Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
-
- #81
Halafu yanakuja hapa JF kuaminishana Utajiri wa kufikirika.Nimetembea mikoa mingi ndanindani hukoooo
Nakutana wengi wanaodhaniwa kuwa ni wachawi vijijini ila ni masikini..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Its you and original poster are ignorant. Not me...If you are not mentally enough to think and reason properly and critically, Don't come here to advertise your ignorance.
Wewe unafanya nini kwenye huu uzi, kama sio kuleta mabishano ya kipumbavu na matusi?[emoji23][emoji23][emoji23] pyschopath huyu dogo..mental case anasutana na wanaume, dogo anaweza bishana masaa 24 ...
mwamba ana mapafu ya umbwa achana nae kabisa,yani ameona ule uwanja wa kule haumtoshi,[emoji23][emoji23][emoji23] pyschopath huyu dogo..mental case anasutana na wanaume, dogo anaweza bishana masaa 24 ...
Majority of such societies are still in absolute poverty regardless of their beliefs.Its you and original poster are ignorant. Not me...
How can someone come out with this trashy presentation, while our society is filled with such beliefs almost everywhere?
Can't you see it's either he is among witches or else he is a total hypocrite.
From HOLY BIBLE, to QURAN, evidence is there.
This is a higher level of hypocrisy shown by original poster...!
CHAI..YA MAZIWA.Kuna dogo alienda sijui kutafuta utajiri wa kukatwa kidolecha mguu hamna chochote alichopata tena kidonda chake kilitaka kuoza ikawa mishe mishe kuchangishana ili kunusuru hali ....sasa hivi amepoa sana
Mjinga ni wewe kilaza usiyefikiri sawasawa unakurupuka kukomenti bila kusoma na kuelewa nilicho andika.Mtoa post wewe ni mjinga sana.
Thibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi
Hapa ndio utajiri hupatikana.+Bahati+bidii yakazi +Maarifa
Hakuna utajiri wa nguvu za giza.2. Utajiri wa nguvu za giza
Hapa sawa.+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.
Hakuna Mungu wa kutoa chochote kile. Mungu hayupo.Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu.
Hakuna utajiri wa uchawi.Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k
Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile
Na wewe unayeamini katika juhudi binafsi, unamiliki NINI ili utufunze?Wewe mwenye Akili kubwa na kuelewa mambo mengi hapa duniani una hata kiwanda au kampuni yako binafsi inayo tambulika kitaifa na kimataifa?
Ninavyo miliki havina uhusiano na mada.Na wewe unayeamini katika juhudi binafsi, unamiliki NINI ili utufunze?
Hebu tufafanulie, bahati katika utajiri ipoje ipoje?Mjinga ni wewe kilaza usiyefikiri sawasawa unakurupuka kukomenti bila kusoma na kuelewa nilicho andika.
Thibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?
Ni mtu gani alipata au nchi gani ilipata utajiri wake kwa maombi?
Na thibitisha kilicho mpa utajiri ni "maombi" tu, Na si kitu kingine chochote kile.
Hapa ndio utajiri hupatikana.
Hakuna utajiri wa nguvu za giza.
Kama kuna utajiri wa nguvu za giza, Acha kazi, Acha juhudi, Acha kujishughulisha na chochote Kategemee hizo "nguvu za giza" zikupe utajiri kama zina huo uwezo!!!
Hapa sawa.
Hakuna Mungu wa kutoa chochote kile. Mungu hayupo.
Hakuna utajiri wa uchawi.
HahahahMashankupe haya yanasumbua ..mwanaume unakuaje na gubu, ameona uzi wa jamaa kule kashindwa kaja kuanzisha kabisa yake, huyu lazima atakua ni shoga anaefirwa.
Soma vizuri nilichoandika acha kukurupukaMjinga ni wewe kilaza usiyefikiri sawasawa unakurupuka kukomenti bila kusoma na kuelewa nilicho andika.
Thibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?
Ni mtu gani alipata au nchi gani ilipata utajiri wake kwa maombi?
Na thibitisha kilicho mpa utajiri ni "maombi" tu, Na si kitu kingine chochote kile.
Hapa ndio utajiri hupatikana.
Hakuna utajiri wa nguvu za giza.
Kama kuna utajiri wa nguvu za giza, Acha kazi, Acha juhudi, Acha kujishughulisha na chochote Kategemee hizo "nguvu za giza" zikupe utajiri kama zina huo uwezo!!!
Hapa sawa.
Hakuna Mungu wa kutoa chochote kile. Mungu hayupo.
Hakuna utajiri wa uchawi.
Soma nilichoandika acha kukurupukaThibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?
Ni mtu gani alipata au nchi gani ilipata utajiri wake kwa maombi?
Na thibitisha kilicho mpa utajiri ni "maombi" tu, Na si kitu kingine chochote kile.
Kuzaliwa katika familia ya kitajiri, Hiyo tayari ni bahati kwa mtoto. Si kila mtoto anapata bahati ya kuzaliwa kwenye familia tajiri.Hebu tufafanulie, bahati katika utajiri ipoje ipoje?
Bahati huweza kumtokea mtu yeyote yule awe mwema, muovu, mtoto, mtu mzima, mwanaume, mwanamke n.kKama bahati inaweza kuleta utajiri ni sahihi pia kusema mikosi huleta umasikini.
Chanzo cha bahati ni uwezekano wa kutokea jambo, Ambalo katika nafasi ya kutokea lipo tayari.Sasa basi, chanzo cha bahati ni nini
Mikosi haipo, mikosi ni dhana ya kufikirika tu.na pia chanzo cha mikosi ni nini?
Wewe ndio umekurupuka.Soma vizuri nilichoandika acha kukurupuka
Kwanza thibitisha uwepo wa Mungu.Mtoa post wewe ni mjinga sana. Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi +Bahati+bidii yakazi +Maarifa
2. Utajiri wa nguvu za giza+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.
Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu. Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k
Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile