Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Ndugu Wewe Unaamini Kuna Mungu?
 
Maneno mengi points hamna.
 
Hicho ndio kinachokuja kuongeza wasi wasi zaidi

Eti mchawi anakuja night kwa kupenya kwenye ukuta, mezani kuna kibunda cha maana afu ye wakati huo home kapika mlenda

Lakini cha ajabu anaishia kukukaba na kucheza cheza akiwa uchi bila kuchukua zile pesa


Sasa ukisikiliza hoja za watetea uchawi utaona wengi wanakuambia kuwa pesa haina thamani kwenye ulimwengu wa kichawi na ndio maana mchawi anaweza kuja kwako na kukukaba tu afu pesa akaziacha

Cha ajabu sasa eti mchawi huyo huyo aliyeacha kibunda night alivyokuja kwako, akitoka hapo anakuja kukuibia kwa chuma ulete ofisini kwako

Round hii pesa imekuwa na thamani kwa mchawi?

Tushike lipi sasa?
 
Siku ukiwa mtu mzima utaujua huu ulimwengu upoje
 
Kumshambulia mtoa hoja kwanamna gani?kwahiyo mtu anapoelezwa ukweli ndiko kushambuliwa hii akili fupi ya wapi hii?
Ukweli gani? umetumia njia gani kujua mimi sio mtu mzima?

Hili ndio tatizo la kufanya mijadala na washirikina maana kila kitu kwao wanataka wakirahisishe kwa ramli (ambazo hazipo)
 
Unataka kutuaminisha unajua kilakitu?, kwann usikubali kuwa baadhi huvijui na hujawahi kuvishuhudia hadi utakapopata hyo nafasi? Acha ujuaji Idiot 😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…