Mungu, na unabii unaoashiria kuja kwa Yesu Kristo.

SASA NAOMBA UJIBU HAYA MASWALI

1. Ikiwa Taurati ni kitabu cha Waislamu, mbona mafundisho yake yanapingana na mafundisho ya Uislamu, kama sheria za chakula na Sabato?

2. Waislamu mnadai Taurati imepotoshwa. Ni ipi Taurati sahihi ambayo Uislamu unadai kuifuata?,maana utakuja na ngonjera hii imeharibiwa, sasa itabidi Ulete Taurat mnayoifata tufananishe na hii iliyoharibiwa

3. Je, kuna uthibitisho wowote wa kihistoria au wa maandiko unaoonyesha kuwa Taurati iliandikwa kwa ajili ya Waislamu badala ya Wayahudi na wakristo?

UKIJIBU NAKUWA MUISLAMU MLA NGAMIA LEO LEO
 
Nilikuulizaga swali dogo tu Taurati Ina Sema Ishmael na uzao wake waliishi Jangwa la Parani
Je! Kwa Leo hii Jangwa la Parani ndio nchi gani?
Umebaki kujizungusha tu Hadi umekuja kutaja Misri
So unataka kusema Ishmael na kizazi chake waliishi Misri?

Andiko linasema aliishi Parani mama yake akaenda Misri kumtwalia mke tayari hapa inaonyesha Jangwa la Parani na Misri ni Maneno mawili tofauti

Ramani zako unazoziweka zinaonyesha misitu ya parani na Wala sio Jangwa la Parani

Na hiyo ramani nyingine inaonyesha milima ya parani ambayo ipo karibu na mipaka ya nchi zote tatu Yani Israel, Jordan na Saudi Arabia

Maana Kuna misitu ya parani
Kuna mlima Parani
Kuna Jangwa la Parani

Sehemu kubwa ya Jangwa la Parani ipo Saudi Arabia angalia ramani hapo chini alafu hiyo ni ramani ya Bibilia ya kale Leo hi inakukana na wewe unaikana

Huo mkondo wa bahari ya Red sea ndio unatenganisha kati ya Misri na Saudi Arabia pia mkondo huhuo Kuna sehemu unatenganisha kati ya Israel na Saudi Arabia hapo Kwa Juu unapoishi huo mkondo ndio Kuna milima ya parani hapo Kuna patikana pia mipaka ya nchi tatu Israel Jordan na Saudi Arabia

Jangwa la Parani lipo upande wa pili wa Red sea ambapo ni Saudi Arabia

Jangwa la Parani halipo Misri wala Israel Kwa mujibu wa mandiko na ramani za Bibilia

Ila wewe kama unabishana na hayo mandiko pamoja na ramani za Bibilia
Jibu swali
Jangwa la Parani ambako Ishmael aliishi na kizazi chake Kwa Sasa ndio nchi gani?
Nitakugeuza Shamba darasa ,uzuri Mimi nilikuwa muislamu kwahiyo hunisumbui

Ndio maana nilipokuomba utumie Quran uthibitishe Paran ni Saudia Arabia,umeshindwa sababu Quran ni kitabu cha Uongo , na ni kitabu kilichojaa uzushi na propaganda tu

Mimi nakupigia na maandiko tu ya Biblia , Parani ni Wapi kwa Mujibu wa Biblia?

Biblia (Mwanzo 21:20-21): "Mungu alikuwa pamoja na huyo mtoto, naye akakua, akakaa nyikani, akawa mpiga upinde. Akakaa katika jangwa la Parani, mama yake akamwoza mke kutoka Misri."

Andiko hili linaonyesha kuwa Ismail aliishi Parani lakini mama yake Hajir, akiwa Mmisri, alimtafutia mke kutoka Misri. Hii inathibitisha kwamba Parani si sehemu ya Misri, lakini pia haimaanishi kuwa ni Saudi Arabia ya sasa. Parani kihistoria inahusiana zaidi na eneo la Sinai, ambalo lilikuwa sehemu ya safari ya Waisraeli walipotoka Misri (Hesabu 10:12, Hesabu 12:16).

Hesabu 13:3: Parani ilikuwa karibu na Kadesh-Barnea, eneo linalojulikana kuwa sehemu ya jangwani karibu na milima ya Sinai.

Ramani ya Biblia hii hapa👇👇👇
saudi_arabia_arrow_map.png

Parani inahusiana na eneo la milima na nyika katika Peninsula ya Sinai. Tafsiri ya Kijografia inaonyesha kuwa Parani ilikuwa kati ya Misri na nchi za Kaanani (Israel ya leo).

Saudi Arabia ya leo haijatajwa katika maandiko haya ya Biblia kuhusu Parani., Ndio maana nilipokubana Ulete basi Qurani inathibitishaje Paran ni Saudia Arabia,umebaki kulia lia tu ,

Parani kihistoria inahusishwa na Jangwa la Sinai, eneo kati ya Bahari ya Shamu (Red Sea) na Israel ya sasa.

Baadhi ya ramani za zamani zinaonyesha kuwa Parani ilikuwa ni sehemu ya milima ya Sinai inayopakana na Negev (Israel ya sasa) na maeneo mengine kama Kadesh-Barnea.

Ushahidi wa Ramani huu hapa👇👇👇
images (15).jpeg

Hakuna ushahidi wa kihistoria au wa Biblia unaoonyesha kwamba Parani ilikuwa ndani ya Saudi Arabia ya sasa.

