Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sigara, bangi, cocaine, heroin, skanka unadhani zina utamu gani??Kwako pombe Ina utamu? Au unakunywa kwa minajili ya sifa?
Ndio ujue kwenye hivyo haufatwi utamu, muulize kila mmoja anafata nini kwenye kitu inawasha kama pilipili, ndimu nk.Vingi tuu havina utamu, ugoro, sigara, limao, pilipili, nk.
Unataka kusemaje kuhusu wazee na vijana wanaokunywa kahawa(gahawa) vijiweni.Kahawa haina tofauti na uchawi.
Hamna kitu unajua chief kama haunywi pombe umechelewa sana yani sanaHivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Lengo la pombe au kahawa siyo utamuNi sawa na mimi ninavyowashangaa wanywaji wa kahawa, sionagi utamu wa kajawa ila vijiwe kibao unakuta wamejikusanya na inauzika kwelikweli
Umbwa kabisa nyang'au wewe!!!Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Pombe haitaki watu vichwa panzi na wenye upeo mdogo kama ww. Kule kaskazini huwezi kuweka kikao cha watu wazima ukaweka masoda yako mezani huwa ni pombe (Bia).Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Ngoja niendelee kunywa maji na coca😂Hamna kitu unajua chief kama haunywi pombe umechelewa sana yani sana
Endelea kunywa soda zako tu
Pombe muziki na wanawake vikienda pamoja ayayaaah ni package mwanana sana hiyo
Hahahahahaha.. Acha niendelee na fantha😃Pombe haitaki watu vichwa panzi na wenye upeo mdogo kama ww. Kule kaskazini huwezi kuweka kikao cha watu wazima ukaweka masoda yako mezani huwa ni pombe (Bia).
Ww ukijaribu kunywa lazima ujinyee endelea kunywa fanya orange tu kama litoto.
😩🤔Umbwa kabisa nyang'au wewe!!!
Hapo kwa Yanga tupo pamoja ila kwenye pombe no no no.Hapa mle anaelekea Arusha tar 7 nasubiria kazigo kanguu nichafuane mpaka YANGA ishinde ndio nakaachia YAAN na lodge kuna TV ndan nagobga huku napata droskotff siiachii mpaka YANGA ishinde
Wanawakeday
Mi wala sio Mlevi ila nimewahi kutest ni upuuzi kinyama✍️👽huu mwaka walevi wengi fahamu zimewarudia
Pombe haina utamu wowote nawaoneaga huruma wanywa pombe za spirit wanavopata shida kumeza fundi yaani mtu anakunya sura utafikiri anacheza amapiano au anameza kaa la moto.mpaka unajiuliza kashikiwa bundugu au kalazimishwa
DadeQPombe haina utamu wowote nawaoneaga huruma wanywa pombe za spirit wanavopata shida kumeza fundi yaani mtu anakunya sura utafikiri anacheza amapiano au anameza kaa la moto.mpaka unajiuliza kashikiwa bundugu au kalazimishwa
🫣🫣🫣Utakua unat*mbewa na mlevi na anasimamia show
Ndo maana umeguswa