Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
-
- #61
Watanzania maskini wanapenda kufarijiana kwa hadithi za kusadikika na kufikirika tu.Mkuu naungana na wewe utajiri wa kichawi haupo na hao wanaosema wenyewe wanahadithiana tu hadithi njoo uwongo njoo utam kolea hakuna mwenye uthibitisho
Bongo unahaso ukitoboa ukaweza nunua bus hata mbili za kuanzia unaambiwa umetumia ndumba nyambaf!
Kama hujui, utasemaje nikubali kwamba nguvu za giza zipo?Wewe ndo unajiaminisha kuwa utajiri wao unahusisha nguvu zao pekee, sasa mimi sijui ila kubali nguvu za giza zipo na zinasaidia kupata utajiri vile vile.
Wewe si tayari unaya amini, Mbona sasa huyatumii?Usichokiamini wewe haimaanishi kwamba hakipo hapa duniani, Kipo!
Na hayo mambo ni siri so usitegemee kuyasikia hovyo hovyo.
Kama hujui, utasemaje nikubali kwamba nguvu za giza zipo?
Kama nguvu za giza zipo, Na unajua zipo nenda kazitumie zikupe utajiri.
Acha kazi, ajira au biashara yako nenda katumie hizo nguvu za giza zikutajirishe kama ni rahisi hivyo!!
Wewe si tayari unaya amini, Mbona sasa huyatumii?
Wewe unadai kuna nguvu za giza, Nenda kazitumie kama maisha ni rahisi hivyo unavyo fikiri!!!
Haya maisha tuyaonayo kwa macho ya kawaida ni matokeo ya ulimwengu wa kiroho....hua unaota ndoto? Inakuwaje unajiona katika ndoto upo sehemu fulani tofauti na ulipo? Ni mfano wa ulimwengu wa kiroho ....mtafute mganga(kichawi)/mchawi muombe sana akuthibitishie ulimwengu wa kichawi ...namna wanavyoruka wakiiacha miili yao ndani na hatimaye kuirudia tena. Ni kweli huyajui haya....?Sina imani mimi.
Mimi najua utajiri wangu ni wa kawaida bado sijafika hata level za kina Dangote.
Lakini siamini kwamba kuna utajiri wa kishetani.
Thibitisha kwamba nguvu za giza zipo.Rudia kusoma maelezo yangu kwa makini. Sijasema hao watu utajiri wao ni clean au sio clean, wewe kubali nguvu za giza zipo na zinasaidia sana tu kwenye utajiri kama zilivyo nguvu nyengine bas.
Ulitembelea nchi gani ukaona watu wametajirika kwa nguvu za giza?Ni sawa na kusema hapa duniani hakuna nchi yenye kitu fulani wakati hujatoka hata nje ya africa mashariki ujionee watu wanaishije unaishia kusoma mitandaoni na kucomment ubishi tu.
Mtu anakaa kwa shemeji yake anasubiria tu kuletewa anaelewa ama ataelewa nini huyo shambenga.Bado una akili changa sana wewe hii Dunia mengi ambayo kwa uwezo wa akili yako huwezi yaelewa
Bado HUJAJIBU HOJA.Unazidi kuharibu kaka unavojibu ndio uwezo wako unazidi kuonekana
Don't come here to advertise your stupidity you fool.We takataka kama kawaida yako janaume lenye gubu tanzania kama shambenga la temeke, umeamua sasa badala ya kusutana na watu umeamua kuja kuanzisha thread bado umekalusha mapumbu kwa shem hapo unapingapinga kila kitu.. ila nakushukuru sana shambenga langu mana hapa hapa konekshen zitapatikana. Kua kichaa inasaidia wakat mwingine
Nimetembea mikoa mingi ndanindani hukooooUnachokosa wewe ni Elimu tu ya Mambo hayo.
Dunia ina mambo mengi yasiyo Onekana kwa Macho
Msalimie shemej yako hapo ..ushapakuliwa msosi uende kujaza choo ?Wewe ni tako...hakuna utajiri wa kishetani
Huna hoja zaidi ya Viroja.Mtu anakaa kwa shemeji yake anasubiria tu kuletewa anaelewa ama ataelewa nini huyo shambenga.
Umaskin unamsumbua, mtu anamtegemea mume wa dada amlishe , ana jua nini huyo pimbi, hio kujenga hoja hawez anaweza kusutana kama khadija kopaUnazidi kuharibu kaka unavojibu ndio uwezo wako unazidi kuonekana
If you are not mentally enough to think and reason properly and critically, Don't come here to advertise your ignorance.Mleta mada nasikitika sana kusema kuwa, "huenda umelewa, ngoja pombe zikate...!!"
Kwaio unawweza kua tajir kwa kufanyaje., Kwenda kwa mwwamposa ama kusoma kitabu cha rich dad poor dad..Uko sahihi, ni watu wajinga tu ndio huwaza unaweza kuwa tajiri kwa uchawi au uganga.
Hunijui, sikujui.Umaskin unamsumbua, mtu anamtegemea mume wa dada amlishe , ana jua nini huyo pimbi, hio kujenga hoja hawez anaweza kusutana kama khadija kopa
[emoji23][emoji23][emoji23] pyschopath huyu dogo..mental case anasutana na wanaume, dogo anaweza bishana masaa 24 ...Jamaa ameona haeleweki kwenye uzi wa Tanzanian Dream,sasa ameamua kukiripua.