Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Quran na Uislamu hata hiyo Torati unayosema umejengwa kwayo, ni Torati ipi na ipo wapi
 
Sasa sindio uweke hilo andiko na ramani kuthibisha hicho unachokisema
Au unadhani hapa unaongea na mgalatia mwenzako maana nyi mmezoea kudanganyana

Sijui Yesu Mungu
Yesu mwana wa Mungu
Mungu wapo 3
Mungu Yesu alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya

Weka ushahidi
Tema ni nani?
Huo mji upo wapi?
NILIKWAMBIA NITAENDELEA KUKUFANYA SHAMBA DARASA

Ulikimbia maswali kule juu, ukaona ukikazania Tema Tema , ambayo hata Quran yako haiijui,NIKAKUJIBU NA KUKUWEKEA RAMANI ,Tema ni EDOMU wala sio Saudia ,sasa nataka uje na ngonjera nyingine

Uliona ni tawi ,sasa nimelifyeka umebaki unarudiarudia tu, sasa Mimi ukirudia ndio nataka maana nitakugeuza Ubao

Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.

Ramani hii
images (18).jpeg

Even nimeona hata Vyanzo vingine kumbe navyo vinatambua Tema ipo Edom

Screenshot_20241217-215057_1.jpg

Ambapo kwa Leo ni hapo Jordan

images (17).jpeg

Sasa njoo na ngonjera nyingine,maana hakuna hoja nyepesi kama za Quran na uislamu,maana zimejengwa kwa UONGO na propaganda ambazo HISTORIA,BIBLIA, ARCHEOLOGIST, Huwa zinakataa kabisa kuthibitisha maana ni uzushi
 
Hili swali lilishajibiwa si mara moja wala mbili. Uliza jingine mwanangu.
Nijibu Mimi ,sijaona likijibiwa,au weka hapa majibu limejibiwaje

Maana kama ukisema ni hii torati Au Tanakh ya wayahudi basi haiendani na uislamu kwa zaidi ya 99% , na ushahidi ninao

Hivo mnaposema uislamu na Torati ,nataka nijue ni Torati ipi hiyo mwaizungumzia

Kuna mwenzako huko juu nimemuuliza maswali kuhusu Uislamu na Torati ,kayapita hayo maswali kama anaaga maiti
 
Soma kuanzia mwanzo. Neno torati ambayo uislam huiita taurati, lilianzia kwenye biblia kwa maana kuwa wayahudi hawajapeleka dini yao kokote sawa na wakristo na waislam au wazungu na waarabu mtawalia. Hivyo, dhana kuu hapa ni udukuzi wa quran toka kwenye biblia. Hata ukiangalia dhana ya uumbaji wa mwanaume Adam kama mtu wa kwanza, unaanzia kwenye biblia na kurudiwa na quran kwa kubadili mambo kidogo. Nadhani umenielewa. Hata utakatifu wa mahali kama jerusalem na makka na kwengineko kumeanzishwa na hao hao ahli kitabi. Nadhani hii inakutosha mwanangu.
 
Oho kumbe uislamu umedokoa kwa Wenye kitabu (mayahudi na manaswara)
 
Na ndio mana wanashindwa kusema muhammad alipewa utume na nani zaidi zaidi watakuletea vifungu vya torati na injili ambavyo wanadai vitabu vyake vimechakachuliwa ila kwenye kumtabiri wanaedai alikuwa muhammad ndio vipo sahihi
 
Yep. Mbona hili liko wazi? Nadhani. Hii ndiyo sababu ya uislam kupenda kutumia ugaidi na vifo ili kukwepa kuumbuka. Ukiingia kwenye uislam ruksa. Ukitoka, kifo.
 
Na ndio mana wanashindwa kusema muhammad alipewa utume na nani zaidi zaidi watakuletea vifungu vya torati na injili ambavyo wanadai vitabu vyake vimechakachuliwa ila kwenye kumtabiri wanaedai alikuwa muhammad ndio vipo sahihi
Hilo hawawezi kujibu, hawataki kusema alipewa utume na nani

Wanakimbilia kwenye BIBLIA ,ukiwabana wanasema ilibadilishwa 🤣🤣

Leta Original yake basi ...Hawana majibu
 
Wanafurahisha sana
 
NILIKWAMBIA NITAENDELEA KUKUFANYA SHAMBA DARASA

Ulikimbia maswali kule juu, ukaona ukikazania Tema Tema , ambayo hata Quran yako haiijui,NIKAKUJIBU NA KUKUWEKEA RAMANI ,Tema ni EDOMU wala sio Saudia ,sasa nataka uje na ngonjera nyingine

Uliona ni tawi ,sasa nimelifyeka umebaki unarudiarudia tu, sasa Mimi ukirudia ndio nataka maana nitakugeuza Ubao

Katika Isaya 21:14, Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.

