Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Sijaelewa mazingira ya hyo ajali ila inavyoonekana hio gari ilisesereka na kwenda mbali zaidi au kulikuwa na korongo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
unaumri gani
 
Waulize watakupa maoni yao😄😄
 
Kwa kifupi sana HAYAJAKIPATA na usiombe YAKUPATE ila uchawi upo na kama wewe ni mkristo bible imewataja wachawi uwa hawatouona ufalme wa Mungu
 
Siku wachawi na washirikina wakiweza kuiba pesa Bank naahidi nitajiunga nao.
Haiwezekani..coz uchawi ni spirutal works..na uchawi unaathiri vitu vinavoweza ku-exist spiritually only..and not otherwise..money in the banks does not exist spiritually..
 
Umemaliza kila kitu fanyeni kazi fanyeni tafiti za kitaalamu
 
Kumbuka kuwa vichaa huchekana, nyani kucheka naniiliu la mwenzake kwa wekundu kumbe yeye ndiye zaidi ad limeota ugwambala!

Wewe hapo waweza kuwa mjinga zaidi ya hao unaowaona ni wajinga, yaani wao wakawa na ujinga mchache sana, labda kutokujua dalili za vidonda vya tumbo tu nk.

Halafu tena, wewe waweza pia ukawa mjinga na mbumbumbu kwa mambo mengi sana zaidi ya hao.

Binadamu hadi kuingia kaburini hajawahi kuishiwa ujinga kwa sababu tunaendelea kujifunza kila siku kwa mambo tusiyoyajua.

Sasa kwa mfano kwa nini wewe siyo mjinga kwa kutokufahamu kuwa kuna uchawi?

Serikali inafahamu kwamba uchawi upo ndiyo maana vikautungia sheria.

Vitabu vya dini vinasemaje kuhusu uchawi?

Ebo, wewe mtu mmoja mdogo kama punje la mchanga baharini unataka kuubadilisha ulimwengu kwa kubishi na kudhania mambo usiyoyajua?
 
Acha chai
 
Na mimi zamani nilikuwa mjinga kama wewe. Lakini polepole nikaanza kuona mwanga. Vitu vingi nilivyodhani uchawi nikaona vina explanation nzuri tu. Jielimishe utatoka huko. Kuamini uchawi ni ujinga mkubwa, kwa nini? Hizo imani za kichawi zipo kwenye uchumi, afya, elimu, mambo ya kijamii, siasa, ujenzi nk nk. So ukiwa nazo unakuwa mjinga mjinga kwenye nyanja karibu zote za maisha. Ni hatari sana.
 
Nimeona comments nyingi za wanaoamini uchawi wakiwaambia wasioamini kwamba wasubiri siku likiwapata, ni vyema ufafanue hilo litakalompata ambalo linatokana na uchawi linafananaje ili ajue kwamba hapo ni amepatwa na uchawi.

Dhana ya kuamini uchawi upo ni mambo ya kufikirika zaidi na sio uhalisia,kwa mfano ni vigumu sana kwa daktari kuamini kwamba mtu anaweza akaugua kwa sababu ya kulogwa, vilevile ni vigumu accountant akaamini biashara yake haiendi vizuri kwa sababu ya uchawi.

Ila daktari anaeamini uchawi anaweza kuamini biashara yake ya duka la dawa haitoki kwa sababu ya uchawi, na accountanta anaeamini uchawi anaweza akaamini mtu anaweza kuugua kwa sababu ya kulogwa.
 
Utaona msingi wa hizi imani ni kukosa elimu ya jambo husika.., yaani ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…