NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #61
HUYO ANAONGEA KIMAHANA USISHANGAE ANAMFANANISHA NA KIBE DENIS.Duh unamfananisha na nani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYO ANAONGEA KIMAHANA USISHANGAE ANAMFANANISHA NA KIBE DENIS.Duh unamfananisha na nani mkuu?
Mwaka jana tu simba hakumfunga azam Itakuwa msimu huuHivi azam huwa anahujumiwa nini na lini?
Ubovu wa waamzi unaathiri team zote na kuzinufaisha
Ile mechi ya Yanga azam alifunga goal la offside
Kimataifa ametolewa na team ya Djoubt
Hao mtawakataa akina na kipre
Na atapasuliwa mechi ya simba
Kipre ,fei,Dube, bajana, bila kumsahau sidibeAzam ni team ndogo mno
Hana ubora wowote
Haya nambie wachezaji watatu pale Azam wataanza Yanga
Mwaikenda bonge la fullback lomalisa Ana assist ngapi? Sidibe Ana 3 na goal 2We Una masikhara Mzee, kuna wachezaji gani Azam wa kumuweka Bechi Yao, Lomalisa, Aucho na Ki?
Linganisha number za mudathiri na fei?Eneo ambalo mchezaji anaweza pata nafasi upande wa yanga ni streka tena dube, na analocheza mudathir tena hapo kocha ataumiza kichwa sana ampange yupi kutoka azam mana muda nae wamoto
Hauna akili fei na muda acheni kataka tuwatukane mnafilwa nyieYan utamwa YAO umechukua mwaikenda
Utamwacha Lomalisa umechukue Manyama
Utamwacha Aucho umchukue Bajana
Umwache Mudathiri ubebe fei asiyekaba
Umwache Azizi ki mr hat trick
Kumbe hauko serious
Azam ni team ndogo kama Singida. Au ile ya Tabora
Mpaka sasa najiuliza Moloko anafanya nini Yanga.Halafu anapiga 7 &11 hapgopi beki anakufuata ulipo huwezi kumshindanisha na Moloko anaetaka kukimbia mwenye tabia ya kukimbia mabeki.
Wa kawaida,Duh unamfananisha na nani mkuu?
NAFIKIRI LEO UTAKUA UMEONA HUYO JAMAA ANA KITU GANI.Wa kawaida,
Hajaprove kitu bado mkuu
UMEONGEA KIMPIRA MKUUMwaikenda bonge la fullback lomalisa Ana assist ngapi? Sidibe Ana 3 na goal 2
TUNAONGELEA TALANTA NA SIO MAGOLIAna goal ngap hadi sasa
KIBU NAE VIPIMoroko je?
Hajaprove kitu bado mkuu.NAFIKIRI LEO UTAKUA UMEONA HUYO JAMAA ANA KITU GANI.
NDIYO KIONGOZI NI MTU WA BALL JAMAAJamaa anajua boli ,period.
SIYO SIMBA TU HATA YANGA WATOE USHUZI WA SKUDU WAWEKE KIPRE JNR HUYU NI HATARI JAMAA.Hv Simba huyu mchezaji hawamuoni?
Wewe UNAANGALIA MPIRA WA WAPI?!Hajaprove kitu bado mkuu.
Hana impact in terms of results bro