Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
- #401
Kwa nini hadi nitume majina matatu ndio muweze kuniloga?Ata wewe unalogeka...
Tuma majina yako matatu na namba yako ya nida uone show...
Tukate mzizi wa fitina hapa
Kwa nini hamuwezi kuniloga bila kuwatumia majina matatu?
Tumieni akili na uwezo wenu wote mlionao wa kichawi kuweza kuniloga.
Tumieni rada zenu hukohuko mlipo kuniloga jina, Infropreneur.