Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Ayo ni Maoni Yako. LAKINI umerudia ujinga Kama wenzio eti NDEGE BARABARA siijui madaraja. MAGUFULI alikuwa IBILISI TU
 
Uko sawa kama ulizaliwa baada ya mwaka 2000 na kwamba Tanzania ilipata uhuru mwaka 2015 toka kwa Waingereza. Haya nenda ukanye halafu ukalale maana huo ndiyo uwezo wa ubongo wako
 
Japo Kuna mema alifanya ila kifo cha yule mzee kweli Mungu aliamua kuingilia kati

Daah nikimkumbuka member mwenzetu wa jamii forum Ben saanane

Daaah hii roho inauma sana hasa ile post yake ya mwisho
Unajuaje kua MUNGU aliingilia kifo cha JPM? Iwapo siyo ufedhuri huu unaongea, ukimkumbuka huyo member una uhakika gani na unacho maanisha?
 
Utakua wewe ni mwehu mwehu
 
Akili ya kichwa kimoja cha JPM ni sawa na akili za vichwa 500 vya hawa tulio nao sasa ukimwondoa MKM.
 
Maneno ya wanaompinga ndio yanasababisha hadi tuamue tu kuwajibu!

Ukweli ni kwamba, walijitahidi sana kwenda kumzika kule chato kwa awamu ya pili. Badala ya kwenda kuadhimisha kifo cha baba wa taifa huko butiama trh 14/10 wakaenda chato. Walidhani watazika fikra zake mioyoni mwa watanzania.

Ukweli ni kwamba bado yupo sana. Pamoja na yote yanayosemwa ila wapo wanaomwamini. Na wataendelea kuwepo hadi vizazi vyote! Wasitumie nguvu nyingi kumchafua.

Kuna msemo unasema 'the best way to destroy an enemy, is to make him your friend'
Tena kwa njia hii, wangepata wafuasi wengi.
Lakini kumchafua ndio kunaongeza umaarufu wake. RIP legendary JPM!
 
Hata Mbowe kwenye speech yake alisema Magufuli alikuwa rais mwenye maono na mchapakazi kwelikweli na kuwataka Chadema waige tabia hiyo kama kweli wanataka maendeleo.
Naikumbuka hio speech ya mbowe πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Wewe zwazwaaa umejaza nini huko kichwani, Makonda na vyeti feki kapewa mkoa aongoze,bado unapiga kelele eti wenye vyeti feki, get your head checked mate😏😏😏
 
Wewe zwazwaaa umejaza nini huko kichwani, Makonda na vyeti feki kapewa mkoa aongoze,bado unapiga kelele eti wenye vyeti feki, get your head checked mate😏😏😏
Zwazwa ni wewe, kwanza hukunielewa, nimesema JPM alikuwa na huruma hakuchukua hatua stahiki, mbali na hapo wenye vyeti fake serikalini wamebaki wengi sana wakiwemo mawaziri.

Kwanza ilipaswa wapelekwe mahakamani kujibu mashtaka, nashangaa JPM aliwaacha, mshukuruni kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…