Ramani hii
View attachment 3179072

Even nimeona hata Vyanzo vingine kumbe navyo vinatambua Tema ipo Edom

View attachment 3179073

Ambapo kwa Leo ni hapo Jordan

View attachment 3179075

Sasa njoo na ngonjera nyingine,maana hakuna hoja nyepesi kama za Quran na uislamu,maana zimejengwa kwa UONGO na propaganda ambazo HISTORIA,BIBLIA, ARCHEOLOGIST, Huwa zinakataa kabisa kuthibitisha maana ni uzushi
We kijana itakuwa una mtindio wa ubongo

Mimi sipo hapa Kwa ajili ya kubishana nipo Kwa ajili ya kuwaelimisha wagalatia kama wewe na wenzanko kuwa Mtume Muhammad ni nani na anatokea wapi

Kwakuwa wewe ni mbumbu bado umeweka ramani na umetoa andiko linalokubaliana na kile ambacho Mimi nimekuambia

Isaya 21:14,
Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.

1) Andiko lako linasema Tema ni sehemu ya kabila la Ishmael
Hiki si ndicho na Mimi nilikuwa nakuambia kuwa hayo ni Maeneo ambayo wameishi watoto wa Ishmael?

2) Umeweka ramani ya Edom angalia hiyo ramani yako hilo eneo la Edom ambalo limewekwa rangi nyekundu Kwa Sasa limegawanyika sehemu mbili huko juu ni nchi ya Jordan na huku chini ni nchi ya Saudi Arabia zamani za kale hilo eneo lote lilikuwa linaitwa Jangwa la Parani
angalia ramani zote mbili hapo chini

3) Esau
Ni kweli Esau alikuwa na makao na kizazi katika hilo eneo la Edom
Esau na uzao wake hawakuishi Israel ambayo ndio eneo la baba yake Isaka Kwa kipindi hicho badala yake yeye aliishi Edom ambapo ndio Jangwa la Parani ni eneo la baba yake mkubwa ambaye ni Ishmael

Hata mke wa kwanza wa Esau aliyeza nae watoto alioa katoka katika uzao wa Ishmael Yani alienda kuoa Kwa baba yake mkubwa na akaishi huko
Angalia ramani ya kizazi Cha Ishmael kimetapakaa katika hilo eneo la Edom hao akina Yetur, Dumah na Qedema wote hao ni watoto wa Ishmael

Na ndio maana kizazi Cha Esau kinaitwa waarabu Kwa sababu wapalestine ndio watoto wa Esau

In short hilo ndio eneo ambalo Mungu aliliita Jangwa la Parani hiyo mipaka ya Edom , Jordan na Saudi Arabia yote imewekwa na watu

Na Kwa bahati mbaya uliyo nao uzao wa Esau haukutoa nabii yoyote hivyo tunapo ongelea mambo ya Unabii uzao wa Esau unakuwa Use less

Yani kuwa Muislam Raha sana uislam na maandiko ya kweli ya manabii ni kama Bata na maji Yani tunaogelea tu
 
Attachments

  • Screenshot_20241218-125747.jpg
    Screenshot_20241218-125747.jpg
    337.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241218-095805.jpg
    Screenshot_20241218-095805.jpg
    293.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241215-221922.jpg
    Screenshot_20241215-221922.jpg
    303.5 KB · Views: 6
We kijana itakuwa una mtindio wa ubongo

Mimi sipo hapa Kwa ajili ya kubishana nipo Kwa ajili ya kuwaelimisha wagalatia kama wewe na wenzanko kuwa Mtume Muhammad ni nani na anatokea wapi

Kwakuwa wewe ni mbumbu bado umeweka ramani na umetoa andiko linalokubaliana na kile ambacho Mimi nimekuambia

Isaya 21:14,
Tema inatajwa kama sehemu ya kabila la Ismaili, na mji huu unahusishwa na maeneo ya jangwa na sehemu za kibiashara za Mashariki hapo EDOMU. Watu kutoka Tema walikuwa na mahusiano na kabila la Edomu na walijihusisha na biashara.

