Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Kama tungekuwa kuna uchawi mpirani leo timu za Africa zingekuwa na mafanikio kuliko za ngozi nyeupe. Na hata kibiasharq na muziki weusi wangekuwa na mafanikio zaidi
FB_IMG_16674988416318896.jpg

Usiongee usicho experience Zaid kukisoma au kuadithiwa.
Endelea kuamini weupe hawana hayo Mambo ya WICCANS ...ukija kuelewa Ni too late.
 
Mtu anayeamini kipindupindu kinatokana na kurogwa, au kuna majini huwa yanajibanza chooni siyo kazi kubwa kumtambua kuwa ni mjinga.
Mie napendekeza tuanze na wewe kukuagua! ulazwe wodini! ni wazi umerogwa! tunaongea na mgonjwa! anaye cheka na hatarii km kipindu pindu kimetengenezwa na kikaletwa kwetu maksudi kuna tofauti gani na kuroga?? kuroga ni nini?

Naona sasa unaanza kuelewa, kumbe unajua hadi majini saffi sana! km jini limejibanza chooni na kopo la vidudu vya kipindu pindu likanipaka mdomoni au mikononi lazima niugue tu! kuyajua hayo siyo ujinga ni uelewa!
 
Najua daktari mjinga.
Ok. Umeshajua daktari ni mjinga. Maana yake maabara iliyoshindwa kubaini tatizo imejaa watu (Technicians) wajinga na vitendeakazi (CT-Scan, Ex rays, Ultra-sound, MRI n.k)vya kijinga na ndio vimepelekea hadi wewe mwenye akili ukamwona daktari naye ni mjinga kwa sababu daktari anaprescribe kutokana na matokeo ya maabara. Mkuu, angalia usijekuonekana wewe ni kituko/kichekesho hapa.
 
Mkuu Lycaon pictus umepiga pale pale. Watu wanaoamini story za uchawi ni mazwazwa wa kiwango cha PhD.

Usiende mbali kote huko, mwaka jana hapa hapa JF kuna mtu alileta uzi kwamba kuna diwani Kigoma alifariki na bdae kufufuka kichawi, kama kawaida mitanganyika inaamini kila kitu so long as useme kilitokea kichawi ikaamini moja kwa moja. Mimi nikaja nikasema diwani ni ofisi ya umma nahitaji jina tu la huyo diwani nikathibitishe hiyo story kama kweli huyo diwani kawahi ku-exisist na kama kweli alifariki na kufufuka. Kwa ukubwa wa nafasi yake kwenye jamii na kisa chake ilibidi hicho kisa kiwe trending topic nchi nzima, zaidi niliahidi kutoa 500,000/= TSH kwa mtu yeyote atayenipa jina tu la huyo mtu. Hadi leo sijawahi kupewa hilo jina zaidi ya chenga tu, ahadi yangu ipo pale pale nikipewa jina tu. Ila zaidi ya robo tatu kwenye ule uzi waliamini hiyo story kwenye jukwaa la wanaojiita great thinkers.

Uzi wenye huu hapa:

Nakubaliana na wewe kwamba hakuna tukio kama hilo na ndo maana haukupata response yoyote licha ya kuahidi donge nono hivyo.
Sasa Ni imani yangu kwamba wewe ni mtu mzima na unafahamu kuchambua ni kipi chuya na kipi ni mchele japo vyote hukaa pamoja mwanzoni.
Hapa namaanisha kwenye hizi stori lazima ujue kuna uzushi lakini pia ujue kuna ya kweli. Mathalani Ujenzi wa barabara huko Kilindi-Handeni (2022) wazee walikataa hadi Serikali ikakubali kutoa fedha za kuwatuliza.(Fuatilia mkuu) Kwa ufupi niseme tu "kwenye msafara wa mamba na kenge wamo". Hayo mambo yanakuwepo lakini wapo watu pia wanaotumia nafasi/imani-fursa hiyo kwa maslahi yao binafsi. Haiwezekani vyombo vya habari vitoe tukio au matukio ya namna hiyo kiholela bila kwanza kujiridhisha na ukweli wa tukio lenyewe.
 
