Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaamini uwepo wa majini?? Unaamini kuna magonjwa yatokanayo na kurogwa??Mtu anayeamini kipindupindu kinatokana na kurogwa, au kuna majini huwa yanajibanza chooni siyo kazi kubwa kumtambua kuwa ni mjinga.
Hakuna magonjwa ya kurogwa wala majini yanayojibanza chooni.Wewe unaamini uwepo wa majini?? Unaamini kuna magonjwa yatokanayo na kurogwa??
Wewe unaamini nini pale (kama ulivyosema mwanzoni) daktari akakuambia labda ni mambo ya kienyeji??Hakuna magonjwa ya kurogwa wala majini yanayojibanza chooni.
Amesema hivyo? au unamsemea wewe.Sasa wewe mtu mzima na akili zako unaamini radi inataga mayai?
Kama tungekuwa kuna uchawi mpirani leo timu za Africa zingekuwa na mafanikio kuliko za ngozi nyeupe. Na hata kibiasharq na muziki weusi wangekuwa na mafanikio zaidi
Najua daktari mjinga.Wewe unaamini nini pale (kama ulivyosema mwanzoni) daktari akakuambia labda ni mambo ya kienyeji??
Kwa hiyo siku zote wanawazidi weusi uchawi?View attachment 2411363
Usiongee usicho experience Zaid kukisoma au kuadithiwa.
Endelea kuamini weupe hawana hayo Mambo ya WICCANS ...ukija kuelewa Ni too late.
Mie napendekeza tuanze na wewe kukuagua! ulazwe wodini! ni wazi umerogwa! tunaongea na mgonjwa! anaye cheka na hatarii km kipindu pindu kimetengenezwa na kikaletwa kwetu maksudi kuna tofauti gani na kuroga?? kuroga ni nini?Mtu anayeamini kipindupindu kinatokana na kurogwa, au kuna majini huwa yanajibanza chooni siyo kazi kubwa kumtambua kuwa ni mjinga.
Safi sana! kuumbe!! umeamini sasa kuwa weye ni Mjinga!Ndiyo maana nikasema hapa ujinga umekita mizizi.
Ok. Umeshajua daktari ni mjinga. Maana yake maabara iliyoshindwa kubaini tatizo imejaa watu (Technicians) wajinga na vitendeakazi (CT-Scan, Ex rays, Ultra-sound, MRI n.k)vya kijinga na ndio vimepelekea hadi wewe mwenye akili ukamwona daktari naye ni mjinga kwa sababu daktari anaprescribe kutokana na matokeo ya maabara. Mkuu, angalia usijekuonekana wewe ni kituko/kichekesho hapa.Najua daktari mjinga.
Nakubaliana na wewe kwamba hakuna tukio kama hilo na ndo maana haukupata response yoyote licha ya kuahidi donge nono hivyo.Mkuu Lycaon pictus umepiga pale pale. Watu wanaoamini story za uchawi ni mazwazwa wa kiwango cha PhD.
Usiende mbali kote huko, mwaka jana hapa hapa JF kuna mtu alileta uzi kwamba kuna diwani Kigoma alifariki na bdae kufufuka kichawi, kama kawaida mitanganyika inaamini kila kitu so long as useme kilitokea kichawi ikaamini moja kwa moja. Mimi nikaja nikasema diwani ni ofisi ya umma nahitaji jina tu la huyo diwani nikathibitishe hiyo story kama kweli huyo diwani kawahi ku-exisist na kama kweli alifariki na kufufuka. Kwa ukubwa wa nafasi yake kwenye jamii na kisa chake ilibidi hicho kisa kiwe trending topic nchi nzima, zaidi niliahidi kutoa 500,000/= TSH kwa mtu yeyote atayenipa jina tu la huyo mtu. Hadi leo sijawahi kupewa hilo jina zaidi ya chenga tu, ahadi yangu ipo pale pale nikipewa jina tu. Ila zaidi ya robo tatu kwenye ule uzi waliamini hiyo story kwenye jukwaa la wanaojiita great thinkers.
Uzi wenye huu hapa:
Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...www.jamiiforums.com
Ni uzwazwa wa hali ya juu. Ndiyo maana yanadanganyika na kutapeliwa kirahisi. Unakuta mtu mzima lakini mambo anayoamini!!!!Mkuu Lycaon pictus umepiga pale pale. Watu wanaoamini story za uchawi ni mazwazwa wa kiwango cha PhD.
Usiende mbali kote huko, mwaka jana hapa hapa JF kuna mtu alileta uzi kwamba kuna diwani Kigoma alifariki na bdae kufufuka kichawi, kama kawaida mitanganyika inaamini kila kitu so long as useme kilitokea kichawi ikaamini moja kwa moja. Mimi nikaja nikasema diwani ni ofisi ya umma nahitaji jina tu la huyo diwani nikathibitishe hiyo story kama kweli huyo diwani kawahi ku-exisist na kama kweli alifariki na kufufuka. Kwa ukubwa wa nafasi yake kwenye jamii na kisa chake ilibidi hicho kisa kiwe trending topic nchi nzima, zaidi niliahidi kutoa 500,000/= TSH kwa mtu yeyote atayenipa jina tu la huyo mtu. Hadi leo sijawahi kupewa hilo jina zaidi ya chenga tu, ahadi yangu ipo pale pale nikipewa jina tu. Ila zaidi ya robo tatu kwenye ule uzi waliamini hiyo story kwenye jukwaa la wanaojiita great thinkers.
Uzi wenye huu hapa:
Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...www.jamiiforums.com
Umechanganya mafaili mkuu. Kuna kile wanachosema ni nguvu za giza (Unknown forces i.e. Haijulikani kisababishi ni kitu gani) lakini hapa tunazungumzia Uwepo wa Uchawi (Taaluma) na Wachawi(Watu wenye hiyo taaluma). Kwa hoja yako inaonekana wewe unakataa kuwepo kwa hiyo Taaluma na uwepo wa watu wenye kuijua na kuitumia hiyo Taaluma. Kama ni hivyo basi Kutokuamini kwako hakuondoi uwepo wa hiyo taaluma na wala hakuondoi kuwepo kwa watu wanaoijua na kuitumia hiyo Taaluma. Wewe utaendelea kuwepo na wao wataendelea kuwepo. Cha msingi hapo ni kwamba wewe tu ujihadhari usije ukaingia kwenye 18 zao. Hakika ndipo utajua ulikuwa hujui.
Sasa mkuu; ni kwa nini wewe hujachukua jukumu la kuthibitisha kwamba uchawi haupo? Unaogopa nini? Jinsi/njia za kuthibitisha zipo nyingi tu na baadhi yake ni kama ifuatavyo:Wewe ndo unachanganya. Uwepo wa Wana taaluma au wanaoamini uwepo wa uchawi hakufanyi uchawi wenyewe kuwepo.
Uchawi/nguvu za giza/ushirikina/wanga whatever you call it haupo. Sijui mtu kufufuka, sijui misukule, kupaa na ungo, kunyonya damu kimiujiza nk hakupo. Ila wanaoamini hizo story wapo sababu wajinga wanazaliwa Kila siku.