immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
ufala sanaA Level itoke. Ile Mechanics + Organic + Kumeza BS ni ujinga tu.
A-levo haina umuhimu wowote mkuuA level ina umuhimu wake.
Cha msingi ni kupunguza idadi ya wanao pitia A level, Like nusu ya walio faulu waende Diploma.
Tuondoe fikra za kusema walio feli ndo waendee Diploma.
Pia Loarnboard itoe uzamini wa elimu kwa Diplomas ili kuvutia wanafunzi
gharama za uendeshaji A-levo zitaamishiwa kweny vyuo vya kati pia serikali itashusha ada na kutoa fedha kama ilivyo kwa vyuo vikuu hakuna kinachoshindikana ni sera TU kubadirishwaIli la NETO🇹🇿 NILIJUA MAPEMA TU HALITATUACHA WATANZANIA TULIO WENGI SALAMA .SASA NA A-LEVEL WAKIONDOA ADA YA MILIONI DIPLOMA KWA MIAKA 3 WATOTO WA MAMA SAID TUTAZITOLEWA WAPI ?
Kuna maccm yana miliki A LEVEL NDIYO MAANA AWATAKI KUKUBALI.KUWA A L NI UCHAFUZI WA ELIMUSerikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati
Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10 kabla ya pepa..
Hii nchi mambo ni magumu sanaKuna maccm yana miliki A LEVEL NDIYO MAANA AWATAKI KUKUBALI.KUWA A L NI UCHAFUZI WA ELIMU
sio kwa ubaya mteteziVijana acheni ujuaji, vitu ambavyo hamvielewi fatilieni kwanza kuepuka kuonekana wajinga! Cha kuishauri serikali ni kuboresha kiwango cha elimu kinachotolewa sio kuondoa Advanced level education, hatuwezi kuwa na wataalam waliopita vyuo vya kati tu na kukosa a strong theoretical background katika taaluma zao.
Wenzako walikaa wakafikiria na kuona umuhimu wa kuwepo advanced level, umeshiba maharage na bundle lako la mia tano unakuja tu kuandika uzi huku JF.
Imagine mtu mzima, amesoma na haoni umuhimu wa advanced level?
A-levo haina umuhimu wowote mkuu
kwani hakuna diploma za sheria?Inategemea na Fani na Fani.
Mfano: Diplomas inaweza kutupa waalimu, nurses, Clinical officers, architecturers nmk lkn vipi kuhusu Wanasheria, Researchers watatoka wapi bila kupita advance?.