Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

immortanity

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
859
Reaction score
1,591
Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati
Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10 kabla ya pepa..
 
A level ina umuhimu wake.

Cha msingi ni kupunguza idadi ya wanao pitia A level, Like nusu ya walio faulu waende Diploma.

Tuondoe fikra za kusema walio feli ndo waendee Diploma.

Pia Loarnboard itoe uzamini wa elimu kwa Diplomas ili kuvutia wanafunzi
 
Ili la NETO🇹🇿 NILIJUA MAPEMA TU HALITATUACHA WATANZANIA TULIO WENGI SALAMA .SASA NA A-LEVEL WAKIONDOA ADA YA MILIONI DIPLOMA KWA MIAKA 3 WATOTO WA MAMA SAID TUTAZITOLEWA WAPI ?
gharama za uendeshaji A-levo zitaamishiwa kweny vyuo vya kati pia serikali itashusha ada na kutoa fedha kama ilivyo kwa vyuo vikuu hakuna kinachoshindikana ni sera TU kubadirishwa
 
Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati
Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10 kabla ya pepa..
Kuna maccm yana miliki A LEVEL NDIYO MAANA AWATAKI KUKUBALI.KUWA A L NI UCHAFUZI WA ELIMU
 
Vijana acheni ujuaji, vitu ambavyo hamvielewi fatilieni kwanza kuepuka kuonekana wajinga! Cha kuishauri serikali ni kuboresha kiwango cha elimu kinachotolewa sio kuondoa Advanced level education, hatuwezi kuwa na wataalam waliopita vyuo vya kati tu na kukosa a strong theoretical background katika taaluma zao.
Wenzako walikaa wakafikiria na kuona umuhimu wa kuwepo advanced level, umeshiba maharage na bundle lako la mia tano unakuja tu kuandika uzi huku JF.
Imagine mtu mzima, amesoma na haoni umuhimu wa advanced level?
 
sio kwa ubaya mtetezi
 
Inategemea na Fani na Fani.

Mfano: Diplomas inaweza kutupa waalimu, nurses, Clinical officers, architecturers nmk lkn vipi kuhusu Wanasheria, Researchers watatoka wapi bila kupita advance?.
kwani hakuna diploma za sheria?
 
Back
Top Bottom