Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Pesa kuipata sio kirahisi kama unavyofikiria wewe Kuna watu wanafanya Kazi kwa bidii usku na mchana ila hawapati utajiri, ndio maana watu wanajitoa sadaka ili kupata pesa kwa lazima na kwa njia isio halali
 
Simple..!!!
Mi nauliza huyu ndgu yangu toka 92 mpaka leo hata connection ya china ajapata unamtazama vipi...
Ukute darasani alikuwa akijichimbia kusoma pekeake huku backbenchers akiwaona wapuuzi leo hii hana connection anaanza kuona watu wachawi
 
Ukute darasani alikuwa akijichimbia kusoma pekeake huku backbenchers akiwaona wapuuzi leo hii hana connection anaanza kuona watu wachawi
😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌
Daaah sema mi naamini upo japo SIFATILII maana wabongo ukisema hayo mambo confidential wanaweza kukuloga kudadek zao
 
😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌
Daaah sema mi naamini upo japo SIFATILII maana wabongo ukisema hayo mambo confidential wanaweza kukuloga kudadek zao
Na wengi wao kwenye huu uzi wanalalia humo

Hata hawana mpango wa kufuatilia huo uchawi na wala hawaujui wanasikia sikia tu ila wanashupaza shingo eti kuna pesa za majini😀

Uchawi unawaloga watu ila sio pesa, pesa hailogeki
 
Mtoa post sidhani kama ana akili timamu
Thibitisha.

Thibitisha kwamba wewe una akili timamu na mimi sina.
kwanza naomba kujua je yeye ni masikini au ni tajiri atupe majibu,
Hata nikikwambia mimi ni maskini uta thibitisha vipi?

Hata nikikwambia mimi ni tajiri uta thibitisha vipi?

Jikite kwenye mada na soma vizuri nilicho andika.

Kama unadai kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Toa mfano wa tajiri mkubwa duniani aliyetajirika kwa uchawi, ushetani au ushirikina?
binafsi huwezi kusemea jinsi ya upatikanaji wa utajiri kama haujawahi kupata huo utajiri ndomaana
Kuna sehemu nimeandika jinsi ya upatikanaji wa utajiri?

Umesoma mada vizuri na kuelewa nilicho andika?

Mimi nime andika hivi, Kama unadai kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina kwa nini watu hawautumii kwa juhudi zao zote watajirike na waondokane na umaskini wao?
Kama uchawi upo kweli na una nguvu kweli, Kwa nini watu wa mikoa hiyo ya Njombe, Shinyanga wasiutumie kwa nguvu zao zote watajirike kama watu wa miji mikubwa duniani kama New York ,California, Paris n.k?
 
Anataka huo utajiri lakini kuna limitations mkuu ni sawa na wewe unataka mil40 lakini tuu ukifikilia habar za wewe kubaki na figo moja unasema Nooo
Sasa limitations gani?

Kama niko tayari kutoa kafara ukoo wangu wote, Huyo mganga ataweza hata kunipa utajiri wa dola za kimarekani Billion 50?
The same kwa mganga kuna vitu vinamzuia yeye kuwa vile na ndo mana kule unakutana na mambo ya ajabu
 
Kila mtu anatamani kuwa tajiri lakini sio Kila mtu anaweza kuwa tajiri utajiri unahitaji vitu vitatu hardworking, discipline na sacrifice ukikosa kimoja hapo huwez kuwa tajiri, naamini huna ndugu au jamaa yeyote ambae ni tajiri kwenu ndomaana unaongea kwa hasira ila utajiri huo wa mchongo upo tu ukiutaka ndo ukaze roho sio Kila mtu ataweza masharti ya kuwa tajiri ndomaana wengi wanashindwa
 
Ad hominem attack.

Umesoma mada vizuri na kuelewa nilicho andika?

Don't come here to advertise your stupidity.

Kama kuna utajiri wa mchongo nenda kautumie kwa nguvu zako zote Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Elon musk na Jeff Bezos.

Otherwise, Hakuna utajiri wa namna hiyo wa kishetani, kichawi, au kishirikina.
 
Au nyie ndo mmemalza degree hamuna Kazi mnasumbua tu oya utajiri hauji kizembe hvyo alafu utajiri ni kama maji yanavyofata mkondo kama kwenu hakuna tajiri don't expect to make it easily
 
Au nyie ndo mmemalza degree hamuna Kazi mnasumbua tu oya utajiri hauji kizembe hvyo alafu utajiri ni kama maji yanavyofata mkondo kama kwenu hakuna tajiri don't expect to make it easily
Hamuna❌

Kajifunze kwanza somo la mwandiko inaonekana wewe ni Tabularasa kabisa.

Hata mada hujaielewa.

Don't come here to advertise your ignorance.

Idiot.
 
Na wengi wao kwenye huu uzi wanalalia humo

Hata hawana mpango wa kufuatilia huo uchawi na wala hawaujui wanasikia sikia tu ila wanashupaza shingo eti kuna pesa za majini😀

Uchawi unawaloga watu ila sio pesa, pesa hailogeki
Pesa inatokana na hao watu ambao unawaloga..
A = B
B=C
THEN A = C
 
Sasa limitations gani?

Kama niko tayari kutoa kafara ukoo wangu wote, Huyo mganga ataweza hata kunipa utajiri wa dola za kimarekani Billion 50?
Yeye dora za marekani anatoa wapi...
We jamaa mbona sikuelewi na maswali yako una nia gani na mimi....?
 
kijana yuko chekechea,au yuko madarasa ya mwanzomwanzo huko kijijini kwao nyambeba,litumbanjosi au kwedikwazo huko pwani.
Don't come here to vomit your nonsense.

You are not mentally enough to argue me.
 
Umenikumbusha mbali, nimekumbuka kuna mganga aliniambia ili ninunue gari inabidi nitekenye maiti mpaka icheke.
 
Yeye dora za marekani anatoa wapi...
We jamaa mbona sikuelewi na maswali yako una nia gani na mimi....?
Kama hizo nguvu zake za kichawi, Haziwezi kutoa dola za kimarekani Billion 50 basi ni nguvu za kimaskini tu na kifukara.
 
Kama hizo nguvu zake za kichawi, Haziwezi kutoa dola za kimarekani Billion 50 basi ni nguvu za kimaskini tu na kifukara.
Ata wewe unalogeka...
Tuma majina yako matatu na namba yako ya nida uone show...

Tukate mzizi wa fitina hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…