ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya bwana kumbe hivo.Mimi sifurahii matatizo ya watu,ila nafurahishwa na nikichokigundua.Hapo zamani kabla ya vifurushi kupanda, humu jF Kila mmoja alikuwa anaweza kumtunishia misuli kiuchumi mtu yoyote kwenye hizi comments, tena wengine wanakwambia mara unaishi kwa shemeji na brabra nyingine [emoji28].
Leo nimefurahi kuona haohao waliowahi kunaimabia hivyo kwenye baadhi ya comments,nao eti wanalalamika bei za vifurushi[emoji23].
Ni hivyo tu mkuu😂😂, Sasa kwenye harakati za kuwajib watu wa aina hiyo ndo naonekana kama nafurahia watu wasiojiweza kuteseka. Ila kimsingi comments zangu nyingi zenye kufurahia, zinawalenga wale waliokuwa wakijifanya na kuigiza ni matajiri kinyume cha uhalisia wa maisha yao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya bwana kumbe hivo.
Sio kweki itangazwe hata kesho kuw passport ni haki ya kila raia uone mafuriko ihamiaji wakitaka passpirt dont underate Tanzanians .Tanzania na Ethippia ndio zinaongoza kuzalisha wahamiaji haramu Afrika ya kusini wasio na Passport shauri ya ubahili wao wa kutoa passport na kuhatarisha maisha ya vijanaUmejibu swali gumu kwa jibu jepesi .. kama motivation speaker vile na stori za matikiti na forex..
Huwezi kupata trilion mbili kila mwezi kwa kuuza tangible thing like passport, sabab watanzania wengi ni maskini hawana ndoto ya safari yeyote.. hata vitambulisho vya nida tu buree na vina matumizi mengi.. ila kuna watanzania kibao hawajaenda nida mpaka leo...
Wahitaji wa kumiliki passport tanzania ni chini ya 20% ya raia wote ( hao hata kusafiri nauli hawana wala hawajui watasafiri lini ila wanapenda kumiliki passport)... tukiweka wanaohitaji kwa sababu wanaitumia kwenye safari zao za mara kwa mara wanazidi kupungua na kuwa chini ya 10% ya raia wote...
Na kwa kigezo cha kuzaliana, Tanzania wanaozaliana sana ni maskini .. maskini ndio wana watoto wengi Tanzania.. hata hela ya kujinunulia passport hawana sembuse kusafiri
Leo umetoa pointiJana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.
Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.
Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara na wizara.
Watu watapunguza matumizi ya mawasiliano na kwa kufanya hivyo kodi itapungua sasa huyo Mwigullu Nchemba atazitoa wapi hizo sh 2 trillion alizoagizwa na makamu wa Rais Dr Mpango?
Maendeleo hayana vyama!