Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

Ni baada ya Maoni ya Master J kuhusu utofauti wa Diamond na Kiba!?
 
Naona kuna kitu unalazimisha.
Unaandika huku moyo unavuja balaa.

Kuwa nominated ni mipango mikakati. Wapo wazuri sana kuzidi hao na wametulia.

Sema Master Jay ameongea neno gumu sana kwa kambi yenu hivyo mnahaha kusaka angle ya kushambulia
 
Kwani huyo master Jay bado anafanya kazi ya ku produce nyimbo? Maana sijawahi kumsikia kabisa
 
s2kizzy ni beatMaker, yeye ana compose beats, mastering anamalizia gwiji mwingine
Master J, ni producer ( full pakej, beat composition na mixing/mastering yote ni yeye)

hao beat composers wa kisasa, mastering wanawapasia wale wakongwe ie: PFunk, MJ, na wengineo
 
kipindi tunakua ktk mabishano ya nani anaweza kula bajia nyingi kuliko wengine,mpuuzi mmoja akaropoka kwamba yeye akiwekewa bajia zikajaa bodi ya landrover akaachiwa sehemu ya kukaa tu,anamaliza.
kwa sasa baada ya umri kwenda ndio najua,mabishano yale yalikuwa sponsored by njaa😂😂.

kwa sasa kuna watu wanaamimi kabisa producer bora anapatikana WCB tu,

msanii mwenye pesa hata za kukopesha serikali ni diamond platnumz.

hata hii mada imeletwa kwa hisani ya ujinga.
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Hujui industry mkuu

Una ushabiki mandazi
 
Bado inachekesha😂
Music production ya sasa imekua rahisi zaidi, kila kitu kimekua autamated and incorporated into user friendly softwares.
Ushamba mzigo

Kwahiyo ulitaka tubaki enzi za pachanga na conga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…