Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Uvhawi ni work done equals to zero, uchawi ungekuwa unafanya kazi dunia isingekua sehemu salama ya kuishi, kwasababu ukimzingua mtu kidogo tu ushamrog(zaidi ya 50% population wangekuwa vichaa), mabenki yangekuwa yanatangaza hasara tu kilasiku kwasababu ya chumaulete, wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao(kumbe wamepaa na ungo kwenda kwenye nchi badala ya kutumia njia hatarishi ya mahi)
 
Hiyo ni imani tuu.
Kiuhalisia Hakuna kitu kinaitwa uchawi ila kuna wachawi.
 
Trevor Noah anasimulia kuwa wakati mdogo alijisaidia haja kubwa ndani sababu ya kushindwa kwenda choo cha nje mvua inanyesha. Bibi yake alipoona kinyesi kile akafikia conclusion kuwa ni masuala ya kichawi.Akaita na wengine wakaanza kuomba na kukemea jambo lile, na Trevor naye akaunganishwa katika maombi hayo. Sasa kama haya hili siyo ujinga ni nini?
 
Kumbe wachawi hawana uwezo wa kuiba Bank, inafikirisha sana.
Inashangaza sana huo uchawi unaosemwa ni upo kwa ajili ya uharibifu tuu na kuleta madhara basi.

Tunashida lukuki chungunzima maji shida, umeme shida, hela haipatikani ila huu ni utatui haya mambo, badala yake unasemwa kutatua mambo ya kijinga tu na kuleta madhara basii
 
Labda Mshana Jr atueleze inakuaje wachawi wanashindwa kufika marekani na ungo.
 
Unaamini kwamba unaweza kufanyiwa dawa za kichawi kiasi kwamba ukipigwa risasi haikuingii?
Huo ni uzwazwa, ila wapo wanaojiganga

Nenda Mwanza utaelezwa kuhusu Ngw'anamalundi (Mwanamalundi) na Power Mabula

Sio story za kutunga, Power Mabula alikua anavuta gari kwa kamba ukielezwa aliyoyafanya Ngw'anamalundi ndio utarukwa na akili kabisa

Anyway somehow nimegundua bado una akili ndogo mambo mengi hauyajui, endelea kujifunza, uchawi (magic) ni zaidi ya simulizi za vita ya maji maji

Kuna tofauti kubwa kati ya UCHAWI na USHIRIKINA usije ukachanganya mafaili kijana
 
nina mashaka na umri wako na huna exposure ya maisha,

ila kama una 35+ na una exposure ya maisha na umezunguka kwa utafutaji iwe umepata au umekosa

basi usingekuja kuandika huu utumbo wako hapa,we subiria shemeji apike ugal ule ukabeti
 
Kichwamaji mwingine huyu hapa, tatizo la kujaza matoto ya form One kwenye jukwaa ndio haya sasa,
 
Nimesoma kitabu cha Mwanamalundi. Ni hekaya tu kama hekaya zingine.
 
Na wanasema mjinga ni yule anayetia wengine hasara na yeye hapati faida yoyote. Kwa ulivyosema, ishu yote kuhusu uchawi ni ishu ya kijinga
 
nina mashaka na umri wako na huna exposure ya maisha,

ila kama una 35+ na una exposure ya maisha na umezunguka kwa utafutaji iwe umepata au umekosa

basi usingekuja kuandika huu utumbo wako hapa,we subiria shemeji apike ugal ule ukabeti
Unaamini kuwa kuna mchawi ana gunia la Narrowbee fly na huwa anawaachia kudhuru watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…