Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Anza na Katiba, maana katiba inatambua uwepo wa Waziri Mkuu na majukumu yake. Je, watanzania wapo tayari kubadili Katiba???Inatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu.
Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
Mindset yake ni ya katibu mwenezi, propaganda. Sio PM materialHuyu waziri mkuu wa sasa anajiona kama MWENEZI WA CCM
Achana na huyu wa Sasa... Umuhimu wa kuwa na Waziri Mkuu kwa kufuata muundo wa nchi yetu upo kwenye nini?Huyu waziri mkuu wa sasa anajiona kama MWENEZI WA CCM
Katiba mpya ndiyo suluhisho la haya yote.Inatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu.
Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
Wasingekuwa tayari wasingetoa maoni yao kwenye Tume ya marekebisho ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba.Je, watanzania wapo tayari kubadili Katiba???
SawaWasingekuwa tayari wasingetoa maoni yao kwenye Tume ya marekebisho ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba.
Tume zote kuanzia ya Jaji Nyalali au Kisanga na nyinginezo , zinaonesha watanzania wanataka Katiba mpya.
Hakuna PM pale kuna Head Prefect anafanya mambo km yupo Mwembetogwa Secondary School...Inatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu.
Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
Nyerere aliiga ktk ufaransa, ni mfuomo unatumika ufaransa kuwa na raisi na waziri mkuu, sema hapo kwenye makamu wa raisi kuna ahusiano na mambo ya muungano, ufaransa hawana makamu wa raisi wana raisi na waziri mkuu..
kwa maoni yangu tatizo la tanzagiza ni aina ya watu wanaofika juu na mwishowe kutawala, hatufwati meritocracy, hivyo hakuna chujio la kuchuja watu incompetent kufika juu, hapo ndipo tatizo lilipo, lkn kama ukiwa na na watu competent juu na mfumo huu bado tunaweza kutoboa.
angalia mifano tu wizara za elimu na afya, wizara ya afya inaongozwa na mtu ambaye hana medical background anawezaje hata kuelewa matakwa ya tiba na mambo mengine yote yahusiyo afya? ...
Anasimamia sera kama nani na utofauti wake na mawaziri wengine nje ya kuwa kiongozi wa shughuli za Serikali bungeni , upo kwenye nini?Yeye yupo pale KUSIMAMIA sera, instrument yake ni katiba, sera ya Afya, Sheria za Afya, kanuni za Afya na taratibu za Afya.
Anasimamia sera kama nani na utofauti wake na mawaziri wengine nje ya kuwa kiongozi wa shughuli za Serikali bungeni , upo kwenye nini?
You are absolutely correct. Mimi nadhani kama tunataka waziri mkuu, basi awe mtendaji na rais awe na majukumu machache sana i.e awe rais wa itifaki tu. Na siyo waziri mkuu tu, kuna vyeo vingi sana havina umuhimu wowote na hata bunge nasema ni kubwa mno. CCM hawawezi kufanya marekebisho kwa sababu tawala za namna hii zinawapa ulaji na urahisi wa kukandamiza demokrasia.Inatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu.
Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
Nchi inaweza kufanya vizuri zaidi kuliko huo ''usimamizi'' wake. Sana sana anajaza nafasi na kuongeza urasimu tu.Yeye yupo pale KUSIMAMIA sera, instrument yake ni katiba, sera ya Afya, Sheria za Afya, kanuni za Afya na taratibu za Afya.
Naunga mkono hoja ni nafasi isiyo ya lazima haina umuhimuInatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu.
Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
Mtu anapangiwa cheo hata akipewa ofisi haoni kazi ya kufanya.... HahahahaMakada wa c c m wanapeana tu vyeo.
Hata kama hazina faida kwa mlipa kodi.