Hakuna uratibu kati ya Wizara na Wizara ndio maana Dr Ndugulile anapandisha vifurushi na Dr Mwigullu anataka kukusanya sh 2 trillion!

Hakuna uratibu kati ya Wizara na Wizara ndio maana Dr Ndugulile anapandisha vifurushi na Dr Mwigullu anataka kukusanya sh 2 trillion!

Mimi sifurahii matatizo ya watu,ila nafurahishwa na nikichokigundua.Hapo zamani kabla ya vifurushi kupanda, humu jF Kila mmoja alikuwa anaweza kumtunishia misuli kiuchumi mtu yoyote kwenye hizi comments, tena wengine wanakwambia mara unaishi kwa shemeji na brabra nyingine [emoji28].

Leo nimefurahi kuona haohao waliowahi kunaimabia hivyo kwenye baadhi ya comments,nao eti wanalalamika bei za vifurushi[emoji23].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya bwana kumbe hivo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya bwana kumbe hivo.
Ni hivyo tu mkuu😂😂, Sasa kwenye harakati za kuwajib watu wa aina hiyo ndo naonekana kama nafurahia watu wasiojiweza kuteseka. Ila kimsingi comments zangu nyingi zenye kufurahia, zinawalenga wale waliokuwa wakijifanya na kuigiza ni matajiri kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
 
Umejibu swali gumu kwa jibu jepesi .. kama motivation speaker vile na stori za matikiti na forex..

Huwezi kupata trilion mbili kila mwezi kwa kuuza tangible thing like passport, sabab watanzania wengi ni maskini hawana ndoto ya safari yeyote.. hata vitambulisho vya nida tu buree na vina matumizi mengi.. ila kuna watanzania kibao hawajaenda nida mpaka leo...

Wahitaji wa kumiliki passport tanzania ni chini ya 20% ya raia wote ( hao hata kusafiri nauli hawana wala hawajui watasafiri lini ila wanapenda kumiliki passport)... tukiweka wanaohitaji kwa sababu wanaitumia kwenye safari zao za mara kwa mara wanazidi kupungua na kuwa chini ya 10% ya raia wote...

Na kwa kigezo cha kuzaliana, Tanzania wanaozaliana sana ni maskini .. maskini ndio wana watoto wengi Tanzania.. hata hela ya kujinunulia passport hawana sembuse kusafiri
Sio kweki itangazwe hata kesho kuw passport ni haki ya kila raia uone mafuriko ihamiaji wakitaka passpirt dont underate Tanzanians .Tanzania na Ethippia ndio zinaongoza kuzalisha wahamiaji haramu Afrika ya kusini wasio na Passport shauri ya ubahili wao wa kutoa passport na kuhatarisha maisha ya vijana

Huwa nacheka nikisikia ohhh waethipia tumewakamata wako kwenye mapipa ya lami natukana serikali ya Ethiopia juwa shenzi kabisa wapeni raia webu passport kirahisi wasikamatwe Tanzania au popote

Tanzania na Ethiopia kuna tatizo hatuchekani sababu kuu kitengo cha passport kinachafua image ya nchi kwa kuzalisha wahamiaji haramu south Afrika wasio na passport kwa ugumu wao wa kutoa passport

Mambo ya nje msikae kulaumu wazamiaji ongeeni na kitengo cha Passport kinatia aibu nchi
 
Asilimia kubwa wenye passport ni maafisa wa serikali na taasisu zake ,bunge,mahakama na familia zao na wahindi na waarabu na wapemba na fanilia zao

Panueni wigo iwe haki ya kila raia mpate pesa pia mpanue wigo wa mapato ya serikali yaoangezeke wandengeteko nao wawe na passport hata kama hawasafiri wanataka tu for presitige
 
Mbona hizo gharama walizopandisha haziendani na uchumi wa kati! Mimi naona wapandishe hata 1Mb iuzwe kwa 10000 ili tuendane na uchumi wa kati au nasema uongo ndugu zangu?
 
Bora Kigamboni wangemchagua DAB! Daktari katuangusha sana
 
Baada ya kuambiwa mnaua Wafanyabiashara sasa wanaanza kuua Raia
 
Namshangaa sana mtanzania anayeamini lengo la trion 2 kwa mwezi haliwezi kutimia

Kama nikipatiwa ¼saa tu ya kuwashauri wizara ya fedha,lengo lao litatimia kirahisi kabisa bila kuwakamua wadanganyika
 
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.

Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.

Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara na wizara.

Watu watapunguza matumizi ya mawasiliano na kwa kufanya hivyo kodi itapungua sasa huyo Mwigullu Nchemba atazitoa wapi hizo sh 2 trillion alizoagizwa na makamu wa Rais Dr Mpango?

Maendeleo hayana vyama!
Leo umetoa pointi
 
Back
Top Bottom