Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Hamna Mkristo chini ya jua anayepinga uungunwa Yesu.Kama hilo suala la Yesu hata wakristo wenyewe hutofautiana na wote hutumia maandiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna Mkristo chini ya jua anayepinga uungunwa Yesu.Kama hilo suala la Yesu hata wakristo wenyewe hutofautiana na wote hutumia maandiko.
Wakristo wote kwa pamoja wana wana mtazamo sawa kwenye kila kitu kuhusu Yesu?Hamna Mkristo chini ya jua anayepinga uungunwa Yesu.
Kwa Muda wangu wote wa kuishi duniani hakuna Mkristo anayepinga kuzaliwa, huduma, kufa, kufufuka, kupaa kwenda Mbinguni na kuhusu ujio wa Pili wa Yesu Kristo.Wakristo wote kwa pamoja wana wana mtazamo sawa kwenye kila kitu kuhusu Yesu?
Mfano Mashahidi wa Yehova humtambua vp Yesu?Kwa Muda wangu wote wa kuishi duniani hakuna Mkristo anayepinga kuzaliwa, huduma, kufa, kufufuka, kupaa kwenda Mbinguni na kuhusu ujio wa Pili wa Yesu Kristo.
Unajua maana ya Ukristo kwanza? Hakuna Mkristo nje ya Yesu Kristo.
uKristo haukuwepo, ila Roho wa Kristo alikuwepo. Alikuwa ndani ya manabii hawa kina MusaTorati na Ukristo wapi na wapi ndugu?
Wakati wa Musa Ukristo ulikuwepo? Ndiyo ulivyofundishwa Sunday School?
Duh Kweli Elimu Inahitajika!
Ukristo na Agano la kale wapi na wapi..
Ni bora hata Ungesema Wayahudi..
Bora hata wayahudi Ndo wangesema Bila wao hakuna Dini za Ibrahimic zote..
Ningekuona Msomi kama Ungesema Bila Ukristo hakuna Dini ya Wamormons
Hii inaitwa circular argument!uKristo haukuwepo, ila Roho wa Kristo alikuwepo. Alikuwa ndani ya manabii hawa kina Musa
1 Petro 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ katika kuupokea mwisho wa imani yenu, yaani, wokovu wa roho zenu.
¹⁰ Katika habari ya wokovu huo manabii walitafuta-tafuta na kuchunguza-chunguza, ambao walitabiri habari za neema itakayowafikia ninyi.
¹¹ Wakatafuta ni wakati upi, na wakati wa namna gani ulioonywa na Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao, ambaye alitangulia kuyashuhudia mateso yatakayompata Kristo, na utukufu utakaokuwako baada ya hayo.
Mimi sishangai wewe kupingana na mandiko ya manabii pamoja na waliochora ramani za Bibilia Ili kuyatafsiri hayo mandiko Kwa sababu wewe ni kafiriMji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.
Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.
Nafyeka Tena hiki kichaka chako kingineMimi sishangai wewe kupingana na mandiko ya manabii pamoja na waliochora ramani za Bibilia Ili kuyatafsiri hayo mandiko Kwa sababu wewe ni kafiri
Na sifa ya makafiri ni kupinga maandiko ya Mungu haijalishi yapo wapi iwe ndani ya Quran au Bibilia kama ni andiko la kweli lazima kafiri alipinge
Na nilikuambia hiki ni kitanzi kipo shingoni kwako na Kila ukikukuruka ndio shingo yako inazidi kuumia
TEMA
Nimekuwekea andiko kuwa Tema ni jina la mtoto wa Nabii Ishmael
Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
Hapo mwisho andiko linasema hayo ndio majina Yao katika miji Yao
Yani zamani majina ya watu maarufu ndio baadae yakawa majina ya miji
Nimekuwekea andiko la nabii Isaya linasema mji wa Tema upo katika misitu ya Arabuni pamoja na mji wa Dedani ambalo pia ni jina la mtoto wa Nabii Ishmael
Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Nimekuwekea na ramani za kale za Bibilia kukuonyesha huo mji wa Tema upo ndani ya Jangwa la Arabu na ndio Saudi Arabian ya Sasa
Nimekuwekea ramani mpya ya Saudi Arabia kukuonyesha huo mji wa Tema Hadi Leo hii upo Saudi Arabia
Kitu ambacho wewe haukijui utume wa Mtume Muhammad haupingwi Kwa mandiko ya manabii ila unapingwa Kwa propaganda
Kama unao ushahidi kuwa Kuna Tema mwingine ndani ya Bibilia weka huo huo ushahidi Kwa mandiko na ramani za Bibilia
Huyo Tema ni nani?
Na huo mji Tema upo wapi Kwa Sasa
Hii inaitwa circular argument!
Yaani unatumia "hoja" kuwa ndiyo "uthibitisho"
Sina uhakika kama unaweza kuelewa maana umekuwa brainwashed sana ..
