Nyerere aliiga ktk ufaransa, ni mfuomo unatumika ufaransa kuwa na raisi na waziri mkuu, sema hapo kwenye makamu wa raisi kuna ahusiano na mambo ya muungano, ufaransa hawana makamu wa raisi wana raisi na waziri mkuu..
kwa maoni yangu tatizo la tanzagiza ni aina ya watu wanaofika juu na mwishowe kutawala, hatufwati meritocracy, hivyo hakuna chujio la kuchuja watu incompetent kufika juu, hapo ndipo tatizo lilipo, lkn kama ukiwa na na watu competent juu na mfumo huu bado tunaweza kutoboa.
angalia mifano tu wizara za elimu na afya, wizara ya afya inaongozwa na mtu ambaye hana medical background anawezaje hata kuelewa matakwa ya tiba na mambo mengine yote yahusiyo afya? ...