1) Andiko lako linasema Tema ni sehemu ya kabila la Ishmael
Hiki si ndicho na Mimi nilikuwa nakuambia kuwa hayo ni Maeneo ambayo wameishi watoto wa Ishmael?

2) Umeweka ramani ya Edom angalia hiyo ramani yako hilo eneo la Edom ambalo limewekwa rangi nyekundu Kwa Sasa limegawanyika sehemu mbili huko juu ni nchi ya Jordan na huku chini ni nchi ya Saudi Arabia zamani za kale hilo eneo lote lilikuwa linaitwa Jangwa la Parani
angalia ramani zote mbili hapo chini

3) Esau
Ni kweli Esau alikuwa na makao na kizazi katika hilo eneo la Edom
Esau na uzao wake hawakuishi Israel ambayo ndio eneo la baba yake Isaka Kwa kipindi hicho badala yake yeye aliishi Edom ambapo ndio Jangwa la Parani ni eneo la baba yake mkubwa ambaye ni Ishmael

Hata mke wa kwanza wa Esau aliyeza nae watoto alioa katoka katika uzao wa Ishmael Yani alienda kuoa Kwa baba yake mkubwa na akaishi huko
Angalia ramani ya kizazi Cha Ishmael kimetapakaa katika hilo eneo la Edom hao akina Yetur, Dumah na Qedema wote hao ni watoto wa Ishmael

Na ndio maana kizazi Cha Esau kinaitwa waarabu Kwa sababu wapalestine ndio watoto wa Esau

In short hilo ndio eneo ambalo Mungu aliliita Jangwa la Parani hiyo mipaka ya Edom , Jordan na Saudi Arabia yote imewekwa na watu

Na Kwa bahati mbaya uliyo nao uzao wa Esau haukutoa nabii yoyote hivyo tunapo ongelea mambo ya Unabii uzao wa Esau unakuwa Use less

Yani kuwa Muislam Raha sana uislam na maandiko ya kweli ya manabii ni kama Bata na maji Yani tunaogelea tu
UMEINGIA MWENYEWE KWENYE MTEGO, KWANZA UTAPELI WA KUSEMA MUHAMMAD NI KIZAZI CHA ISHAMAEL NI MOJA YA UTAPELI NA UONGO MKUBWA ULIOKOSA UTHIBITISHO NA USHAHIDI

Waislamu wote ikiwepo wewe hoja unazoleta Huwa mnarejelea nasaba zilizoandikwa takriban mwaka 770-775B.K na Ibn Ishak.

IBN ISHAK ndiye mwanzilishi wa huu utapeli kuwa mudy ni anatokea kwa Ishamael ,uzuri historia ipo ,ushahidi upo wakutosha ,

Ndiye mtunzi wa Hadi hiyo family tree ya uongo , ambayo Hata ukiulizwa ulete ushahidi wa Quran huna.Ndio maana nasema kila Siku UISLAMU umejengwa kwa UONGO NA PROPAGANDA.

Makabila ya Waismaeli, hasa kabila la Nebaioth ambalo Ibn Ishak anadai Muhammad alitokana nalo, yalikuwa makabila ya kuhamahama yaliyokuwa yakiishi katika jangwa la Sinai na eneo la Mwezi Mstawi. Makabila haya yalitoweka baada ya karne ya 7 KK.,Chukua hii nakupa historia

Familia ya Muhammad, ilikuwa ni familia ya Wahimyari kutoka Yemen, wakati Waismaeli walikuwa wakiishi jangwani katika eneo la Mwezi Mstawi, na walikufa kabisa karne nyingi kabla ya familia ya Muhammad kuondoka Yemen.

Wanahistoria wanasema kuwa familia ya Muhammad ilikuwa ni familia iliyokuwa ikiishi Saba, Yemen. Katika karne ya 5 BK, Qusayy Bin Kilab, ambaye ni babu wa tano wa Muhammad, aliunda muungano wa familia nyingi za Yemeni na kuunda kabila la Kuraishi(Wakureshi), ambalo baadaye Muhammad alitoka, SASA ISHAMAEL anaingiaje hapo 🤣🤣

Familia hizi za Kiyemeni zilianza kukaa Maka katika karne ya 5 BK, wakati ambapo mji wa Maka ulijengwa na kabila la Khuzaa’h katika karne ya 4 BK.

