Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kuanzia mapambano ya Biafra Nijeria, UNITA Angalo, RENAMO Msumbiji, POLISARIO Shahara na kwigineko kokote kule Afrika, vurumai huanzia ndani ya chama tawala ama kuanzishwa na chama tawala.
Hakuna ushahidi wowote wa kuonesha kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika kuanzishwa na vyama vya upinzani.
Ila kuna ushahidi toshelevu kuwa Vyama vilivyoko madarakani Afrika ndivyo huwa chanzo cha mgawanyiko wa jamii kiuchumi, kieneo, kidini au kiitikadi, mambo ambayo ndiyo chanzo cha migogoro inayosababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe.
CCM kama inataka kutunza amani ya Tanzania ijitunze yenyewe kwanza. CHADEMA haiwezi kuvuruga amani ya Tanzania.