Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

If you are not mentally enough to think and reason properly and critically, Don't come here to advertise your ignorance.
Its you and original poster are ignorant. Not me...

How can someone come out with this trashy presentation, while our society is filled with such beliefs almost everywhere?

Can't you see it's either he is among witches or else he is a total hypocrite.

From HOLY BIBLE, to QURAN, evidence is there.

This is a higher level of hypocrisy shown by original poster...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pyschopath huyu dogo..mental case anasutana na wanaume, dogo anaweza bishana masaa 24 ...
Wewe unafanya nini kwenye huu uzi, kama sio kuleta mabishano ya kipumbavu na matusi?

Huna hoja zaidi ya Viroja.

Punguani wewe, Don't come here to vomit your nonsense.

Hapa si pa kuleta upumbavu wako na utahira wako.

Idiot!
 
Mtoa post wewe ni mjinga sana. Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi +Bahati+bidii yakazi +Maarifa
2. Utajiri wa nguvu za giza+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.

Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu. Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k

Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile
 
Its you and original poster are ignorant. Not me...

How can someone come out with this trashy presentation, while our society is filled with such beliefs almost everywhere?
Majority of such societies are still in absolute poverty regardless of their beliefs.

Can't you see those beliefs are helpless and functionless?
Can't you see it's either he is among witches or else he is a total hypocrite.

From HOLY BIBLE, to QURAN, evidence is there.

Holy Bible and Quran are just fictional books for lazy thinkers who cannot use their brain power to think and reason properly and critically.
This is a higher level of hypocrisy shown by original poster...!
 
Kuna dogo alienda sijui kutafuta utajiri wa kukatwa kidolecha mguu hamna chochote alichopata tena kidonda chake kilitaka kuoza ikawa mishe mishe kuchangishana ili kunusuru hali ....sasa hivi amepoa sana
CHAI..YA MAZIWA.
 
Mtoa post wewe ni mjinga sana.
Mjinga ni wewe kilaza usiyefikiri sawasawa unakurupuka kukomenti bila kusoma na kuelewa nilicho andika.
Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi
Thibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?

Ni mtu gani alipata au nchi gani ilipata utajiri wake kwa maombi?

Na thibitisha kilicho mpa utajiri ni "maombi" tu, Na si kitu kingine chochote kile.
+Bahati+bidii yakazi +Maarifa
Hapa ndio utajiri hupatikana.
2. Utajiri wa nguvu za giza
Hakuna utajiri wa nguvu za giza.

Kama kuna utajiri wa nguvu za giza, Acha kazi, Acha juhudi, Acha kujishughulisha na chochote Kategemee hizo "nguvu za giza" zikupe utajiri kama zina huo uwezo!!!
+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.
Hapa sawa.
Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu.
Hakuna Mungu wa kutoa chochote kile. Mungu hayupo.
Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k
Hakuna utajiri wa uchawi.
Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile
 
Na wewe unayeamini katika juhudi binafsi, unamiliki NINI ili utufunze?
Ninavyo miliki havina uhusiano na mada.

Mada ni kwamba hicho unacho kimiliki ulikipata kwa nguvu zako mwenyewe za kibinadamu au kwa nguvu za kichawi, kishetani au kishirikina?
 
Mjinga ni wewe kilaza usiyefikiri sawasawa unakurupuka kukomenti bila kusoma na kuelewa nilicho andika.

Thibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?

Ni mtu gani alipata au nchi gani ilipata utajiri wake kwa maombi?

Na thibitisha kilicho mpa utajiri ni "maombi" tu, Na si kitu kingine chochote kile.

Hapa ndio utajiri hupatikana.

Hakuna utajiri wa nguvu za giza.

Kama kuna utajiri wa nguvu za giza, Acha kazi, Acha juhudi, Acha kujishughulisha na chochote Kategemee hizo "nguvu za giza" zikupe utajiri kama zina huo uwezo!!!

Hapa sawa.

Hakuna Mungu wa kutoa chochote kile. Mungu hayupo.

