Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

Mambo ya bill na Belinda gates nan anataka ya kugawana mali??

Ila wanawake wameshuka kwl thaman. Wanaume tunabinyabinya nyanya tunannua biringanya so sad to them
 
Heshima yetu iko mikononi mwetu ila sasa ndo hivyo,, huku mtaani hali mbaya mno jamani, nakosa hata cha kuandika,,, inasikitisha sana

Sema namna pekee iliyobaki Kama unamtoto wa kike ni kumsomesha kumpa nguvu ya kiuchumi maana tunapoelekea mwanao wa kike asipokuwa na elimu wala pesa atapata tabu sana
 
Sema namna pekee iliyobaki Kama unamtoto wa kike ni kumsomesha kumpa nguvu ya kiuchumi maana tunapoelekea mwanao wa kike asipokuwa na elimu wala pesa atapata tabu sana
Hlo jambo ndo ulipaswa uhitimishe nalo kwa wazaz wenye totoz za kike
 
Kabla sijasoma Uzi mzima tayari nmekuunga mkono, umewaza Kama mm.
 
Ndio maana katika misingi ambayo dini inafundisha kwanza ni Hofu ya Mungu.

Ukiwa na hofu ya Mungu utazini kwa kujifucha ama hautazink kabisa.

Kama hauna hofu ya Mungu utazini kwa kujitapa na kutangaza zinaa na kuivutia ili wangine wafanye,hii ia ni mbaya inaharibu jamii.

Dini bila hofu haisimami sawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…