Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

Hawa ndo wazee wapuuzi ambao mtu hatakiwi kukaa nao ukachukua maujinga yao
 

Wewe ni Pundamilia Kwa sababu upeo wako ni mdogo umeshindwa kuelewa Uzi unamzungumzia nini.

Hayo uliyoyaeleza mbona hata mtoto wa darasa la tatu anayajua.

Ila tunazungumzia uhalisia wa mambo ulivyo Kwa sasa.

Hakuna asiyejua umuhimu wa ndoa.

Ila huo umuhimu ndio Kwa Karne hii umepotea
 
For sure ...watu tunahofia kupata wake ...maana makahaba yanaongezeka daily
 
Kwani mmewablock wadada wasichangie!!!...nabonyea wap Ku unblock
 
Kiukweli hali ni mbaya mno huku mtaani,, wanawake tumekuwa wepesi na rahisi sana

Wengi hatuna thamani machoni pa wanaume[emoji22] inafikia hatua mtu anajilipia mahari, hali sio aisee
[emoji817] agreed ...hali ni mbaya mbaya mnoo
 
Sasa hivi mpk mabinti wanatamani eti nao wangekua wanaume ili wazigonge kwelikweli nyapu za burebure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatamani kulipiza kisasi ila wa kumlipizia hawana ... wengine wamekimbilia usagaji
 
Mwanamke akisikia mwanaume yupo singel anagawa mzigo kirahisi sana kuliko kwa mme wa mtu,, -- hivyo walio single wanaona usingle wao kama moja ya silaha kubwa ya kupatia wanawake hivyo kuuacha ni kupunguza fursa za kutafuna wadada.
PASU KWA PASU / HAKI SAWA.
Athari zake ni kubwa sana na zikija kuanza kuonekana ni vigumu sana kuzieliminate. Baadhi ya athari zake ni hili wimbi la transgender na depopulation.

Tukifika huko wanawake wengi watakosa wanaume- hivyo usagaji utashamiri sana.

Kuna nchi tayari zimeshaathirika na haya mambo na hazina namna ya kufanya.
 

Umenena vyema Mkuu
 
Hyo kugawana mali imemtokea jiran yetu hapa,yaan mwanamke kamkomoa jamanaa,achilia mbali kumlaza selo na kupgwa fain ya M2 kaja nyumbani kakusanyaa kila kitu,alitaka kuchukua na kitandaa jamaa ikabid akaze!!ila nimejagundua wakwe ndo wanawajaza watt wao ujinga wa kuwaambia wagawane mali!..na hii tabia ipo sanaa kanda ya titi
 
Ndoa bado ina umuhimu mkubwa sana , watu wengi wanaingia kwenye ndoa baada ya kipindi kifupi tu cha uchumba bila hata ya kufahamiana vizuri tabia zao ,ambapo wakiingia kwenye ndoa ndipo huanza kujuta. Wanaume wengi wanaogopa kuoa kwa sababu ya kuona ndo nyingi zinavunjika, kila ndoa inakuwa na baraka zake ukipata mke mwema basi ndoa yako itakuwa nyepesi kabisa, ukikosea na ukaoa mke waluwalu basi itakubidi utumie akili nyingi kumtuliza ili ndoa yako idumu la sivyo mtafukuzana mda mfupi. Pia kwa maisha ya miaka ya sasa ya kibongo bongo ili uwe na ndoa yenye maelewano basi muhimu muwe na uwezo wa kipato cha kuwezesha familia kula, kusomesha, mavazi,kulipa kodi, pesa ya dharula inapotokea shida ya afya na kutunza wazazi.
 
Watu tumezidi kula kimasihara mnoπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Kiukweli hali ni mbaya mno huku mtaani,, wanawake tumekuwa wepesi na rahisi sana

Wengi hatuna thamani machoni pa wanaume[emoji22] inafikia hatua mtu anajilipia mahari, hali sio aisee
Kama jana kuna mademu nawafahamu walikuja kwenye duka furani wakakuta wafanyakazi sijui walijua ndo mabosi wakaomba namba kabisa bila aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…