Hakuna utajiri wa uchawi.
Hebu tufafanulie, bahati katika utajiri ipoje ipoje?
Kama bahati inaweza kuleta utajiri ni sahihi pia kusema mikosi huleta umasikini. Sasa basi, chanzo cha bahati ni nini na pia chanzo cha mikosi ni nini?
 
Mjinga ni wewe kilaza usiyefikiri sawasawa unakurupuka kukomenti bila kusoma na kuelewa nilicho andika.

Thibitisha ni nani aliwahi kufanikiwa kwa maombi?

Ni mtu gani alipata au nchi gani ilipata utajiri wake kwa maombi?

Na thibitisha kilicho mpa utajiri ni "maombi" tu, Na si kitu kingine chochote kile.

Hapa ndio utajiri hupatikana.

Hakuna utajiri wa nguvu za giza.

Kama kuna utajiri wa nguvu za giza, Acha kazi, Acha juhudi, Acha kujishughulisha na chochote Kategemee hizo "nguvu za giza" zikupe utajiri kama zina huo uwezo!!!

Hapa sawa.

Hakuna Mungu wa kutoa chochote kile. Mungu hayupo.

Hakuna utajiri wa uchawi.
Soma vizuri nilichoandika acha kukurupuka
 
Hebu tufafanulie, bahati katika utajiri ipoje ipoje?
Kuzaliwa katika familia ya kitajiri, Hiyo tayari ni bahati kwa mtoto. Si kila mtoto anapata bahati ya kuzaliwa kwenye familia tajiri.

Mtu anaye bahatika kuoa au kuolewa kwenye familia za kitajiri, Huyo tayari ana bahati ya kwenda kuukuta utajiri.

Hato hangaika sana kama wale wanao oana wakiwa na hali duni za kimaisha. Hiyo tayari ni bahati.
Kama bahati inaweza kuleta utajiri ni sahihi pia kusema mikosi huleta umasikini.
Bahati huweza kumtokea mtu yeyote yule awe mwema, muovu, mtoto, mtu mzima, mwanaume, mwanamke n.k

Bahati ni kama probability, inaweza kutokea ama isitokee.

Mikosi ni dhana ya kufikirika inayo husishwa na nguvu fulani za kufikirika tu.

Mfano mwanafunzi akifeli darasani, Anaweza kuhisi ana mikosi kumbe hakusoma na kujiandaa vizuri, Au alisoma akasahau alichosoma.

Na si kwamba ni hiyo "mikosi" ndio imemsababisha afeli.
Sasa basi, chanzo cha bahati ni nini
Chanzo cha bahati ni uwezekano wa kutokea jambo, Ambalo katika nafasi ya kutokea lipo tayari.

Mfano kuzaa na kuzaliwa kupo tayari automatically, Na wewe unaweza kuwa ni tajiri na mtoto wako akapata bahati ya kuzaliwa na wewe ukiwa tajiri.

Vivyo hivyo anaweza akazaliwa na wewe ukiwa maskini au kwingineko kwenye familia maskini. Maana bahati ni probability.
na pia chanzo cha mikosi ni nini?
Mikosi haipo, mikosi ni dhana ya kufikirika tu.
 
Soma vizuri nilichoandika acha kukurupuka
Wewe ndio umekurupuka.

Kwanza huwezi kuthibitisha uwepo wa uchawi.

Huwezi kuthibitisha uwepo wa nguvu za giza.

Huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Unafosi fosi tu imani zako uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Mtoa post wewe ni mjinga sana. Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi +Bahati+bidii yakazi +Maarifa
2. Utajiri wa nguvu za giza+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.

Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu. Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k

Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile
 
Mtoa post wewe ni mjinga sana. Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi +Bahati+bidii yakazi +Maarifa
2. Utajiri wa nguvu za giza+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.

Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu. Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k

Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile
Kwanza thibitisha uwepo wa Mungu.

Pili thibitisha uwepo wa uchawi.
 
Back
Top Bottom