Kwa hivyo, familia ya Muhammad haina uhusiano wowote na makabila ya Waismaeli, kwa kuwa familia ya Muhammad haikuondoka Yemen hadi karne ya 5 BK, ambayo ni takriban miaka 1,100 baada ya Waismaeli kutoweka. Kwa hali hiyo, kabila la Muhammad lisingeweza kuishi katika maeneo yale yale waliyokuwa Waismaeli wakati wowote katika historia.

Zaidi ya hayo, nasaba iliyobuniwa na Ibn Ishak inapingana na kauli za Muhammad mwenyewe, ambaye alikiri kutojua lolote kuhusu mababu zake waliopita kizazi cha 13., MUHAMMAD anakiri kabisa hawajui mababu kizazi cha 13 ,ila wewe hapa unakuja na Family tree ya kuokota .

Aidha, Ibn Ishak alichukuliwa na wanazuoni wa Kiislamu wa wakati wake kuwa mkosaji wa kughushi na kubuni nasaba za uongo.

NDIO MAANA HUWA NAKUBANA SANA LETA USHAHIDI WA QURAN unakimbia..🤣🤣

Muda mrefu kabla ya Ibn Ishak, Waislamu waliokuwa wakiishi katika enzi za Muhammad walikuwa pia wakibuni nasaba ili kujaribu kumhusisha Muhammad na wazawa wa Ishmael.

Muhammad mwenyewe alikataa nasaba zote hizi za uongo, na akaweka mipaka kuhusu nasaba ya mababu zake. Kuhusu kukataa kwa Muhammad nasaba za uongo,

Amru bin al-As anasema

"Muhammad alijifanyia nasaba hadi kwa babu yake al-Nather bin Kinaneh, kisha alisema, "Mtu yeyote anayesema vinginevyo au kuongeza mababu zaidi, amedanganya."

Kwa kusema hivi, Muhammad alikiri kwamba yeye mwenyewe, wala mtu mwingine, hakujua kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh. Nather bin Kinaneh ni babu wa 13 katika nasaba ambayo Muhammad alikubali kuwa ni ya kweli. Hadithi nyingine za desturi, au methali, za Muhammad, zinazojulikana kama Hadithi (Hadiths), zinaonyesha kwamba Muhammad alikataa kujiwekea nasaba kabla ya Maad, ambaye wengine walidhani alikuwa babu wa 20 wa Muhammad.,

SASA WEWE UNAYEMZUSHIA UONGO MUDY KUWA NI WA KABILA LA ISHAMAEL,UNATOA WAPI HUO UONGO?

Nasaba zote zilizojitokeza wakati wa Muhammad zilichukuliwa na Muhammad na wafuasi wake wa karibu kuwa ni za uongo.
 
KIJANA HII MADA KWAKO ITAKUWA NZITO, HUU UZUSHI MMEMEZESHWA KWA MIAKA MINGI SANA KUWA MUDY ANATOKA KWA ISHAMAEL,YOTE HIYO NI KUTAKA KUJIPENDEKEZA KWA MANABII WA ISRAEL,NA IBRAHIMU

Uislamu umejengwa kwa UONGO NA PROPAGANDA,ndio maana Huwa nasema kila siku ,ni rahisi sana kupangua hoja za Uislamu maana Huwa zimejengwa kwa UONGO kwahiyo zinaning'inia kama kamba tu,

Muhammad sio Nasaba ya Ishamael,

Muhammad mwenyewe alikataa kuwekewa nasaba hadi kwa Ishmael,maana alikuwa anajua ni UONGO ,. Wafuasi wake wa karibu na wa kizazi chake walikubali kuwa nasaba zilizojitokeza wakati wake zilikuwa za uongo.

Nakupa USHAHIDI HUU HAPA WA HADITHI ,👇👇👇

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.

Nukuu hizi zinatoa uthibitisho wa madai ya Aisheh na Ibn Abbas kuhusu kukataa kwa Muhammad kuhusishwa na nasaba zinazomhusisha na Ishmael.

SASA NJOO NA ZILE PICHA ZAKO ZA FAMILY TREE ZA GOOGLE ,NIKUPIGE MASWALI
 
UMEINGIA MWENYEWE KWENYE MTEGO, KWANZA UTAPELI WA KUSEMA MUHAMMAD NI KIZAZI CHA ISHAMAEL NI MOJA YA UTAPELI NA UONGO MKUBWA ULIOKOSA UTHIBITISHO NA USHAHIDI

Waislamu wote ikiwepo wewe hoja unazoleta Huwa mnarejelea nasaba zilizoandikwa takriban mwaka 770-775B.K na Ibn Ishak.

IBN ISHAK ndiye mwanzilishi wa huu utapeli kuwa mudy ni anatokea kwa Ishamael ,uzuri historia ipo ,ushahidi upo wakutosha ,

Ndiye mtunzi wa Hadi hiyo family tree ya uongo , ambayo Hata ukiulizwa ulete ushahidi wa Quran huna.Ndio maana nasema kila Siku UISLAMU umejengwa kwa UONGO NA PROPAGANDA.

Makabila ya Waismaeli, hasa kabila la Nebaioth ambalo Ibn Ishak anadai Muhammad alitokana nalo, yalikuwa makabila ya kuhamahama yaliyokuwa yakiishi katika jangwa la Sinai na eneo la Mwezi Mstawi. Makabila haya yalitoweka baada ya karne ya 7 KK.,Chukua hii nakupa historia

Familia ya Muhammad, ilikuwa ni familia ya Wahimyari kutoka Yemen, wakati Waismaeli walikuwa wakiishi jangwani katika eneo la Mwezi Mstawi, na walikufa kabisa karne nyingi kabla ya familia ya Muhammad kuondoka Yemen.

Wanahistoria wanasema kuwa familia ya Muhammad ilikuwa ni familia iliyokuwa ikiishi Saba, Yemen. Katika karne ya 5 BK, Qusayy Bin Kilab, ambaye ni babu wa tano wa Muhammad, aliunda muungano wa familia nyingi za Yemeni na kuunda kabila la Kuraishi(Wakureshi), ambalo baadaye Muhammad alitoka, SASA ISHAMAEL anaingiaje hapo 🤣🤣

Familia hizi za Kiyemeni zilianza kukaa Maka katika karne ya 5 BK, wakati ambapo mji wa Maka ulijengwa na kabila la Khuzaa’h katika karne ya 4 BK.

Kwa hivyo, familia ya Muhammad haina uhusiano wowote na makabila ya Waismaeli, kwa kuwa familia ya Muhammad haikuondoka Yemen hadi karne ya 5 BK, ambayo ni takriban miaka 1,100 baada ya Waismaeli kutoweka. Kwa hali hiyo, kabila la Muhammad lisingeweza kuishi katika maeneo yale yale waliyokuwa Waismaeli wakati wowote katika historia.

Zaidi ya hayo, nasaba iliyobuniwa na Ibn Ishak inapingana na kauli za Muhammad mwenyewe, ambaye alikiri kutojua lolote kuhusu mababu zake waliopita kizazi cha 13., MUHAMMAD anakiri kabisa hawajui mababu kizazi cha 13 ,ila wewe hapa unakuja na Family tree ya kuokota .

Aidha, Ibn Ishak alichukuliwa na wanazuoni wa Kiislamu wa wakati wake kuwa mkosaji wa kughushi na kubuni nasaba za uongo.

NDIO MAANA HUWA NAKUBANA SANA LETA USHAHIDI WA QURAN unakimbia..🤣🤣

Muda mrefu kabla ya Ibn Ishak, Waislamu waliokuwa wakiishi katika enzi za Muhammad walikuwa pia wakibuni nasaba ili kujaribu kumhusisha Muhammad na wazawa wa Ishmael.

Muhammad mwenyewe alikataa nasaba zote hizi za uongo, na akaweka mipaka kuhusu nasaba ya mababu zake. Kuhusu kukataa kwa Muhammad nasaba za uongo,

Amru bin al-As anasema

Kwa kusema hivi, Muhammad alikiri kwamba yeye mwenyewe, wala mtu mwingine, hakujua kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh. Nather bin Kinaneh ni babu wa 13 katika nasaba ambayo Muhammad alikubali kuwa ni ya kweli. Hadithi nyingine za desturi, au methali, za Muhammad, zinazojulikana kama Hadithi (Hadiths), zinaonyesha kwamba Muhammad alikataa kujiwekea nasaba kabla ya Maad, ambaye wengine walidhani alikuwa babu wa 20 wa Muhammad.,

SASA WEWE UNAYEMZUSHIA UONGO MUDY KUWA NI WA KABILA LA ISHAMAEL,UNATOA WAPI HUO UONGO?

