Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mtoa mada atakuwa amekutana na bwawa huko kwenye 6*6 akakimbia kuja kushusha Uzi😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiinyonya inakuchapa vibayaa mnoo inatuna MBELE ya uso wako Hadi unaogopaAisee, hiko ni kijipu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Joke of the thread!
Kuna jamaa alienda hospitalini,
Akakaa kwenye foleni ya kusubiri kuingia chumba cha daktari.
Sasa kila ikifika zamu yake anampisha mtu, kafanya hivyo weee lakini hatimaye ikafika zamu yake maana wagonjwa wote kwenye ile foleni walishaingia...
Daktari: Karibu
Mgonjwa: Ahsante
Daktari: Enhe, una shida gani?
Mgonjwa: Dokta nina shida, lakini usinicheke!
Daktari: Mimi ni Daktari, nitakuchekaje?!
Mgonjwa: Kweli nina tatizo lakini usicheke! (Alisistiza)
Daktari sura ikaanza kuonesha kuhamanika na kusema...
Daktari: Nimeshakwambia sicheki, we niambie una shida gani!
Mgonjwa: Ngoja nifunge mlango na funguo kwanza.
Yule mgonjwa akamsogelea daktari kisha akavua suruali na chupi, akashika kidushe chake yani kidogo mno, yani very tiny kama inchi moja kasoro hivi!
Daktari wacha aanze kucheka
Alicheka sana hadi machozi ya kucheka yakawa yanamtoka...
Yule mgonjwa akawa yupo kimya
Daktari akamaliza kucheka kisha akamgemgeukia mgonjwa na kumuuliza
Daktari: Sasa tatizo lako ni nini?!!
Mgonjwa: Hii imevimba tangia juzi...
Datari wacha aangue kicheko tena.
_______
K ni maumbile ya mtu kweli.Kuna wanawake Wana K ndogo tu automatic na Kuna wengine Wana Kubwa yaaani Yuko hivyo na huwezi ibadirisha.Ila Kikubwa iwe na Joto tuK za sizes tofauti zipo, kama ambavyo M za sizes tofauti zilivyo, ni swala la maumbile tu. Wengine hata sio malaya kwamba wanaliwa sana, ila wana K kubwa, kubwa kweli kweli...hadi utafute style nzuri ya kuji-accomodate.
Kelsea nimekumiss...Nitafute basi hata unisalimie😂 No comment
Acha kula wapangaji wenzakoKwenye bafu la mahali ninapoishi, kila jioni nakuta wakina mama wamesahau malimau, wanaamini kuwa yanarudisha elasticity
Kuna jirani mmoja niliwahi mtafuna mbususu, wakati nazama chumvini niliambulia fleva ya malimau. Nikajua fika huyu ndo anayeacha malimau kwenye dirisha la bafu