Sawa
Demi
Hio ni moja,
Mbili mchawi anaweza kum-transform mshirikina kua mchawi kwa kumpa mafunzo maalum, iwapo tu mshirikina akiridhia na yeye anahitaji kua mchawi,
Ushaelewa?
Kwa hio ili uwe mchawi kwanza unaanza kua mshirikina, na ushirikina hauwezi kuwepo bila uchawi kuwepo
Pia inabidi utambue kuna aina kuu mbili za uchawi kuna uchawi mweupe na uchawi mweusi, white magic and black/dark magic
Twende taratibu, mpaka hapo umeelewa km nimekuchanganya ubongo unasema mapema sitaki nikupoteze katika hili