Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute darasani alikuwa akijichimbia kusoma pekeake huku backbenchers akiwaona wapuuzi leo hii hana connection anaanza kuona watu wachawiSimple..!!!
Mi nauliza huyu ndgu yangu toka 92 mpaka leo hata connection ya china ajapata unamtazama vipi...
😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌Ukute darasani alikuwa akijichimbia kusoma pekeake huku backbenchers akiwaona wapuuzi leo hii hana connection anaanza kuona watu wachawi
Na wengi wao kwenye huu uzi wanalalia humo😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌
Daaah sema mi naamini upo japo SIFATILII maana wabongo ukisema hayo mambo confidential wanaweza kukuloga kudadek zao
Thibitisha.Mtoa post sidhani kama ana akili timamu
Hata nikikwambia mimi ni maskini uta thibitisha vipi?kwanza naomba kujua je yeye ni masikini au ni tajiri atupe majibu,
Kuna sehemu nimeandika jinsi ya upatikanaji wa utajiri?binafsi huwezi kusemea jinsi ya upatikanaji wa utajiri kama haujawahi kupata huo utajiri ndomaana
Kama uchawi upo kweli na una nguvu kweli, Kwa nini watu wa mikoa hiyo ya Njombe, Shinyanga wasiutumie kwa nguvu zao zote watajirike kama watu wa miji mikubwa duniani kama New York ,California, Paris n.k?unaambiwa utajiri una Siri nying tu hakuna tajiri ataekupa mbinu za kufanikiwa kirahisi uchawi wa ndagu na majini ya pesa vipo sana ukitaka hata uthibitisho upo, uliza watu waliokulia njombe makete, shinyanga, na maeneo kadhaa ya mikoani au nchi jirani kama kongo Malawi na Zambia hayo mambo yapo sana tu
Toa upuuzi apa kwaiyo unataka nikupigie picha nikuletee uyaone.Kama hayaonekani kwa macho, wewe umejuaje kama yapo??
Sasa limitations gani?Anataka huo utajiri lakini kuna limitations mkuu ni sawa na wewe unataka mil40 lakini tuu ukifikilia habar za wewe kubaki na figo moja unasema Nooo
The same kwa mganga kuna vitu vinamzuia yeye kuwa vile na ndo mana kule unakutana na mambo ya ajabu
Kila mtu anatamani kuwa tajiri lakini sio Kila mtu anaweza kuwa tajiri utajiri unahitaji vitu vitatu hardworking, discipline na sacrifice ukikosa kimoja hapo huwez kuwa tajiri, naamini huna ndugu au jamaa yeyote ambae ni tajiri kwenu ndomaana unaongea kwa hasira ila utajiri huo wa mchongo upo tu ukiutaka ndo ukaze roho sio Kila mtu ataweza masharti ya kuwa tajiri ndomaana wengi wanashindwaThibitisha.
Thibitisha kwamba wewe una akili timamu na mimi sina.
Hata nikikwambia mimi ni maskini uta thibitisha vipi?
Hata nikikwambia mimi ni tajiri uta thibitisha vipi?
Jikite kwenye mada na soma vizuri nilicho andika.
Kama unadai kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Toa mfano wa tajiri mkubwa duniani aliyetajirika kwa uchawi, ushetani au ushirikina?
Kuna sehemu nimeandika jinsi ya upatikanaji wa utajiri?
Umesoma mada vizuri na kuelewa nilicho andika?
Mimi nime andika hivi, Kama unadai kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina kwa nini watu hawautumii kwa juhudi zao zote watajirike na waondokane na umaskini wao?
Kama uchawi upo kweli na una nguvu kweli, Kwa nini watu wa mikoa hiyo ya Njombe, Shinyanga wasiutumie kwa nguvu zao zote watajirike kama watu wa miji mikubwa duniani kama New York ,California, Paris n.k?
Ww ni tajiri? Kwahyo masikini hawajitumi?😅😅😅Utajir nikujituma tu show show
Ad hominem attack.Kila mtu anatamani kuwa tajiri lakini sio Kila mtu anaweza kuwa tajiri utajiri unahitaji vitu vitatu hardworking, discipline na sacrifice ukikosa kimoja hapo huwez kuwa tajiri, naamini huna ndugu au jamaa yeyote ambae ni tajiri kwenu ndomaana unaongea kwa hasira ila utajiri huo wa mchongo upo tu ukiutaka ndo ukaze roho sio Kila mtu ataweza masharti ya kuwa tajiri ndomaana wengi wanashindwa
Hamuna❌Au nyie ndo mmemalza degree hamuna Kazi mnasumbua tu oya utajiri hauji kizembe hvyo alafu utajiri ni kama maji yanavyofata mkondo kama kwenu hakuna tajiri don't expect to make it easily
Pesa inatokana na hao watu ambao unawaloga..Na wengi wao kwenye huu uzi wanalalia humo
Hata hawana mpango wa kufuatilia huo uchawi na wala hawaujui wanasikia sikia tu ila wanashupaza shingo eti kuna pesa za majini😀
Uchawi unawaloga watu ila sio pesa, pesa hailogeki
Huyu ndo mana juzi walimpigaWw ni tajiri? Kwahyo masikini hawajitumi?😅😅😅
Yeye dora za marekani anatoa wapi...Sasa limitations gani?
Kama niko tayari kutoa kafara ukoo wangu wote, Huyo mganga ataweza hata kunipa utajiri wa dola za kimarekani Billion 50?
Don't come here to vomit your nonsense.kijana yuko chekechea,au yuko madarasa ya mwanzomwanzo huko kijijini kwao nyambeba,litumbanjosi au kwedikwazo huko pwani.
Kama hizo nguvu zake za kichawi, Haziwezi kutoa dola za kimarekani Billion 50 basi ni nguvu za kimaskini tu na kifukara.Yeye dora za marekani anatoa wapi...
We jamaa mbona sikuelewi na maswali yako una nia gani na mimi....?
Ata wewe unalogeka...Kama hizo nguvu zake za kichawi, Haziwezi kutoa dola za kimarekani Billion 50 basi ni nguvu za kimaskini tu na kifukara.