We kijana itakuwa una mtindio wa ubongo
Mimi sipo hapa Kwa ajili ya kubishana nipo Kwa ajili ya kuwaelimisha wagalatia kama wewe na wenzanko kuwa Mtume Muhammad ni nani na anatokea wapi
Kwakuwa wewe ni mbumbu bado umeweka ramani na umetoa andiko linalokubaliana na kile ambacho Mimi nimekuambia
Isaya 21:14,
Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.
1) Andiko lako linasema Tema ni sehemu ya kabila la Ishmael
Hiki si ndicho na Mimi nilikuwa nakuambia kuwa hayo ni Maeneo ambayo wameishi watoto wa Ishmael?
2) Umeweka ramani ya Edom angalia hiyo ramani yako hilo eneo la Edom ambalo limewekwa rangi nyekundu Kwa Sasa limegawanyika sehemu mbili huko juu ni nchi ya Jordan na huku chini ni nchi ya Saudi Arabia zamani za kale hilo eneo lote lilikuwa linaitwa Jangwa la Parani
angalia ramani zote mbili hapo chini
3) Esau
Ni kweli Esau alikuwa na makao na kizazi katika hilo eneo la Edom
Esau na uzao wake hawakuishi Israel ambayo ndio eneo la baba yake Isaka Kwa kipindi hicho badala yake yeye aliishi Edom ambapo ndio Jangwa la Parani ni eneo la baba yake mkubwa ambaye ni Ishmael
Hata mke wa kwanza wa Esau aliyeza nae watoto alioa katoka katika uzao wa Ishmael Yani alienda kuoa Kwa baba yake mkubwa na akaishi huko
Angalia ramani ya kizazi Cha Ishmael kimetapakaa katika hilo eneo la Edom hao akina Yetur, Dumah na Qedema wote hao ni watoto wa Ishmael
Na ndio maana kizazi Cha Esau kinaitwa waarabu Kwa sababu wapalestine ndio watoto wa Esau
In short hilo ndio eneo ambalo Mungu aliliita Jangwa la Parani hiyo mipaka ya Edom , Jordan na Saudi Arabia yote imewekwa na watu
Na Kwa bahati mbaya uliyo nao uzao wa Esau haukutoa nabii yoyote hivyo tunapo ongelea mambo ya Unabii uzao wa Esau unakuwa Use less
Yani kuwa Muislam Raha sana uislam na maandiko ya kweli ya manabii ni kama Bata na maji Yani tunaogelea tu
UMEINGIA MWENYEWE KWENYE MTEGO, KWANZA UTAPELI WA KUSEMA MUHAMMAD NI KIZAZI CHA ISHAMAEL NI MOJA YA UTAPELI NA UONGO MKUBWA ULIOKOSA UTHIBITISHO NA USHAHIDI
Waislamu wote ikiwepo wewe hoja unazoleta Huwa mnarejelea nasaba zilizoandikwa takriban mwaka 770-775B.K na Ibn Ishak.
IBN ISHAK ndiye mwanzilishi wa huu utapeli kuwa mudy ni anatokea kwa Ishamael ,uzuri historia ipo ,ushahidi upo wakutosha ,
Ndiye mtunzi wa Hadi hiyo family tree ya uongo , ambayo Hata ukiulizwa ulete ushahidi wa Quran huna.Ndio maana nasema kila Siku UISLAMU umejengwa kwa UONGO NA PROPAGANDA.
Makabila ya Waismaeli, hasa kabila la Nebaioth ambalo Ibn Ishak anadai Muhammad alitokana nalo, yalikuwa makabila ya kuhamahama yaliyokuwa yakiishi katika jangwa la Sinai na eneo la Mwezi Mstawi. Makabila haya yalitoweka baada ya karne ya 7 KK.,Chukua hii nakupa historia
Familia ya Muhammad, ilikuwa ni familia ya Wahimyari kutoka Yemen, wakati Waismaeli walikuwa wakiishi jangwani katika eneo la Mwezi Mstawi, na walikufa kabisa karne nyingi kabla ya familia ya Muhammad kuondoka Yemen.
Wanahistoria wanasema kuwa familia ya Muhammad ilikuwa ni familia iliyokuwa ikiishi Saba, Yemen. Katika karne ya 5 BK, Qusayy Bin Kilab, ambaye ni babu wa tano wa Muhammad, aliunda muungano wa familia nyingi za Yemeni na kuunda kabila la Kuraishi(Wakureshi), ambalo baadaye Muhammad alitoka, SASA ISHAMAEL anaingiaje hapo 🤣🤣
Familia hizi za Kiyemeni zilianza kukaa Maka katika karne ya 5 BK, wakati ambapo mji wa Maka ulijengwa na kabila la Khuzaa’h katika karne ya 4 BK.
Kwa hivyo, familia ya Muhammad haina uhusiano wowote na makabila ya Waismaeli, kwa kuwa familia ya Muhammad haikuondoka Yemen hadi karne ya 5 BK, ambayo ni takriban miaka 1,100 baada ya Waismaeli kutoweka. Kwa hali hiyo, kabila la Muhammad lisingeweza kuishi katika maeneo yale yale waliyokuwa Waismaeli wakati wowote katika historia.
Zaidi ya hayo, nasaba iliyobuniwa na Ibn Ishak inapingana na kauli za Muhammad mwenyewe, ambaye alikiri kutojua lolote kuhusu mababu zake waliopita kizazi cha 13., MUHAMMAD anakiri kabisa hawajui mababu kizazi cha 13 ,ila wewe hapa unakuja na Family tree ya kuokota .
Aidha, Ibn Ishak alichukuliwa na wanazuoni wa Kiislamu wa wakati wake kuwa mkosaji wa kughushi na kubuni nasaba za uongo.
NDIO MAANA HUWA NAKUBANA SANA LETA USHAHIDI WA QURAN unakimbia..🤣🤣
Muda mrefu kabla ya Ibn Ishak, Waislamu waliokuwa wakiishi katika enzi za Muhammad walikuwa pia wakibuni nasaba ili kujaribu kumhusisha Muhammad na wazawa wa Ishmael.
Muhammad mwenyewe alikataa nasaba zote hizi za uongo, na akaweka mipaka kuhusu nasaba ya mababu zake. Kuhusu kukataa kwa Muhammad nasaba za uongo,
Amru bin al-As anasema
"Muhammad alijifanyia nasaba hadi kwa babu yake al-Nather bin Kinaneh, kisha alisema, "Mtu yeyote anayesema vinginevyo au kuongeza mababu zaidi, amedanganya."
Kwa kusema hivi, Muhammad alikiri kwamba yeye mwenyewe, wala mtu mwingine, hakujua kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh. Nather bin Kinaneh ni babu wa 13 katika nasaba ambayo Muhammad alikubali kuwa ni ya kweli. Hadithi nyingine za desturi, au methali, za Muhammad, zinazojulikana kama Hadithi (Hadiths), zinaonyesha kwamba Muhammad alikataa kujiwekea nasaba kabla ya Maad, ambaye wengine walidhani alikuwa babu wa 20 wa Muhammad.,
SASA WEWE UNAYEMZUSHIA UONGO MUDY KUWA NI WA KABILA LA ISHAMAEL,UNATOA WAPI HUO UONGO?
Nasaba zote zilizojitokeza wakati wa Muhammad zilichukuliwa na Muhammad na wafuasi wake wa karibu kuwa ni za uongo.