Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Demi anaefanya hivyo huyo sio mchawi huyo ni mshirikina

Emu jua kuwatofautisha hawa watu wawili wewe unajichanganya sana, kuna mchawi na pia kuna mshirikina, sasa huyo unaemzungumzia hapo sio mchawi huyo ni mshirikina, kuna tofauti kubwa kati ya uchawi na ushirikina

Kuelewa itakua ni ngumu sana km hauwezi kutofautisha kipi ni kipi na kipi ni kipi
Inabidi tupate uzi maalum ya kutofautisha mchawi na mshirikina na mwingine wa kutofautisha majini na mashetani
 
I like it slow.. thanks 😅😅.
Nimeelewa haya tuendelee. Lazima kieleweke leo
Sawa Demi

Sasa mshirikina anachokifanya kuna jambo hawezi kulifanya katika mazongira yetu ya kawaida ya kibidamu maana yeye hana taaluma ya kichawi kwa hio anachokifanya ni kumtafuta ambae ana hio taaluma na akishampata anamwambia anachokihitaji, sasa mchawi ndio umpa muongozo huyo mshirikina nini cha kufanya na anampa vikorombwezo vya kuambatanisha ili jambo lake litimie,

Mpaka hapo umeelewa nataka nikupeleke slowly, hadi uelewe km haujaelewa sema nirudie, km umeelewa sema niendelee
 
Unajua hata kutojua maama ya kitu ni ujinga? Kwa mfano unajua hata wewe ni mjinga kwenye ishu nzima ya uhawi? Maana vyote ulivyoandika hapa ni simulizi za kusikia, kuambiewa na kusoma vitabuni
Uchawi ni dhana pana kuliko hiki ulichoandika hapa na wajinga wako kila mahali sio kwenye uchawi tuu
Hii ni takataka kama takataka zingine,vitabu vyote vya imani vinakiri uchawi anatokea mnuka mavi mmoja kutoka tandale kwa tumbo anawaita watu wanaoamini uchawi ni wajinga
 
Sawa Demi

Sasa mshirikina anachokifanya kuna jambo hawezi kulifanya katika mazongira yetu ya kawaida ya kibidamu maana yeye hana taaluma ya kichawi kwa hio anachokifanya ni kumtafuta ambae ana hio taaluma na akishampata anamwambia anachokihitaji, sasa mchawi ndio umpa muongozo huyo mshirikina nini cha kufanya na anampa vikorombwezo vya kuambatanisha ili jambo lake litimie,

Mpaka hapo umeelewa nataka nikupeleke slowly, hadi uelewe km haujaelewa sema nirudie, km umeelewa sema niendelee
Nimeelewa...tuendelee
 
Hii ipo chief, kuna dozi unapewa hakuna siraha inaweza penya mwili wako
Tembea uone.

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
Hiyo dawa si wangeenda wakawauzia wamajeshi wa urusi na waukrein wakapiga pesa za maana wakageuka matajiri wakutupwa.

Au izo huaa zinatumika wapi ?
 
Siku moja vijana wangu wa kazi walinipigia simu saa saba usiku. Wakaniambia Kuna watu wanafanya vurugu eneo langu la biashara.
Niliamka na kuelekea huko.
Kufika pale segerea oilcom Kuna Kona Kali kuelekea stand. Mm nilinyoosha kuelekea kwa CDF mstafu. Ile naachha Barabara kuu, nikasikia mlio wa break Kisha kishindo kikubwa. Nilipochungulia nikaona gari kwenye mtaro imepinduka tairi ziko juu.
Nikashuka kwenye gari ili nikatoe msaada. Nilipofika sehemu ya tukio nikakuta Ile gari haipo. Tukio hili tulishuhudia mm na mlinzi wa petrol station.
JE, HUU SI UCHAWI?
Karibu na guest ya Masia mkuu? Kwa mbele kuna baa inaitwa Mazembe?
 
Nimeelewa...tuendelee
Sawa Demi

Hio ni moja,

Mbili mchawi anaweza kum-transform mshirikina kua mchawi kwa kumpa mafunzo maalum, iwapo tu mshirikina akiridhia na yeye anahitaji kua mchawi,

Ushaelewa?

Kwa hio ili uwe mchawi kwanza unaanza kua mshirikina, na ushirikina hauwezi kuwepo bila uchawi kuwepo

Pia inabidi utambue kuna aina kuu mbili za uchawi kuna uchawi mweupe na uchawi mweusi, white magic and black/dark magic

Twende taratibu, mpaka hapo umeelewa km nimekuchanganya ubongo unasema mapema sitaki nikupoteze katika hili
 
Tuko pamoja...
 
We Jamaa bange zimekuharibu hakika mtu mwenye akili zilizosimama hawezi akamezeshwa mentality km hizo for the matter of fact you're so useless shame on you, yaan unaanzisha uzi alafu unatoa ushahidi wa kipuuzi, unatuletea story za kusadikika hapa
Mwezi mchanga huyo
 
Hii ni takataka kama takataka zingine,vitabu vyote vya imani vinakiri uchawi anatokea mnuka mavi mmoja kutoka tandale kwa tumbo anawaita watu wanaoamini uchawi ni wajinga
Dawa ya ujinga ni kujielimisha. Hata mimi wakati mdogo nilikuwa mjinga kama wewe. Nikiamini kuna majini yamejibanza chooni.
 
Hii ni takataka kama takataka zingine,vitabu vyote vya imani vinakiri uchawi anatokea mnuka mavi mmoja kutoka tandale kwa tumbo anawaita watu wanaoamini uchawi ni wajinga
Mimi nakazia ni wajinga ndio.

Na kusingizia kwamba uchawi wetu huu tunaofundishana humu eti umezungumzwa mpaka kwenye vitabu vitakaatifu ni ujinga mara mbili yake.

Neno uchawi na mchawi linalozungumziwa kwenye kitabu takatifu cha biblia, halina maana ya huu uchawi tunaoaminisha humu wa sijui kupaa na ungo usiku, sijui kuingia ndani bila kuonekana au kinyumenyume au kugeuzana misukule na kwenda kulima mashamba, neno uchawi ndani ya biblia halina maana hiyo. Kwa lugha asili za biblia naweza kusema wachawi wanaozungumzwa kwenye biblia ni wanamazingaombwe na sio hawa wetu wa sijui kurogana, kupaa na ungo nk
 
Wewe ndy kiazi laini kabisa sijui ndy umeandika mashudu gani haya
 
Back
Top Bottom