Mkondo wa Bahari ya Shamu (Red Sea) unatenganisha Saudi Arabia na Sinai, lakini maandiko hayasemi kwamba Ismail aliishi upande wa Saudi Arabia.,

Ramani hii hapa👇👇 ,Red Sea inatenganisha Saudi Arabia na Sinai
images (14).jpeg

NAKULAMBA MASWALI AMBAYO HATA MASHEIKH WALIYAKIMBIA PALE MSIKITI WA MJIMWEMA

1. Ikiwa unadai Parani ni Saudi Arabia ya sasa, je, una andiko la Koran au Biblia linalothibitisha wazi kuwa Parani ipo upande wa pili wa Bahari ya Shamu ambapo ndio ilipo Saudi Arabia?

2. Historia inathibitishaje kwamba Ismail na Hajir walihamia upande wa Saudi Arabia wakati Biblia inasema walikaa Jangwa la Sinai (karibu na Kadesh-Barnea)?
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Issue zilizokosa uwezo wa kulifanya taifa langu liwe na uwezo wa kutumia raslimali zake effectively siwez kuziintertain
 
Sehemu kubwa ya Jangwa la Parani ipo Saudi Arabia angalia ramani hapo chini alafu hiyo ni ramani ya Bibilia ya kale Leo hi inakukana na wewe unaikana

Huo mkondo wa bahari ya Red sea ndio unatenganisha kati ya Misri na Saudi Arabia pia mkondo huhuo Kuna sehemu unatenganisha kati ya Israel na Saudi Arabia hapo Kwa Juu unapoishi huo mkondo ndio Kuna milima ya parani hapo Kuna patikana pia mipaka ya nchi tatu Israel Jordan na Saudi Arabia

Jangwa la Parani lipo upande wa pili wa Red sea ambapo ni Saudi Arabia

Leo Nimeahidi nitakugeuza Shamba darasa ,nataka nikufundishe Tena kwa njia ya darasani kabisa ya mtoto wa Jiografia darasa la 6 au 7

Nitatumia mlinganisho wa kijiografia kwa kutumia umbali wa safari kati ya Misri, Paran, na Saudi Arabia.

Biblia inaonyesha wazi kuwa safari ya Wana wa Israeli ilifuata njia ya karibu zaidi kuelekea Nchi ya Ahadi, jambo linalowiana na jiografia ya Paran kuwa kusini-magharibi mwa Kanaani, si Saudi Arabia.

Naweka Ramani hapa 👇 👇 huo mstari mwekundu ni NJIA WALIPOPITA WANA WA ISRAEL,
images (14).jpeg

So isingewezekana wapite kwa kuvuja Bahari ya Shamu waingie Saudia Tena wavuke mara ya pili Bahari warudi upande wa pili hakuna kitu kama hicho ...

NAKUPA HII MAANA ULIKUWA HUJUI

Umbali wa Misri hadi Saudi Arabia ni Mrefu Sana

Kutoka Misri (Rameses au Gosheni) hadi Jangwa la Paran (Rasi ya Sinai): Umbali wa takriban 250-300 km.,na ndio walipita Wana wa Israel

Hii ni safari inayoweza kufanyika kwa miguu kwa muda wa siku 7-10 kwa kundi kubwa kama Wana wa Israeli, wakipumzika na kusafiri taratibu (Kutoka 12:37-39).

Halafu Kutoka Misri hadi Saudi Arabia (eneo la Midiani, kama Madian karibu na Mlima Sinai wa kisasa),ambapo ndio UNATAKA KUDANGANYA WATU KUWA NI PARANI, Umbali wake ni takriban 1,000-1,200 km, ukihusisha kuvuka Bahari ya Shamu tena.

Angalia Ramani hii hapa👇👇 ,Huo mstari mwekundu ni NJIA WALIPOPITA WANA WA ISRAEL
images (16).jpeg

Safari hii ingekuwa ngumu zaidi na ingetumia muda mrefu sana, isiyowiana na muktadha wa safari ya Wana wa Israeli.

Paran Ilikuwa Njia ya Moja kwa Moja Kuelekea Kanaani

Kutoka Misri hadi Saudi Arabia kungehitaji kuelekea mashariki, mbali na mwelekeo wa Kanaani (kaskazini).

Paran iko njiani kuelekea Kadesh-Barnea na Kanaani, na hii inalingana na mwelekeo wa safari yao (tazama Hesabu 13:26).

Safari Haikuhusisha Kuingia Saudi Arabia

Kutoka 13:17-18 inaonyesha Mungu aliwazungusha Wana wa Israeli kwa njia ya bahari ili wasipite njia ya Wafilisti. Njia hii iliwapeleka kusini kuelekea Sinai na Paran, si mashariki hadi Saudi Arabia.

Kufika Saudi Arabia, wangekuwa wamepoteza muda mwingi na kufuata njia isiyo na mantiki, hasa kwa kundi kubwa lenye watoto, wanyama, na mizigo.

UNATAKIWA UELEWE HIVI👇👇
Safari ya Misri hadi Paran ilikuwa rahisi zaidi, ya haraka, na ya moja kwa moja, yenye umbali wa takriban 250-300 km.
Kinyume chake, kwenda Saudi Arabia kungehitaji safari ndefu ya zaidi ya 1,000 km, jambo ambalo si la kiuhalisia katika mazingira ya Wana wa Israeli walipoondoka Misri. Hii inathibitisha kuwa Paran haiwezi kuwa Saudi Arabia., NDIO MAANA NILIKWAMBIA LETA USHAHIDI WA QURAN,UKABAKI UNALALAMIKA TU,

HAPA NIMEKUPELEKA SHULE NDOGO TU
 
Back
Top Bottom