A circular argument’s premise explicitly or implicitly assumes that its conclusion is true rather than providing any supporting statements. If the conclusion and premise were switched, the statement would still stand as “proven.”
Nimekuambia shingo yako ipo katika kitanzi na Kila ukikukuruka ndio shingo yako inazidi kuumia na kitanziNafyeka Tena hiki kichaka chako kingine
Mji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.
Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.
Mji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.Nimekuambia shingo yako ipo katika kitanzi na Kila ukikukuruka ndio shingo yako inazidi kuumia na kitanzi
Bibilia na Ramani zake imeshakukana umebaki unayumba yumba tu
Ramani ya Bibilia inayo onyesha misafara ya kibiashara kati ya mji wa Tema na hiyo Edom uliyoitaja hiyo hapo chini bado mji wa Tema unaonekana upo pale pale Saudi Arabia
Nimekuambia kama Kuna Tema mwingine ndani ya Bibilia weka ushahidi hapo
Huyo Tema ni nani?
Na huo mji upo wapi Kwa Sasa?
Wameshindwa watu walio kuwa watu kupinga utume wa Mtume Muhammad ndani ya Bibilia itakuwa wewe kakafiri kadogo dogo
Ok sawa Nimekuelewaunadhani uKristo ni dini? Hivi unafahamu kuwa Kristo alikuwa pamoja na wana wa Israeli safarini jangwani (wakati wa nabii Musa), Yesu ni mwamba
1 Wakorintho 10 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Kwa maana, ndugu zangu, sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya wingu; wote wakapita kati ya bahari;
² wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
³ wote wakala chakula kile kile cha roho;
⁴ wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
Naona umeamua kufa na tai yako ya ki Galatia shingoniMji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.
Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.
ukidhani kuwa nina-argue na wewe utakuwa umekosea sana. Hizi ni kweli za rohoni. eternal truth, the reality!Hii inaitwa circular argument!
Yaani unatumia "hoja" kuwa ndiyo "uthibitisho"
Sina uhakika kama unaweza kuelewa maana umekuwa brainwashed sana ..
A circular argument’s premise explicitly or implicitly assumes that its conclusion is true rather than providing any supporting statements. If the conclusion and premise were switched, the statement would still stand as “proven.”
Mji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.Naona umeamua kufa na tai yako ya ki Galatia shingoni
Kwani hapa tuna jadili Tema ipo kama sio Tema ya ndani ya Bibilia
Na hata hizi ramani pia ni ramani za Bibilia
Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Unatafuta kichaka Cha kujificha haukipati
Andiko linalosema Kuna Tema mwingine zaidi ya mtoto wa Ishmael hauna
Ramani inayoonyesha Kuna Mji mwingine wa Tema zaidi ya huo mji ambao upo Saudi Arabia pia hauna
Kama unao ushahidi weka hapa tulitoe hili andiko katika utabiri wa
MTUME MUHAMMAD
Habakuki 3:3
Mungu alikuja kutoka Temani, Yeye aliye mtakatifu kutoka mlima Parani. Utukufu wake ukazifunika mbingu, Nayo dunia ikajaa sifa yake.
Sasa sindio uweke hilo andiko na ramani kuthibisha hicho unachokisemaMji wa Tema uliotajwa katika Biblia hauko nchini Saudi Arabia, bali upo maeneo ya kaskazini mwa Peninsula ya Arabia, kama vile katika jangwa lilio mashariki mwa Bahari ya Shamu. Hii ni tofauti na miji mingine maarufu katika Biblia kama Yerusalemu au Nazareti, ambazo zilikuwa sehemu zinazojulikana zaidi katika historia ya dini ya Wayahudi na Wakristo.
Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.
UNADHANI Mimi na muda na porojo sasaSasa sindio uweke hilo andiko na ramani kuthibisha hicho unachokisema
Au unadhani hapa unaongea na mgalatia mwenzako maana nyi mmezoea kudanganyana
Sijui Yesu Mungu
Yesu mwana wa Mungu
Mungu wapo 3
Mungu Yesu alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
Weka ushahidi
Tema ni nani?
Huo mji upo wapi?
ULISEMA TAURATI MLIPEWA WAISLAMUSasa sindio uweke hilo andiko na ramani kuthibisha hicho unachokisema
Au unadhani hapa unaongea na mgalatia mwenzako maana nyi mmezoea kudanganyana
Sijui Yesu Mungu
Yesu mwana wa Mungu
Mungu wapo 3
Mungu Yesu alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
Weka ushahidi
Tema ni nani?
Huo mji upo wapi?
Judaism ndio ilianza... agano la kale... Yesu mwenyewe katika maisha yake kibinadamu alikuwa Rabbi.. uzuri wa Ukristo haukuweka beef lolote na uyahudi.. sana sana inasema inaubarikiBila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?