[
Mkuu Lycaon pictus umepiga pale pale. Watu wanaoamini story za uchawi ni mazwazwa wa kiwango cha PhD.

Usiende mbali kote huko, mwaka jana hapa hapa JF kuna mtu alileta uzi kwamba kuna diwani Kigoma alifariki na bdae kufufuka kichawi, kama kawaida mitanganyika inaamini kila kitu so long as useme kilitokea kichawi ikaamini moja kwa moja. Mimi nikaja nikasema diwani ni ofisi ya umma nahitaji jina tu la huyo diwani nikathibitishe hiyo story kama kweli huyo diwani kawahi ku-exisist na kama kweli alifariki na kufufuka. Kwa ukubwa wa nafasi yake kwenye jamii na kisa chake ilibidi hicho kisa kiwe trending topic nchi nzima, zaidi niliahidi kutoa 500,000/= TSH kwa mtu yeyote atayenipa jina tu la huyo mtu. Hadi leo sijawahi kupewa hilo jina zaidi ya chenga tu, ahadi yangu ipo pale pale nikipewa jina tu. Ila zaidi ya robo tatu kwenye ule uzi waliamini hiyo story kwenye jukwaa la wanaojiita great thinkers.

Uzi wenye huu hapa:

Ni uzwazwa wa hali ya juu. Ndiyo maana yanadanganyika na kutapeliwa kirahisi. Unakuta mtu mzima lakini mambo anayoamini!!!!
 
Umechanganya mafaili mkuu. Kuna kile wanachosema ni nguvu za giza (Unknown forces i.e. Haijulikani kisababishi ni kitu gani) lakini hapa tunazungumzia Uwepo wa Uchawi (Taaluma) na Wachawi(Watu wenye hiyo taaluma). Kwa hoja yako inaonekana wewe unakataa kuwepo kwa hiyo Taaluma na uwepo wa watu wenye kuijua na kuitumia hiyo Taaluma. Kama ni hivyo basi Kutokuamini kwako hakuondoi uwepo wa hiyo taaluma na wala hakuondoi kuwepo kwa watu wanaoijua na kuitumia hiyo Taaluma. Wewe utaendelea kuwepo na wao wataendelea kuwepo. Cha msingi hapo ni kwamba wewe tu ujihadhari usije ukaingia kwenye 18 zao. Hakika ndipo utajua ulikuwa hujui.

Wewe ndo unachanganya. Uwepo wa Wana taaluma au wanaoamini uwepo wa uchawi hakufanyi uchawi wenyewe kuwepo.

Uchawi/nguvu za giza/ushirikina/wanga whatever you call it haupo. Sijui mtu kufufuka, sijui misukule, kupaa na ungo, kunyonya damu kimiujiza nk hakupo. Ila wanaoamini hizo story wapo sababu wajinga wanazaliwa Kila siku.
 
Sasa mkuu; ni kwa nini wewe hujachukua jukumu la kuthibitisha kwamba uchawi haupo? Unaogopa nini? Jinsi/njia za kuthibitisha zipo nyingi tu na baadhi yake ni kama ifuatavyo:
1. Kuchokoza e.g. chukua mali ya mtu (ardhi, vifaa-kazi)kwa nguvu halafu akilalamika wewe tumia uwezo wako wa kifedha kumnyamazisha labda kumweka ndani/mahabusu au kumtia msukosuko.
2. Kujikweza/kujigamba e.g. Nenda kajenge nyumba nzuri na kuishi hapo maeneo wanayoishi watu wa kiwango cha chini na uwe na katabia ka kuwapuuza/kutowajali hata wakikuijia kwa shida ndogo-ndogo e.g. kuomba maji n.k.
3. Majaribio ya makusudi (Hii itakupa majibu fasta zaidi): Nenda/hudhuria sherehe yoyote halafu utangaze au ukebehi kwa kusema "HAKUNA UCHAWI NA WALA WACHAWI HAWAPO - NI UPUUZI MTUPU HUO" ukimaliza kusema hivyo jiendee zako nyumbani. Unaweza kurudia tena siku nyingine na mahali pengine ukipenda kama utakuwa haujapata matokeo.
4.
5.
6.
 
Back
Top Bottom