Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Ata wewe unalogeka...
Tuma majina yako matatu na namba yako ya nida uone show...

Tukate mzizi wa fitina hapa
Kwa nini hadi nitume majina matatu ndio muweze kuniloga?

Kwa nini hamuwezi kuniloga bila kuwatumia majina matatu?

Tumieni akili na uwezo wenu wote mlionao wa kichawi kuweza kuniloga.

Tumieni rada zenu hukohuko mlipo kuniloga jina, Infropreneur.
 
Pesa inatokana na hao watu ambao unawaloga..
A = B
B=C
THEN A = C
Hakuna pesa za misukule mkuu changamka akina mwamposa watazidi kutajirika kupitia wewe

Mnaishi kwa kuunganisha dot hamna ushahidi mnaropoka tu

Mimi nataka useme wewe umetumia uchawi gani kupata pesa na ni tajiri namba ngapi hapa tz tofauti na hapo kula buyu
 
Kwa nini hadi nitume majina matatu ndio muweze kuniloga?

Kwa nini hamuwezi kuniloga bila kuwatumia majina matatu?

Tumieni akili na uwezo wenu wote mlionao wa kichawi kuweza kuniloga.

Tumieni rada zenu hukohuko mlipo kuniloga jina, Infropreneur.
Huyoo anaogopaaaaa...
Tuma tukuoneshe showw yaani hii unapigwa kizinga hapa hapa now now...

Uchawi upo acha kujigamba nyuma ya keyboard mkuu...
 
Sasa unaposema mimi ni tajiri namba ngap hayo ni matusi mkuu...

Tukutane katika uzi wetu wa ushuhuda kule 😀😀😀😀😀
 
Huyoo anaogopaaaaa...
Tuma tukuoneshe showw yaani hii unapigwa kizinga hapa hapa now now...

Uchawi upo acha kujigamba nyuma ya keyboard mkuu...
Unadai uchawi upo, ila Umeshindwa kuutumia utajirike sasa huo ni uchawi au umaskini?

Thibitisha uchawi upo.

Na upo kwa namna gani?
 
Sasa unaposema mimi ni tajiri namba ngap hayo ni matusi mkuu...

Tukutane katika uzi wetu wa ushuhuda kule 😀😀😀😀😀
Kula buyu mkuu usiwe mbishi kwa vitu huwezi thibitisha

Turekodie misukule ikikupa pesa

Au turekodie nyoka akitema pesa na tujue wewe ni tajiri wa ngapi hapa tz

Shuhuda za maneno ni utapeli
 
Kula buyu mkuu usiwe mbishi kwa vitu huwezi thibitisha

Turekodie misukule ikikupa pesa

Au turekodie nyoka akitema pesa na tujue wewe ni tajiri wa ngapi hapa tz

Shuhuda za maneno ni utapeli
😀😀😀 We jamaa mbona unaniandama
 
Kuna vtu vingine ili uthibitishiwe lazima uwepo eneo la tukio
Mbona kuna matajiri majina yao matatu yana fahamika kabisa.

Kwa nini msitumie hayo majina kuwaloga hao matajiri wakubwa wakafilisika?

Haya tumia huo uchawi wako kumloga,

Mohammed Gulam Dewji.

Na alogeke kweli.

Wewe si unadai ukitumiwa majina matatu uchawi unaweza kumloga mtu?

Haya sasa mloge Mo. Majina yake matatu hayo hapo juu.
 
Tuma majina acha mbambamba
 
Uwezi ukawa wewe...
Alafu sitaki niloge ili nipate utajiri wako nataka niloge upagawe

Uwe chiziiii utoke na madendaaa
Thibitisha kama sio mimi.

Ulisema utumiwe majina matatu, Umetumiwa ila bado unaleta mbambamba.

Sasa unataka nini zaidi?
 
Michael Jackson ulifanikiwa kumsikia? Ni mfano mmoja wa waliotajirika kwa kuuza nafsi yake kwa shetani in exchange to money. Ukisikiliza wimbo wake wa Money analiconfirm hilo.
 
Michael Jackson ulifanikiwa kumsikia? Ni mfano mmoja wa waliotajirika kwa kuuza nafsi yake kwa shetani in exchange to money. Ukisikiliza wimbo wake wa Money analiconfirm hilo.
Aliuza hiyo nafsi lini? Siku gani? Mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…