Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Ulimtoa wapi sasa 🤣🤣🤣
 
Gono lina uwezo wa kufanya mtu apoteze kizadi, kaswende au gono sina uhakika lina uwezo kupukutisha kidude kama una ukoma. ni hatari.
Kaswende inakaa zaidi kwny damu inaweza isionyeshe dalili kama gono...tukiwa wajawazito hupimwa kaswende..
Kupukutisha kwake inakujaje?...ni pale vidonda vinavyokula hizo sehemu mpk kuharibu
 
Dah naona kadri siku zinaenda umuhimu wa kuendelea kuishi unapungua.
Ya faa nini kuishi kama starehe namba moja duniani hatuwezi ifurahia bila kuwaza magonjwa? Yesu arudi tuu kila mtu ajue hatima yake maana haya ni mateso kuliko ata huo moto wenyewe
 
Mkuu upo?? Hii statement yako inahudhunisha sana...kweli Yesu arudi tuu
 
Dohhhh.... Asante sana kwa ufafanuzi mzuri🙏🏼
 
Syphilis haina mabalaa kama gono..mabalaa namaanisha madonda kama yanayotoka ukiwa na gono..syphilis mtu anaweza kuwa nayo akakaa hata miezi 3 na isionyeshe dalili...Just google and have some education...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…