Nasaba zote zilizojitokeza wakati wa Muhammad zilichukuliwa na Muhammad na wafuasi wake wa karibu kuwa ni za uongo.
Leo Ishmael amekuwa ruru kwenu wagalatia Hadi unamgombania kiasi hicho si ndio nyinyi mnamuitaga mtoto wa zinaa?

Kilicho Baki Sasa unahangaika tu na kuweka makala za wagalatia wenzanko walizo andika Ili waendelee kukudanganyeni kuhusu uislam

Kama walikudanganyeni Yesu ndio Mungu wenu na ukristo ni dini watashindwa kukudanganyeni kuwa mtume Muhammad hajutoka katika uzao wa Ishmael?

Family tree ya uzao wa Ishmael Hadi mtume Muhammad ipo hiyo hapo chini iangalie na wewe kama unayo ya kwako ya huko Yemeni sijui wawekee wagalatia wenzanko waione Ili mzidi kudanganyana maana dini yenu ndio ilivyo Kila kitu ni uongo

Hamuna Mungu Kwa sababu Yesu sio Mungu
Hamuna mtume Kwa sababu Paulo sio mtume
Hamuna dini Kwa sababu ukristo sio dini
Hamuna kitabu Kwa sababu Wakolitho, wagalatia, warumi , Efeso sijui Tito hivyo vyote sio vitabu vya Mungu

By the way hakuna mtu aliyekushikia Panga Ili uamini kuwa Muhammad ni Mtume wa Mungu maana naona unapata tabu sana

Lakini hata huyo Paulo aliyekuleteeni ukristo alikuwa anajua kuwa katika uzao wa Ishmael atatoka mtume na sehemu yanyewe atapotokea huyo mtume ni Arabuni

Kwa sababu Paulo alikuwa farisayo na mafarisayo ni wasomi wazuri wa Taurati

Wagalatia 4:21
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
Wagalatia 4:22
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana
Wagalatia 4:23
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Wagalatia 4:24
Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.
Wagalatia 4:25
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.

Sasa wewe endelea tu kupingana na mandiko ambayo umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha
 
Attachments

  • Screenshot_20241216-190633.jpg
    Screenshot_20241216-190633.jpg
    283.2 KB · Views: 3

YAANI SISI TUHANGAIKE NA ISHAMAEL AMBAYE AGANO HALIJAPITIA KWAKE?

MIMI NAKUJUZA WEWE NA UONGO ULIOMEZESHWA KUWA MUDY NI KIZAZI CHA ISHAMAEL ILI MJIPACHIKE KWA IBRAHIMU

Muhammad mwenyewe alikataa yeye sio uzao wa Ishamael,WEWE HIYO FAMILY TREE UMETOA WAPI🤣🤣🤣🤣

NAWEKA USHAHIDI HAPA 👇 SASA WA SAHIHI MUSILM

MUHAMMAD ALIGOMA ,WEWE KWANINI UNAMPAKAZIA ?

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.

Nukuu hizi zinatoa uthibitisho wa madai ya Aisheh na Ibn Abbas kuhusu kukataa kwa Muhammad kuhusishwa na nasaba zinazomhusisha na Ishmael.

SASA TUAMBIE TUKUSIKILIZE WEWE AU MUHAMMAD,MKEWE NA BINAMU YAKE ,NANI MUONGO

NJOO UJIBU HAPA
 
ACHA SHOBO NA FAMILIA YA WATU WAMEKUKATAA HUKU

BI AISHA ,IBN ABBAS NA MUDY WANASEMA UNAWAZUSHIA UONGO 🤣🤣

USHAHIDI👇👇👇

(mke wa Muhammad):
Aisha alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."

Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

(binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."

Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.

