Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Tofautisha magic na witchcraft, West wapo magicians zaidi ambayo ni mambo ya kucheza na akili tu ya mwanadamu.
Hizo magic alizokuwa wanafanya hadi kina pro feyman zipo za mind tu.
Pia kuna magic kama magic esoteric knowledge.
Na kuna vitabu vingi vimeandikwa na hao wazungu vya uchawi unaweza kugoogle ukaviona
 
Wanaojifanya wana imani Kali ya dini za mapokeo ndio huombea hadi mahiti zifufuke. Je huo si ujinga. Enzi na enzi uchawi upo hata vitabu vitakatifu vimezungumzia iweje wewe kiumbe usiejua kesho Yako upinge.

Muulize Mshana ana majibu yako
 
Hua wanastaajabisha sana na misukule juu, na ukiwauliza unaamini kuna uchawi!? Wanakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo magic alizokuwa wanafanya hadi kina pro feyman zipo za mind tu.
Pia kuna magic kama magic esoteric knowledge.
Na kuna vitabu vingi vimeandikwa na hao wazungu vya uchawi unaweza kugoogle ukaviona
Hekaya tu na utapeli. Cheki Movie Nightmare Alley utaona uhuni unavyofanyika.
 
Wanaojifanya wana imani Kali ya dini za mapokeo ndio huombea hadi mahiti zifufuke. Je huo si ujinga. Enzi na enzi uchawi upo hata vitabu vitakatifu vimezungumzia iweje wewe kiumbe usiejua kesho Yako upinge.

Muulize Mshana ana majibu yako
Wote ni ujinga na utapeli
 
Malawi Kuna sheria kabisa ya ishu za uchawi
 
Back
Top Bottom