NJOO UTUAMBIE KAMA MUDY,MKEWE AISHA NA IBN ABBAS (BINAMU YAKE ) NI WAONGO TUKUSIKILIZE WEWE
 
Kilicho Baki Sasa unahangaika tu na kuweka makala za wagalatia wenzanko walizo andika Ili waendelee kukudanganyeni kuhusu uislam

UISLAMU,QURAN ZIMEJENGWA KWENYE UONGO NA PROPAGANDA

Ndio maana hakunaga hoja ngumu ndani ya Quran au uislamu,Mimi Huwa naona kama kunywa maji tu🤣🤣

NAKUPA MFANO UONE HALAFU HATA WEWE UTACHEKA ,NDIO MAANA NIMEGUNDUA HUPENDI KUTUMIA QURAN

Hii inamhusu Nimrodi. Kulingana na Mwanzo 10:8-11, Nimrodi alikuwa mjenzi wa kwanza wa miji ya kale ya Mesopotamia. Alikuwa mwana wa Kushi, mwana wa Hamu, mwana wa Nuhu.

Tunaweza kumweka katika kipindi cha kati ya mwaka 5000 na 4500 KK.

Vitabu vya Kiislamu vinasema kwa usahihi kwamba Nimrodi alikuwa mwana wa Kushi, lakini vinakosea kwa kudai kwamba aliishi wakati wa Abrahamu.

Dai hili lisilo sahihi kuhusu Nimrodi ni kosa lililopo katika Qur’ani, ambalo linaonyesha Nimrodi akitawala wakati wa Abrahamu.

Qur’ani inasema kwamba Nimrodi alimtesa Abrahamu na kumtupa kwenye moto ambao haukumdhuru.

Tunapata hili katika Surah al-Anbiya' 21:51-70 na Surah al-Safat 37:95.

Simulizi hii ya Qur’ani imechukuliwa kutoka katika kitabu cha Kiyahudi kinachoitwa Midrash Rabbah, sura ya 17.

Tunawahimiza Waislamu wote kusoma historia na kulinganisha ukweli na yale wanayoambiwa katika Qur’ani na desturi za Kiislamu.

Madai ya Muhammad, Qur’ani, na Uislamu hayana msingi wa wazi.

Hata kama makosa haya ya kihistoria yalipokelewa na wafuasi wa Muhammad wakati wake, sasa tuna ushahidi mwingi zaidi unaoonyesha makosa haya. Je, mtu anawezaje kukubali makosa haya makubwa, wakati uchunguzi rahisi wa historia unaonyesha jinsi yalivyo na makosa?
 
YAANI SISI TUHANGAIKE NA ISHAMAEL AMBAYE AGANO HALIJAPITIA KWAKE?

MIMI NAKUJUZA WEWE NA UONGO ULIOMEZESHWA KUWA MUDY NI KIZAZI CHA ISHAMAEL ILI MJIPACHIKE KWA IBRAHIMU

Muhammad mwenyewe alikataa yeye sio uzao wa Ishamael,WEWE HIYO FAMILY TREE UMETOA WAPI🤣🤣🤣🤣

NAWEKA USHAHIDI HAPA 👇 SASA WA SAHIHI MUSILM

MUHAMMAD ALIGOMA ,WEWE KWANINI UNAMPAKAZIA ?

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.

Nukuu hizi zinatoa uthibitisho wa madai ya Aisheh na Ibn Abbas kuhusu kukataa kwa Muhammad kuhusishwa na nasaba zinazomhusisha na Ishmael.

SASA TUAMBIE TUKUSIKILIZE WEWE AU MUHAMMAD,MKEWE NA BINAMU YAKE ,NANI MUONGO

NJOO UJIBU HAPA
Kwa bahati nzuri Huwa sichoki kuongea na makafiri mambo yanayohusu Mungu wa kweli muumba wa mbingu na aridhi

Jibu haya maswali maana Sasa umefika wakati sijue wewe unapingana na nani

1) Unakubaliana na mandiko ya Bibilia kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Saudi Arabia ya Sasa?

2) Unakubali kuwa mtume Muhammad ni mzaliwa wa Saudi Arabia Kwa mujibu wa Historia
 
NIMESHAKUPA DARASA LA KUTOSHA , ISHAMAEL WALA IBRAHIMU HAWAJAWAHI KUFIKA WALA KUISHI SAUDIA ARABIA

Hiyo ni janja ya kutaka kumsingizia alijenga na kuabudu lile jiwe JEUSI ,

Sasa jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

Back
Top Bottom